Kwanini mwanaume kukubali ukweli ni ngumu hata kama ushahidi upo mezani?

Hahaha hata mie akatae kwa kweli

Akikubali nitaumia kinyama,ukweli huwa unauma kupita maelezo...ni heri mtu akomae kukataa

Dedikesheni kwa mleta mada


 
Habari wakuu, hivi ni nini kinawafanya wanaume waendelee kukataa hata baada ya kuona ushahidi instead of kuomba msamaha yakaisha?
Wee baadala ya kushukuru kuwa mwanaume wako rijali kweli kweli unaanza kumind vitu vidogo. Wake wengine jamaa akitomber huko nje akirudi ndani ya nyumba hhawezi ata dindisha.
 
Ni kama mtoa mada, amefanya kautafiti kake ka kuunganisha dots, amegundua mwamba kanyandua sehemu..!! Ila tu mwamba anatoa nje..!! Amepata ushahidi lakini bado akauliza..!!
Kuuliza kwake means ushahidi haujakamilika.
 
Hahaha hata mie akatae kwa kweli

Akikubali nitaumia kinyama,ukweli huwa unauma kupita maelezo...ni heri mtu akomae kukataa

Dedikesheni kwa mleta mada


πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Basi nawe usiwe unakomaa kuuliza..!!
 
Ukiona manyoya ujue kaliwa.

Umenikumbusha mbali kuna jamaa yangu alibambwa live kabisa anabanjuka na Hg mara wife karudi ghafla kawakuta chumba cha wasichana mume anamkula Hg. Wife kaitisha kikao cha pande zote 2. Kabla ya siku ya kikao jamaa aliniomba ushauri nikamwambia kama unampenda mkeo, we komaa kwamba hukuwa wewe,wala hujawahi kuwaza hicho kitu. Jamaa alikataa katakata mbele ya wote. Mke analia kabisa nimekukuta mimi mwenyewe kwa macho yangu,jamaa anagoma anasema hapo itakuwa umechanganya ndoto na uhalisia.

Hapo mama ujue tu mumeo anakupenda. Potezea maisha yaendelee. Hakuna ulichopoteza
 
Akubali kushare de libolo....🀣🀣🀣🀣🀣
Ndo hivyo, hataki anacha tu kama ni rahisi. Cheater ni cheater tu hataacha labda yesu aje
 
Jojo;

Anaza mke mwema in da hausi.

Ndoa zenu zidumu wapendwa.

Can I get an Amen please? πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ–πŸ–πŸ–
Hahah Amen Shimba ya Buyenze
Mie na moyo wangu mwepesi huu nikiweka na heart breaks za cheating naeza nikafa

Iwe hivi hivi nisiendelee kunusa usaliti manake siwezi kumuacha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…