Kwanini mwanaume kukubali ukweli ni ngumu hata kama ushahidi upo mezani?

Watu wanapitia magumu mnooo, Ndoa ktk upande wa Dark side.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Lakini alikubali baada ya kushitaki kwa mamaake na mamaake baada ya kumpa makavu mbona alikubali ?
 
Dalili ya kwanza ya kuwa mwanaume wa kweli ni kukana hata kama kesi ina ushahidi kamili
And so what? Kwani unafikir inatoa maana kwamba umeondoa trust kwa mkeo? Ukiona unamdanganya mkeo wakati ushahidi upo wazi na akakuelewa usijione kidume mwingine anakubali ili yaishe kwaajili ya aman ya moyo wake ila trust kwako haipo tena
 
Jamaa alizielewa notice vizuri sana, mwamba huyo. Hata km mazingira yakiwa vipi wew kataa
 
Kwanini wanawake mnaringa Sana kwani nyie Ni Nani, tukiomba mchezo Kama si tumbo Basi Ni kichwa au uchovu. Why?
Kila tukirudi nyumbani kazi kutukagua Kama tunanukia perfume au tumechoka, Kama kazi imewashinda kwanini hamtaki tufaidi michepuko?
Watu wa ajabu Sana. Kila Mara simu, UKO WAPI? UNARUDI SAA NGAPI?
bachelors enjoy your freedom.
 
Nakazia,,
utaimbiwa maisha yote yanayobaki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunadanganya kwa sababu tukiwaambia ukweli mtaumia zaidi. Ila muonye sana huyo jamaa aache kwenda Guest house zenye risiti. Atakuja kunishukuru
 
Bora vumbi la Kongo, hapo hamna kesi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kukubali kunapunguza uanaume.
Nilinaswa nimemtongoza dada wa Kazi hadi kesho nimekataa imebaki kwenye mafikirio nani msema kweli
 
Mshukuru Mungu mume wako ndiyo amenza, angekuwa aluwatan hiyo risiti usingeiona. Mungu amekuonyesha ili ujitathmini wewe mwenyewe wapi unakosea.
 
And so what? Kwani unafikir inatoa maana kwamba umeondoa trust kwa mkeo? Ukiona unamdanganya mkeo wakati ushahidi upo wazi na akakuelewa usijione kidume mwingine anakubali ili yaishe kwaajili ya aman ya moyo wake ila trust kwako haipo tena
Natamani ni cheat na wewe au unasemaje shostito?
 
Thank you sana mke wa mtu, mke mwema..!!
Unajuwa wengine hudhani akiambiwa ukweli ndo atapona..!! Siyo kwenye kila jambo, mengine danganywa siku ziende
Ila kudanganywa huku unaujua ukweli inauma asee,acha tu,Mimi nilikubali kudanganywa mwisho wa nilikuta na mtoto kashazaliwa hapo ndo nikaambiwa ukweli kuwa mtoto ni wake moyo ulipasuka pah,haya Mambo yasikie tu yasikukute
 
And what if mkeo hafanyi hayo uliyotaja na bado unachepuka?
 
Tunadanganya kwa sababu tukiwaambia ukweli mtaumia zaidi. Ila muonye sana huyo jamaa aache kwenda Guest house zenye risiti. Atakuja kunishukuru
Sasa unafikir ukikataa ndo nitaamini mdajidanganya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…