Naamini Azam angeweza piaHuo mradi angepewa Azam tu!
Hawa wafuga ndevu tangu lini wakawa na akili?
Tena yote kwa wajomba... Khaa yaani wakija wote mjini utajikuta wote Waarabu... Maana TANESCO wapo, bandari wako, misitu wako, mwendokasi kama kawaida... Mweee hapa sio kabisaa🤔🤔Ile mikataba 37.
Fom foo felia kazengua sana.
Wahuni ni waarabu koko walioko madarakani, kila kitu wanakabidhi waarabu bado ikulu nayo wataichukuaWaarabu wahuni na washenzi. Tumepigwa
Mkuu usiingilie mambo ya mtu na Wajomba zake!Gazeti la Mwananchi la 31 Oktoba 2022 liliripoti habari ya kupatikana mwekezaji mpya wa kuendesha mabasi ya mwendokasi (DART), Kampuni ya Emirates National Group kutoka Falme za Kiarabu.
Taarifa ya serikali kupitia gazeti hilo ilisema kampuni hiyo ingeanza kazi Novemba 2022. Makubaliano ni kwamba; mwanzoni kampuni hiyo itaingiza mabasi 177, na ndani ya miezi 6 (kuanzia Nov 2022) itaingiza jumla ya mabasi 750. Pia, watarejesha mfumo wa malipo ya kadi pekee katika vituo vya mwendokasi.
Hata hivyo, hadi sasa wananchi hatuoni hayo mabasi mapya, hatuoni kuboreshwa kwa huduma ya usafiri wa mwendokasi na wala hatuwaoni watendaji wa Kampuni ya Emirates National Group kutoka Falme za Kiarabu.
Tatizo ni nini? Mbona wananchi hatuelezwi? Waarabu wamepatwa na nini? Kama wameshindwa hatuwezi kupata waarabu wengine wawekeze kwa kuzingatia waarabu wamefanikiwa sana katika sekta ya usafirishaji?
Information is power.
Soma DAR: DART kuondoa tiketi vituo vya Mwendokasi, malipo ya kadi kurejea
hilo nalifaamu,waweza kuniambia hizi tenda zilitangazwa wapi na washindani walikuwa nani na nani?Ni zamu ya yoyote mwenye uwezo. Tenda zinatangazwa mkuu.
asante kwa ushauri,ila mm sina mamlaka ya kuregulate hisia za watu kuhusu maoni yangu juu ya jambo lolote lile,hivyo sitakiwi kutoa maoni yangu kwa kuangalia wao watajisikiajeSawa, ila usipaze sana sauti kuepusha taharuki isiyo ya lazima. Watu wengi wangali katika hali ya mshutuko.
Kama kuna unachokifahamu kifanye siri kwa sasa hadi wakati muafaka.
Amucha😎Utaambiwa upembuzi yakinifu unaendelea...chezea Serikali ya Chama twawala
Sifahamuhilo nalifaamu,waweza kuniambia hizi tenda zilitangazwa wapi na washindani walikuwa nani na nani?
Kwani kuna shida si wawekezajiMbona hawa Emirates wamekuja kwa kasi ya 5G?
Bongo tu hao ndiyo wameshika uchumi,team zenu mbili kubwa haoWaarabu kila mahali[emoji205][emoji205][emoji205]View attachment 2664988
Kwani azam si jamii ile ileHuo mradi angepewa Azam tu!
Hawa wafuga ndevu tangu lini wakawa na akili?
Na hii pia tumewapa?[emoji3064][emoji1544][emoji24]Gazeti la Mwananchi la 31 Oktoba 2022 liliripoti habari ya kupatikana mwekezaji mpya wa kuendesha mabasi ya mwendokasi (DART), Kampuni ya Emirates National Group kutoka Falme za Kiarabu.
Taarifa ya serikali kupitia gazeti hilo ilisema kampuni hiyo ingeanza kazi Novemba 2022. Makubaliano ni kwamba; mwanzoni kampuni hiyo itaingiza mabasi 177, na ndani ya miezi 6 (kuanzia Nov 2022) itaingiza jumla ya mabasi 750. Pia, watarejesha mfumo wa malipo ya kadi pekee katika vituo vya mwendokasi.
Hata hivyo, hadi sasa wananchi hatuoni hayo mabasi mapya, hatuoni kuboreshwa kwa huduma ya usafiri wa mwendokasi na wala hatuwaoni watendaji wa Kampuni ya Emirates National Group kutoka Falme za Kiarabu.
Tatizo ni nini? Mbona wananchi hatuelezwi? Waarabu wamepatwa na nini? Kama wameshindwa hatuwezi kupata waarabu wengine wawekeze kwa kuzingatia waarabu wamefanikiwa sana katika sekta ya usafirishaji?
Information is power.
Soma DAR: DART kuondoa tiketi vituo vya Mwendokasi, malipo ya kadi kurejea
Ni hatari
Hata Richmond alikujaga muarab jeneral wa jeshi mstaafu akawa mmiliki baada ya bunge kutaka kujua mmiliki.Hao waarabu unaweza kuta ni bortion tu, lakini usishangae kukuta ni viongozi wetu waliochota fedha zetu wanakuja kuzizungusha kwa mgongo wa kampuni ya waarabu.
Huo mradi angepewa Azam tu!
Hawa wafuga ndevu tangu lini wakawa na akili?
Upembuzi yakinifu 😆Utaambiwa upembuzi yakinifu unaendelea...chezea Serikali ya Chama twawala