Kwanini Mwenyezi Mungu hupenda sana Kuwazawadia Wakristo Mvua Siku za Pasaka na Krismas huku wengine akiwakaanga na Jua Kali tu?

Nani anafunga usiku!?...au usiku huanza saa sita za usiku!?...maana mpaka saa tano usiku mabanda ya chips yapo wazi!!!...akili zenu huwa ndogo,ndiyo maana mnaabudu mtu aliyekataa govi siku ya nane baada ya kuzaliwa
Mi sina dini ndugu yangu, ila hata mtu akila saa tano usiku, si unalala hadi saa tano asubuhi ndio unakunywa chai, bado masaa ni yale yale tu. So Y mnapindua ratiba ya mfungo?
 
Waarabu asili yao jangwa bwashekhee.
 
Mi sina dini ndugu yangu, ila hata mtu akila saa tano usiku, si unalala hadi saa tano asubuhi ndio unakunywa chai, bado masaa ni yale yale tu. So Y mnapindua ratiba ya mfungo?
Saa tano usiku Hadi asubuhi ni masaa(saa) 5,ni sawa na kunywa supu saa mbili asubuhi na kula ugali saa Saba mchana
 
Mbona iko kinyume,nyie inanyesha ili mtulie nyumbani maana hamna pakwenda,
 
Utaanzaje kuswali kwenye tope kutumia mswala na huku umevaa kanzu nyeupe, hata vyura weupe siku za mvua hujificha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…