Kwanini mwanaume anamchoka mwanamke Haraka?

Kwanini mwanaume anamchoka mwanamke Haraka?

Mwanamke Kuchokwa inategemea asilimia kubwa maumbile ya ndani kaumbwaje.

Asilimia ndogo zilizobaki ndo inategemea na yeye anajiweka vipi?

MUNGU FUNDI BWASHEE[emoji1]
Kuwa specific, hilo umbile la ndani sema tu ni Tunda.

Hii inanikumbusha wimbo wa Muumin Mwinjuma na African Tamtam TUNDA SPECIAL.

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Lengo la hii thread ni hapo mwisho, wakuone uwarudishie wapenzi waliopotea.
Kulazimisha mapenzi ni hatari sana na sio sawa kiafya, kama hakutaki mwache aende zake. Wakati sahihi ukifika utampata wa kufanana nawe.
Binadamu yuko huru sawa na viumbe wengine tu, hakuna mwanamke au mwanaume anatakiwa wala kupaswa kumiliki mke au mume peke yake. Piga uondoke ili nijue kama nikurudie au nitafute mwingine, kwakuwa hakuna mwanaume au mwanamke mwenye sifa zooooote anazopenda mwanamke au mwanaume. Hiki nilichokiandika hapa ni sababu za mwanaume kuondoka haraka kwako kabisa au yupo lakini ana wanawake wengine wanaomsisimua.

Unajua ni kwanini sex wakati wa honey moon ni zaidi kuliko baada ya honey money? Unajua ni kwanini mke mpya siku za kwanza mapenzi ni motomoto kitandani kuliko siku zinazofuata huko mbele? Kifupi ni kwambo msisimko unapungua, macho, masikio, pua, ulimi na ngozi zako zimekinai (fatigue). Ndio maana usipende kuona, kunusa, kusikia na kufanya tendo la ndoa kila mara na kila siku. Ziko sababu nyingine kama za kiuchumi, kitabia na kimaumbile (biology) lakini hizi nitaziongelea wakati mwingine.
 
Nikipata nafasi na afya njema, pasipokua na vizuizi vyovyote binafsi ninafanya sana, simchoki. Kama yeye amenichoka siku akitaka kuondoka sintamzuia. Tunaishi mara moja tu.

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Hivi haraka na muda mrefu Kuna utofauti?
Huyu msemaji wao wa kujitolea anasema kama ataona nywele kwa muda mrefu.... Sijaelewa yaani kuchoka haraka na kuona kwa muda mrefu....kunusa kwa muda mrefu Sasa haraka ni muda gani kwake na muda mrefu ni kiasi gani labda tuanze hapo
 
Nikipata nafasi na afya njema, pasipokua na vizuizi vyovyote binafsi ninafanya sana, simchoki. Kama yeye amenichoka siku akitaka kuondoka sintamzuia. Tunaishi mara moja tu.

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
Hiyo sio kweli. Wataka kusema huyo mama j unamchungulia, unamramba papuchi, unamtia vidole kotekote kila siku, unamfira lakini nguvu Iko vile vile mwanzo mwisho? Wacha ujinga wa mtandaoni.
 
Macho, pua, masikio, ulimi na Ngozi ya mwili huwa vina tabia ya kuchoshwa na kukinaishwa na kuona, kunusa, kusikia, kuonja na kugusa kitu cha aina moja tu kilekile kukiona, kukinusa, kukisikia, kukionja na kukigusa kila mara kwa muda mrefu.

na, kutianam kurambana,m kusaidiana na kuwasiliana hadi pale atakapotokomea kabisa.
tunawaza katiba mpya
 
Hivi kwanini wanaume wanadhani wao peke yao ndo wanakinai wanawake?.

Mngejuaa
Kukinai ni kwa jinsia zote ila wanaume wanakinai haraka zaidi. Mwanamke anakinai haraka kama mume hamtunzi, anacheat na hamthamini. Wanawake wanachohitaji ni kupendwa na kuhudumiwa vizuri kiuchumi na kimapenzi kwasababu hata kama mwanamke hasisimuliwi na mwanaume anaweza kutimiza tendo la ndoa ukilinganisha na mwanaume ambae ni lazima asimamishe uume ndio aweze kutimiza tendo la ndoa, akishakinai hadisi tena labda atumie vumbi la Congo au amfikirie mwanamke mwingine mpya aliyempata sikku hizi mbili za karibu
 
Bahati mbaya mwanamke huwa anamkubalia mwanaume amchungulie, amnuse, amrambe na ampapase kokote akidhani kuwa hiyo ndiyo itamfanya Mwanaume ampende na kumfurahisha zaidi ili asipanduke kwake, kumbe ni kinyume chake, tumia mwanga hafifu kabisa unapofanya mapenzi, Vaa kanga yako hata kama uko 2 TU ndani. Uchi hauna harufu nzuri na Wala sio mtamu usiruhusu anuse na kuuramba atakinai haraka, maana hutakuwa na jipya la kumpa Wala kumuonyesha,
 
Back
Top Bottom