Kwanini Mwenyezi Mungu hupenda sana Kuwazawadia Wakristo Mvua Siku za Pasaka na Krismas huku wengine akiwakaanga na Jua Kali tu?

Na zile mvua zilizonyesha kabla na baadae zikapotea mpaka mazao yakakauka ni kwamba Mungu ameona kukausha mazao ni bora zaid halafu baadae alete mvua kuondoa vumbi tu?
 
Mr popoma naona umerud kivingine baada ya kutumikia Adhabu kwenye ile ID nyingine

Uandishi wako ni ule ule ...Mr game changer
 
Mwakani Eid el fitri na Pasaka huenda zikawa katika siku zinazowiana, sijui utasema nn?
Yaani Gentamycine unashindwa hata kujua kuna maswala ya majira ya mwaka! Sijui ulitaka kulenga nn?
 
Ni kwanini mnafunga usiku na kufungulia mchana mwaka mzima, ila Ramadhani tu ndio mnafunga kinyume na utaratibu, Y?
 
Acha Kupoteza / Kunipotezea muda jadili Mada kama huna cha Kuchangia nakushauri tu nenda ukalale au Kacheze na Wajukuu zako sawa?
Disemba na April/March huwa ni masika maeneo mengi Tanzania,sehemu zingine huko duniani huwa kiangazi au kipupwe,hakuna mvua...sidhani Kama huyo mungu wako ni wa Tanzania tu,xmass na pasaka zingekua mwezi wa nane na wa tisa na mvua kweli ikanyesha tungeona Kuna Jambo...lakini kwa akili zako nyingi unadhani mvua hunyesha Tanzania nzima siku za pasaka na xmass!?
 
Ni kwanini mnafunga usiku na kufungulia mchana mwaka mzima, ila Ramadhani tu ndio mnafunga kinyume na utaratibu, Y?
Nani anafunga usiku!?...au usiku huanza saa sita za usiku!?...maana mpaka saa tano usiku mabanda ya chips yapo wazi!!!...akili zenu huwa ndogo,ndiyo maana mnaabudu mtu aliyekataa govi siku ya nane baada ya kuzaliwa
 
LInda saum Yako usishindane na toilet paper
 
Muulize anataka waislam wafungeje!?
 
Hakuna ushahidi wowote wa kimaandiko juu ya easter na christimas na hakuna mahali popote pale ambapo wanafunzi ndugu na wayahud wengneo waliposherekea sikukuu ya kuzaliwa kwa YESU hakuna. Bora yetu islamic
 
Pasaka ni siku takatifu ya kumbukizi ya Masihi Yesu kristo,ndio maana mvua inanyesha kuonyesha baraka
Unaweza weka msitari unaoeleza Hilo!?..maana askofu kilaini,bingwa wa historia ya kanisa anasema ni sikukuu ya wapagani wa Roma,ambapo jua halikua likionekana kwa siku tatu,siku ya tatu likitokea wanafanya sherehe,kanisa liliposhika hatamu Roma wakaona wasitoe kila kitu Cha kipagani,wakabakiza pasaka wakaiunganisha na yesu,yesu mwenyewe alishakula pasaka...kwa ziada tafuta neno Easter kwenye kamusi ya kiingereza uone maana yake
 
Mibaraka teletele..kuonyesha ukristo ni dini ya Mungu wa kweli wa upendo na amani kwa watu wote...sio ile ya mnyaaazimungu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…