Exactly. Viongozi walikuwa wanatuona mafala. Halafu huyo jenerali akawa hataki kuonekana sura yake.Hata Richmond alikujaga muarab jeneral wa jeshi mstaafu akawa mmiliki baada ya bunge kutaka kujua mmiliki.
Duu! Ina maana hii nchi viongozi wetu ni madalali?Exactly. Viongozi walikuwa wanatuona mafala. Halafu huyo jenerali akawa hataki kuonekana sura yake.
Ikifika hapo kila abiria atakaa kwenye seat yakemwanzoni kampuni hiyo itaingiza mabasi 177, na ndani ya miezi 6 (kuanzia Nov 2022) itaingiza jumla ya mabasi 750.
Kweli mkuu ila kumbuka route zitaongezekaIkifika hapo kila abiria atakaa kwenye seat yake
Mkuu ni kweli kabisa, maana siku hizi hadi Makatibu wa Chama wamekuwa watendaji ndani ya Serikali. Inasikitisha.CCM imefikia hatua imejichokea kabisa hawana uwezo tena wa kufikiri,
Huo ndio utaratibu tunaoutaka na kwa kuwa watakuwa na tank zao za mafuta kigamboni basi shughuli itakuwa nyepesi kuliko hawa wanaolalamika uendeshaji ni mgumu wakati barabara yote ni yao na abiria wote ni wao hawana mpinzaniIkifika hapo kila abiria atakaa kwenye seat yake
Shida ya wazawa ni uswahili tu. Kutakuwa hamna tofauti ni kama mtu aliyegeuza kofia kutoka mbele na kuielekezea nyuma.Hivi kweli hakuna Wazawa ambao wanaweza kuwekeza kwenye Mradi huu?
Mf.Abood, Shabiby,nk
OhoooooooGazeti la Mwananchi la 31 Oktoba 2022 liliripoti habari ya kupatikana mwekezaji mpya wa kuendesha mabasi ya mwendokasi (DART), Kampuni ya Emirates National Group kutoka Falme za Kiarabu.
Taarifa ya serikali kupitia gazeti hilo ilisema kampuni hiyo ingeanza kazi Novemba 2022. Makubaliano ni kwamba; mwanzoni kampuni hiyo itaingiza mabasi 177, na ndani ya miezi 6 (kuanzia Nov 2022) itaingiza jumla ya mabasi 750. Pia, watarejesha mfumo wa malipo ya kadi pekee katika vituo vya mwendokasi.
Hata hivyo, hadi sasa wananchi hatuoni hayo mabasi mapya, hatuoni kuboreshwa kwa huduma ya usafiri wa mwendokasi na wala hatuwaoni watendaji wa Kampuni ya Emirates National Group kutoka Falme za Kiarabu.
Tatizo ni nini? Mbona wananchi hatuelezwi? Waarabu wamepatwa na nini? Kama wameshindwa hatuwezi kupata waarabu wengine wawekeze kwa kuzingatia waarabu wamefanikiwa sana katika sekta ya usafirishaji?
Information is power.
Soma DAR: DART kuondoa tiketi vituo vya Mwendokasi, malipo ya kadi kurejea