MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Gifted Intellectually, Knowledgeable, Challenger and Well Informed Person.then angalau zingatia au maanisha ulichokiandik kwenye signature yako mkuu...
hatujaelewana/hujanielewa...Gifted Intellectually, Knowledgeable, Challenger and Well Informed Person.
Je, una lingine labda?
Inahusu Mfungo wowote kwani? Upi huo?Hizi mada zingesubiri tumalize mfungo asee!.
Acha Kupoteza / Kunipotezea muda jadili Mada kama huna cha Kuchangia nakushauri tu nenda ukalale au Kacheze na Wajukuu zako sawa?hatujaelewana/hujanielewa...
Kwanini mnapata Mvua na wengine Jua linawakaanga tu?Kwahy unatuonea wivu.?
okay...Acha Kupoteza / Kunipotezea muda jadili Mada kama huna cha Kuchangia nakushauri tu nenda ukalale au Kacheze na Wajukuu zako sawa?
Wewe acha upumbavu, unataka waislamu, wafunge kwa kufuata mistari ya bibilia sasa utakua Uislamu huo.Unawasema wale ambao wanabadili ratiba ya chakula kutoka mchana kuwa usiku?
Kweli mkuu hata Uarabuni waislam ni wengi sababu wamesilimu na kule kwao kubadili dini kutoka uislamu ni kitu cha kawaida huwezi kuhukumiwa kifoWakristo wengi wako wakristo sababu wamezaliwa na wazazi wakristo, ila wengi hawana mafundisho juu ya Ukristo nini, na jinsi ya kuishi.
Pasaka kila mwaka inafanyika, Wiki ya pili ya mwezi wa nne.
Mwezi wa kwa Dar ni kipindi cha mvua, lakini ukitaka kuona akili za huyu mwenye mada zinafikili karibu. Pasaka inaadhimishwa Duniani kote, ila kuna upande wa Dunia mwezi huu hawana mvua.
Hata hapa Tanzania tu baadhi ya maeneo yanashuhudia jua.