Kwanini Mzee Jakaya Kikwete ameteka mitandao yote leo?

Ingewezekana leo tuifanye siku ya mapumziko. Ni raisi mstaafu alie fanya mengi japo watu wachache humletea vijidharau visivyo na kichwa. Binafsi namkubali JK forever.

Mh Jakaya Mrisho Kikwete aishi miaka mingi zaidi.
Wewe unakubali na sababu zako. Wengine hatumkubali na sababu zetu.
 
Ingewezekana leo tuifanye siku ya mapumziko. Ni raisi mstaafu alie fanya mengi japo watu wachache humletea vijidharau visivyo na kichwa. Binafsi namkubali JK forever.

Mh Jakaya Mrisho Kikwete aishi miaka mingi zaidi.
Umesahau alivyokuwa akitukanwa kule bungeni na akina Mnyika, Nassar nk na Chadema yenu?
 
Alikuwa ana utu Sana. Tena kipindi chake alitoa Uhuru wa kisiasa ambao leo haupo.
 
Ingewezekana leo tuifanye siku ya mapumziko. Ni raisi mstaafu alie fanya mengi japo watu wachache humletea vijidharau visivyo na kichwa. Binafsi namkubali JK forever.

Mh Jakaya Mrisho Kikwete aishi miaka mingi zaidi.

Watu walimtukana Sana mzee kipindi Cha dikteta. Kana kwamba hakufanya lolote. Ila alivumilia Leo upendo wake umejulikana. JK aliruhusu Uhuru wa kisiasa na hata kuanza mchakato wa katiba mpya.
 
Muasisi wa udikteta nchini hata birhday yake hatukuijua.

Yule dikteta alitaka kuwabadilisha watanzania kuwa mazombie, ila karma ikakataa ikaondoka naye. Akajaza wabunge wa ccm ili aongeze miaka Saba mambo yakagoma.
 
Kwasababu ndio mwenye naniliu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…