Kwanini Mzee Jakaya Kikwete ameteka mitandao yote leo?

Kwanini Mzee Jakaya Kikwete ameteka mitandao yote leo?

Acha ujinga, jifunza kazi za upinzani katika mfumo wa vyama vingi.
J.K made it, wapinzani ndo walimpaka matope na baadae mjomba. Na hiyo tabia isipoisha Mungu atakuja kunyoosha mkono wake juu yetu, yaani mtu mwema hatumtendei yaliyo mema, akija alokinyume tunaanza kumpigia kelele Muumba. Kumbukeni kisa Cha Yesu ndo mtaelewa namaanisha nini
 
Birthday yake ina impact gani kwenye maisha ya mtanzania? Kafanyiwa coverage msahau kilo ya unga wa sembe kupanda bei.
 
Watu walimtukana Sana mzee kipindi Cha dikteta. Kana kwamba hakufanya lolote. Ila alivumilia Leo upendo wake umejulikana. JK aliruhusu Uhuru wa kisiasa na hata kuanza mchakato wa katiba mpya.
Kabsa mkuu. Mm mwenyewe nikikaa na kutulia nasema JK unisamehe kama kuna mahali nilikuona hufai. Huwa najiuliza aliwezawezaje mbona hawa wameshindwa.. ? Mtu na nusu huyu
 
Jifunze wajibu wa upinzani halisi katika mfumo wa vyama vingi.
Watu walimtukana Sana mzee kipindi Cha dikteta. Kana kwamba hakufanya lolote. Ila alivumilia Leo upendo wake umejulikana. JK aliruhusu Uhuru wa kisiasa na hata kuanza mchakato wa katiba mpya.
 
Bora sisi matahira kulilo ww mfu. Ukiwa huna akili za kutambua mema yake basi ww ulishakufa huja yaona
Huyu Kikwete ndio ametenda mema kwenye jamii? Mataahira kw
 
Huyu mzee amegusa maisha ya watu wengi sana, hata mm hapa kwa namna flani amegusa maisha yangu.
Hakika ni mtu wa watu huyu Mh
 
Umesahau alivyokuwa akitukanwa kule bungeni na akina Mnyika, Nassar nk na Chadema yenu?
Uzuri mm sio chadema🤣🤣🤣. Na usije niita chadema mm sio chadema wala huoaswi kujua itikadi yangu ila siwez kuwa chadema mm ni mtanzania bado sina chama
 
Bora sisi matahira kulilo ww mfu. Ukiwa huna akili za kutambua mema yake basi ww ulishakufa huja yaona
Kwa hiyo ulivyo popoma unasema kikwete alivyo fisadi unamwita mtu mwema? Mtu mwizi wa mali za umma na kusababisha ukosefu wa huduma za kijamii unamwita mwema! Stupid stupid!
 
Kwa hiyo ulivyo popoma unasema kikwete alivyo fisadi unamwita mtu mwema? Mtu mwizi wa mali za umma na kusababisha ukosefu wa huduma za kijamii unamwita mwema! Stupid stupid!
Tupe ushahidi wa hilo usemalo.? Au umekazana tu kuropoka.?
 
Back
Top Bottom