Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Hata kaburi lake halijulikani lilipo! Lakini Nyerere utakuwa unamuonea, hapo wa kubanwa ni Abeid KarumeNipo mahala hapa kijiweni nafuatilia story kibao juu ya masuala yanayohusu matukio kibao yaliyotokea baada ya mapinduzi ya Zanzibar...
... atakuwa alizikwa baharini kama bin Laden.Niliwahi kusoma sehemu Fulani kuwa hata familia yake hawajui kaburi la mpendwa wao !😣
Ni kweli?
Kama ndivyo Zanzibar kunahitaji Maridhiano kama walivyofaanya / wanavyofanya Rwanda...la sivyo makovu kwenyee mioyo ya wengi ni hatari kwa Utaifa wao!
Hana chq ukachero wala nini. Kama mtu huyu kachukua story za vijiweni kaleta moja kwa moja akiwa hana uhakika wowote means hajui hiyo title ya detective.Kumbe ni story za kijiweni D/cpl. Unashindwa kufanya ukachero wako? Uditective wako ni upi sasa?
Kitendee haki cheo chako.
Babu yake na Shangazi Fatuma KarumeNani alimuua?
Kuna Waziri mkuu wa zanzibar aliwahi kuuliwa?ndiyo nasikia leo?Nipo mahala hapa kijiweni nafuatilia story kibao juu ya masuala yanayohusu matukio kibao yaliyotokea baada ya mapinduzi ya Zanzibar.
Kuna mzee anasimulia hapa juu ya watu kibao kuuliwa baada ya mapinduzi kutokea. Anadai kuwa aliyekuwa waziri mkuu wa Zanzibar Kassim Hanga aliuliwa na mpaka leo haijulikani aliyemuua ni nani na aliuwawa wapi.
Je ni kwa nini CCM tokea wakati wa hayati Nyerere hawataki kuweka wazi ukweli juu ya hili suala?