Kwanini Mwigulu akiwa na cheo Serikalini lazima awe na timu ligi kuu?

Analazimisha kuipaisha singida kupitia mpira lakini wapi.
 
Anachota tu hela za nchi

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
jamaa amegundua namna pekee na salama ya kutakatisha fedha anazoiba serikalini ni kupitia timu ya mpira anayomiliki.
 
hii ungemuuliza yeye mwenyewe
 
Sasa amenunua IHEFU
 
Mbona Mzee wa Ruangwa na Namungo yake hatumsimangi
Hajawahi kushuka cheo kama Mwigulu then timu yake ikapotea, na baada ya kupata cheo timu yake ikarudi tena kivingine
 
Tayari umeshaconnect Dots. Serikalini kuna pesa hasa ukiwa nafasi za maamizi makubwa kama waziri.
 
Cha ajabu anaachwa tu aendeleze ufisadi au tuseme ndio anakumbatiwa Kama kifaranga kisiguswe na kunguru.
Akumbuke watu wanaona asifikiri wamenyamaza akadhani wanafurahia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…