Kwanini Mzee Jakaya Kikwete ameteka mitandao yote leo?

Kwanini Mzee Jakaya Kikwete ameteka mitandao yote leo?

Ingewezekana leo tuifanye siku ya mapumziko. Ni raisi mstaafu alie fanya mengi japo watu wachache humletea vijidharau visivyo na kichwa. Binafsi namkubali JK forever.

Mh Jakaya Mrisho Kikwete aishi miaka mingi zaidi.
Wewe unakubali na sababu zako. Wengine hatumkubali na sababu zetu.
 
Ingewezekana leo tuifanye siku ya mapumziko. Ni raisi mstaafu alie fanya mengi japo watu wachache humletea vijidharau visivyo na kichwa. Binafsi namkubali JK forever.

Mh Jakaya Mrisho Kikwete aishi miaka mingi zaidi.
Umesahau alivyokuwa akitukanwa kule bungeni na akina Mnyika, Nassar nk na Chadema yenu?
 
Dikteta lazima asemweee!
snoop-dogg-crip-walk.gif

Ubarikiwe Ghiti.
 
RAIS Jakaya Kikwete leo Oktoba 7, 2022 anaadhimisha miaka 72 tangu kuzaliwa kwake ni jambo la kheri na tunaungana na watanzania wengine kumtakia kheri Mzee wetu wa Maisha Bora kwa Kila Mtanzania.

Sasa Swali linakuja Tarehe ya Kuzaliwa JK inajulikana ni kwa nini miaka yote hatujawahi kuona Promo kubwa kiasi hiki ya kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa, lakini leo vyombo vyote vya habari vimeteka habari hiyo, mitandao yote ya kijamii na hata viongozi mbambalimbali kuanzia Wasanii, Watu maarufu, Wabunge, Wakuu wa Wilaya, Wakuu wa Mikoa, Mawaziri kila mmoja kwa nafasi yake akimpamba Rais Kikwete na kupost picha aidha wakiwa pamoja au picha yake na maneno lukuki.

Mungu mbariki JK.

Alikuwa ana utu Sana. Tena kipindi chake alitoa Uhuru wa kisiasa ambao leo haupo.
 
Ingewezekana leo tuifanye siku ya mapumziko. Ni raisi mstaafu alie fanya mengi japo watu wachache humletea vijidharau visivyo na kichwa. Binafsi namkubali JK forever.

Mh Jakaya Mrisho Kikwete aishi miaka mingi zaidi.

Watu walimtukana Sana mzee kipindi Cha dikteta. Kana kwamba hakufanya lolote. Ila alivumilia Leo upendo wake umejulikana. JK aliruhusu Uhuru wa kisiasa na hata kuanza mchakato wa katiba mpya.
 
Muasisi wa udikteta nchini hata birhday yake hatukuijua.

Yule dikteta alitaka kuwabadilisha watanzania kuwa mazombie, ila karma ikakataa ikaondoka naye. Akajaza wabunge wa ccm ili aongeze miaka Saba mambo yakagoma.
 
Back
Top Bottom