Kwanini Mzee Jakaya Kikwete ameteka mitandao yote leo?

Tupe ushahidi wa hilo usemalo.? Au umekazana tu kuropoka.?
Unahitaji ushahidi sio? Kwa nini huwa kila leo mnawaongea wanasiasa wengi juu ya mambo mbalimbali huwa mnaushahidi! Huyo mtu wako ni shetani anayetabasamu! Wezi wote wa Mali za uma lazima mmuone mtu mwema maana aliwapa ulaji!
 
Smarter, humble, Innocent, Genius,Consideret,Man of The people, Diplomatic, Amicably personally (A man without complications)...
Hongera Mh.Jakaya Mrisho Kikwete for your 72years on Land,we still love you and wish you all the best.
May The Almighty God bless you.
 
Unahitaji ushahidi sio? Kwa nini huwa kila leo mnawaongea wanasiasa wengi juu ya mambo mbalimbali huwa mnaushahidi! Huyo mtu wako ni shetani anayetabasamu! Wezi wote wa Mali za uma lazima mmuone mtu mwema maana aliwapa ulaji!
Unawezaje kumuita mtu mwizi ikiwa haujamkamata akiiba. ?? Wewe umejazwa maneno tu ya chuki yasiyo na ukweli
 
Muacheni Baba wa watu na nyota yake
Licha ya kujaliwa mwonekano ana personality nzuri na UTU
 
Uzuri ni kuwa kifo kinamnyemerea kama tulivo wanadamu wote! Amejivika kuwa mwanakondoo kumbe ni mbwa mwitu ndani yake! Huyu mi siwezi kumsifu kwa chechote kwanza ni mnafiki na hana uzalendo wowote!
 
Hakuna kizuri kisicho na kasoro

Atapambana na Mungu wake
 
Back
Top Bottom