Olympio shule ya serikali na wanafundishwa kiingereza, hiyo 99% kama hawajui kiingereza ni uzembe wao tu kwa sababu sekondary zote zinafundisha kwa lugha ya kiingereza.
Mkuu tunasafari ndefu sana.
Ikiwa serikali ina shule 2 tu za primary zenye mitaala ya kingereza ktk shule 2000 za serikali inchi nzima utasemaje shule za serikali zinafundisha kingereza?
Na hizo shule 2 za mitaala hyo bila hongo huzipati..
Hata huko secondary za serikali 90% ya wanafunzi wanaotoka humo,,hata wakifika chuo bado kingereza fasaha hawajuwi..
Tanzania tunatumia kingereza ktk documentation na mambo ya kiofisi sababu we were English colony..
Lakini English sio national language..
Siku serikali ikitaka English iwe lugha ya taifa ,,ni kufanya hata msukuma mkokoteni aongee English ..
Wabadilishe systems nzima ya ufundishaji,,iwe kwa English,, kiswahili kibaki kama somo tu.lakini mengine yote iwe ni English,, tena kutoka nursery school kuendelea..
Mfano Kenya,,hata teja linajuwa kuongea English..
Hapa kwetu hata ukifika chuo still English ni tatizo,,
Utasemaje ni lugha ya taifa?
Tatizo mmeua elimu ili mkuze shule zenu za private,, kisa kufundisha kingereza,,
Mnalazimisha kiswahili kiwe lugha ya kufundishia,,huku watoto wenu mkiwapeleka shule za academic.
Bado mnalazimisha English lugha ya taifa..
Watoto wenu wajuwe English,, wetu waongee kimatumbi..
Mbona hambadilishi mitaala ya kingereza,,ili ifundishwe shule zote za kayumba?
Kama academic?