Kwanini Mwigulu akiwa na cheo Serikalini lazima awe na timu ligi kuu?

Wadhamini wapya
 
Kinachonikera sio suala la yeye kumiliki timu.

Ila ni jinsi DTB ilivyotumia rushwa kwa kuhonga marefa na baadhi ya timu zisizojielewa ili ipande ligi kuu.

Kuna haja ya ligi daraja la kwanza kumulikwa kwa ukaribu.

Afrika kila kitu ni hovyo hovyo tu
 
eleza anavunja sheria gani akimiliki timu?
 
Mwigulu aliiokoa kutoka kwa mhuni aliyeitumia Kama daraja kupata ubunge tapeli wa bilioni 20 za heroin sc akaitelekeza.anapaswa kushukuriwa.
 
Huwa namini mwigulu Ni mpambnaji haswa katoka ktk familia ya nobody watoto 11 ila kapambna had ilboru Kisha udsm Kisha uwaziri Kisha biashara kubwa Kisha club kubwa Kisha mabas Kisha kampuni za kubeti Kisha mashamba makubwa
Jmn kapambna haswa
 
Ko nani hajapambana??waziri gani anakuwa kilaza namna hii
 
unao ushahidi wa haya usemayo?
 
Una ushahidi gani kwamba timu zilikuwa zake. Au hisia tu! Pengine na kachuki kidogo[emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…