Kwanini Mwekezaji mpya wa Mabasi ya Mwendokasi (DART) Kampuni ya Emirates National Group kutoka Falme za Kiarabu kachelewa kuanza kazi?

Kwanini Mwekezaji mpya wa Mabasi ya Mwendokasi (DART) Kampuni ya Emirates National Group kutoka Falme za Kiarabu kachelewa kuanza kazi?

Huo mradi angepewa Azam tu!

Hawa wafuga ndevu tangu lini wakawa na akili?
 
Ile mikataba 37.

Fom foo felia kazengua sana.
Tena yote kwa wajomba... Khaa yaani wakija wote mjini utajikuta wote Waarabu... Maana TANESCO wapo, bandari wako, misitu wako, mwendokasi kama kawaida... Mweee hapa sio kabisaa🤔🤔
 
Joto likizidi PANYA, fuko na wadudu wote watatoka mashimoni.

Spana ziendelee tafadhali🙏🙏🙏
 
Kampuni zilizopewa kuendeshwa na waarabu wa falme za kiarabu.
1. TANESCO.
2. TPDC.
3. Shirika la Posta.
4. TPA.
5. UDART
6. TFS.
7. Mbuga za wanyama.
8. Nimechoka kutaja.

Samia kauza nchi yetu kwa waarabu.
 
Gazeti la Mwananchi la 31 Oktoba 2022 liliripoti habari ya kupatikana mwekezaji mpya wa kuendesha mabasi ya mwendokasi (DART), Kampuni ya Emirates National Group kutoka Falme za Kiarabu.

Taarifa ya serikali kupitia gazeti hilo ilisema kampuni hiyo ingeanza kazi Novemba 2022. Makubaliano ni kwamba; mwanzoni kampuni hiyo itaingiza mabasi 177, na ndani ya miezi 6 (kuanzia Nov 2022) itaingiza jumla ya mabasi 750. Pia, watarejesha mfumo wa malipo ya kadi pekee katika vituo vya mwendokasi.

Hata hivyo, hadi sasa wananchi hatuoni hayo mabasi mapya, hatuoni kuboreshwa kwa huduma ya usafiri wa mwendokasi na wala hatuwaoni watendaji wa Kampuni ya Emirates National Group kutoka Falme za Kiarabu.

Tatizo ni nini? Mbona wananchi hatuelezwi? Waarabu wamepatwa na nini? Kama wameshindwa hatuwezi kupata waarabu wengine wawekeze kwa kuzingatia waarabu wamefanikiwa sana katika sekta ya usafirishaji?

Information is power.

Soma DAR: DART kuondoa tiketi vituo vya Mwendokasi, malipo ya kadi kurejea
Mkuu usiingilie mambo ya mtu na Wajomba zake!
 
Sawa, ila usipaze sana sauti kuepusha taharuki isiyo ya lazima. Watu wengi wangali katika hali ya mshutuko.

Kama kuna unachokifahamu kifanye siri kwa sasa hadi wakati muafaka.
asante kwa ushauri,ila mm sina mamlaka ya kuregulate hisia za watu kuhusu maoni yangu juu ya jambo lolote lile,hivyo sitakiwi kutoa maoni yangu kwa kuangalia wao watajisikiaje
 
Huo mradi angepewa Azam tu!

Hawa wafuga ndevu tangu lini wakawa na akili?
Kwani azam si jamii ile ile

Kwanini asipewe nyasungwi [emoji1]

Mkubali mkatae wenzetu kiuchumi wako vizuri,sisi tuko vizuri kwenye kukata mauno tu na kubeti

Ova
 
Gazeti la Mwananchi la 31 Oktoba 2022 liliripoti habari ya kupatikana mwekezaji mpya wa kuendesha mabasi ya mwendokasi (DART), Kampuni ya Emirates National Group kutoka Falme za Kiarabu.

Taarifa ya serikali kupitia gazeti hilo ilisema kampuni hiyo ingeanza kazi Novemba 2022. Makubaliano ni kwamba; mwanzoni kampuni hiyo itaingiza mabasi 177, na ndani ya miezi 6 (kuanzia Nov 2022) itaingiza jumla ya mabasi 750. Pia, watarejesha mfumo wa malipo ya kadi pekee katika vituo vya mwendokasi.

Hata hivyo, hadi sasa wananchi hatuoni hayo mabasi mapya, hatuoni kuboreshwa kwa huduma ya usafiri wa mwendokasi na wala hatuwaoni watendaji wa Kampuni ya Emirates National Group kutoka Falme za Kiarabu.

Tatizo ni nini? Mbona wananchi hatuelezwi? Waarabu wamepatwa na nini? Kama wameshindwa hatuwezi kupata waarabu wengine wawekeze kwa kuzingatia waarabu wamefanikiwa sana katika sekta ya usafirishaji?

Information is power.

Soma DAR: DART kuondoa tiketi vituo vya Mwendokasi, malipo ya kadi kurejea
Na hii pia tumewapa?[emoji3064][emoji1544][emoji24]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao waarabu unaweza kuta ni bortion tu, lakini usishangae kukuta ni viongozi wetu waliochota fedha zetu wanakuja kuzizungusha kwa mgongo wa kampuni ya waarabu.
Hata Richmond alikujaga muarab jeneral wa jeshi mstaafu akawa mmiliki baada ya bunge kutaka kujua mmiliki.
 
Safi sana, hope wataanza kazi soon, Wachawi acha waendelee kulalamika.
 
Back
Top Bottom