Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anachota tu hela za nchiKipindi akiwa Waziri wa Mambo ya Ndani na Nchi, alikuwa anamiliki timu ya Singida Utd ya pale mkoani Singida. Akajaza wachezaji wa kigeni kibao kama vile Michel Rusheshagonga, Shafik Batambuze, Tafazwa Kutinyu nk
Wadhamini nao wakajitokeza wa kutosha mpaka jezi ikawa imechafuka kwa matangazo ya wadhamini.
Miaka michache baadae akatumbuliwa na hayati Magufuli, hatimae na mrija wa pesa ukapungua, wadhamini wakajitoa Singida ikashuka na kusahaulika ligi kuu bara.
Aliporudishwa kwenye Baraza la Mawaziri enzi ya Magufuli, akakaa kwa adabu bila kujihusisha na umiliki wa timu.
Baada ya kifo cha hayati Magufuli, Mama Samia akawa Rais na kumchagua Mwigulu kuwa Waziri wa Fedha. Ndani ya mwaka mmoja tu, tayari timu yake mpya aliyoinunua ya DTB imepanda daraja huku baadhi ya wachezaji waliopandisha timu hiyo wakiwa ni wale wale waliotumika enzi ya Singida Utd.
Japo amekuwa akikanusha kuwa yeye sio mmiliki, lakini ukweli siku zote haujifichi. DTB ina mastaa kibao kama Juma Abdul, Amis Tambwe, David Mwantika, Nicholaus Gyan, Tafazwa Kutinyu, na wengineo wengi.
Hizi fedha huwa anatoa wapi? Ni kwanini huwa anamiliki akiwa na cheo tu Serikalini?
hii ungemuuliza yeye mwenyeweKipindi akiwa Waziri wa Mambo ya Ndani na Nchi, alikuwa anamiliki timu ya Singida Utd ya pale mkoani Singida. Akajaza wachezaji wa kigeni kibao kama vile Michel Rusheshagonga, Shafik Batambuze, Tafazwa Kutinyu nk
Wadhamini nao wakajitokeza wa kutosha mpaka jezi ikawa imechafuka kwa matangazo ya wadhamini.
Miaka michache baadae akatumbuliwa na hayati Magufuli, hatimae na mrija wa pesa ukapungua, wadhamini wakajitoa Singida ikashuka na kusahaulika ligi kuu bara.
Aliporudishwa kwenye Baraza la Mawaziri enzi ya Magufuli, akakaa kwa adabu bila kujihusisha na umiliki wa timu.
Baada ya kifo cha hayati Magufuli, Mama Samia akawa Rais na kumchagua Mwigulu kuwa Waziri wa Fedha. Ndani ya mwaka mmoja tu, tayari timu yake mpya aliyoinunua ya DTB imepanda daraja huku baadhi ya wachezaji waliopandisha timu hiyo wakiwa ni wale wale waliotumika enzi ya Singida Utd.
Japo amekuwa akikanusha kuwa yeye sio mmiliki, lakini ukweli siku zote haujifichi. DTB ina mastaa kibao kama Juma Abdul, Amis Tambwe, David Mwantika, Nicholaus Gyan, Tafazwa Kutinyu, na wengineo wengi.
Hizi fedha huwa anatoa wapi? Ni kwanini huwa anamiliki akiwa na cheo tu Serikalini?
Sasa amenunua IHEFUKipindi akiwa Waziri wa Mambo ya Ndani na Nchi, alikuwa anamiliki timu ya Singida Utd ya pale mkoani Singida. Akajaza wachezaji wa kigeni kibao kama vile Michel Rusheshagonga, Shafik Batambuze, Tafazwa Kutinyu nk
Wadhamini nao wakajitokeza wa kutosha mpaka jezi ikawa imechafuka kwa matangazo ya wadhamini.
Miaka michache baadae akatumbuliwa na hayati Magufuli, hatimae na mrija wa pesa ukapungua, wadhamini wakajitoa Singida ikashuka na kusahaulika ligi kuu bara.
Aliporudishwa kwenye Baraza la Mawaziri enzi ya Magufuli, akakaa kwa adabu bila kujihusisha na umiliki wa timu.
Baada ya kifo cha hayati Magufuli, Mama Samia akawa Rais na kumchagua Mwigulu kuwa Waziri wa Fedha. Ndani ya mwaka mmoja tu, tayari timu yake mpya aliyoinunua ya DTB imepanda daraja huku baadhi ya wachezaji waliopandisha timu hiyo wakiwa ni wale wale waliotumika enzi ya Singida Utd.
Japo amekuwa akikanusha kuwa yeye sio mmiliki, lakini ukweli siku zote haujifichi. DTB ina mastaa kibao kama Juma Abdul, Amis Tambwe, David Mwantika, Nicholaus Gyan, Tafazwa Kutinyu, na wengineo wengi.
Hizi fedha huwa anatoa wapi? Ni kwanini huwa anamiliki akiwa na cheo tu Serikalini?
Sawa mama esther luxuryhii ungemuuliza yeye mwenyewe
Hajawahi kushuka cheo kama Mwigulu then timu yake ikapotea, na baada ya kupata cheo timu yake ikarudi tena kivingineMbona Mzee wa Ruangwa na Namungo yake hatumsimangi
Tayari umeshaconnect Dots. Serikalini kuna pesa hasa ukiwa nafasi za maamizi makubwa kama waziri.Kipindi akiwa Waziri wa Mambo ya Ndani na Nchi, alikuwa anamiliki timu ya Singida Utd ya pale mkoani Singida. Akajaza wachezaji wa kigeni kibao kama vile Michel Rusheshagonga, Shafik Batambuze, Tafazwa Kutinyu nk
Wadhamini nao wakajitokeza wa kutosha mpaka jezi ikawa imechafuka kwa matangazo ya wadhamini.
Miaka michache baadae akatumbuliwa na hayati Magufuli, hatimae na mrija wa pesa ukapungua, wadhamini wakajitoa Singida ikashuka na kusahaulika ligi kuu bara.
Aliporudishwa kwenye Baraza la Mawaziri enzi ya Magufuli, akakaa kwa adabu bila kujihusisha na umiliki wa timu.
Baada ya kifo cha hayati Magufuli, Mama Samia akawa Rais na kumchagua Mwigulu kuwa Waziri wa Fedha. Ndani ya mwaka mmoja tu, tayari timu yake mpya aliyoinunua ya DTB imepanda daraja huku baadhi ya wachezaji waliopandisha timu hiyo wakiwa ni wale wale waliotumika enzi ya Singida Utd.
Japo amekuwa akikanusha kuwa yeye sio mmiliki, lakini ukweli siku zote haujifichi. DTB ina mastaa kibao kama Juma Abdul, Amis Tambwe, David Mwantika, Nicholaus Gyan, Tafazwa Kutinyu, na wengineo wengi.
Hizi fedha huwa anatoa wapi? Ni kwanini huwa anamiliki akiwa na cheo tu Serikalini?
Cha ajabu anaachwa tu aendeleze ufisadi au tuseme ndio anakumbatiwa Kama kifaranga kisiguswe na kunguru.Kipindi akiwa Waziri wa Mambo ya Ndani na Nchi, alikuwa anamiliki timu ya Singida Utd ya pale mkoani Singida. Akajaza wachezaji wa kigeni kibao kama vile Michel Rusheshagonga, Shafik Batambuze, Tafazwa Kutinyu nk