Unahitaji ushahidi sio? Kwa nini huwa kila leo mnawaongea wanasiasa wengi juu ya mambo mbalimbali huwa mnaushahidi! Huyo mtu wako ni shetani anayetabasamu! Wezi wote wa Mali za uma lazima mmuone mtu mwema maana aliwapa ulaji!Tupe ushahidi wa hilo usemalo.? Au umekazana tu kuropoka.?
Unawezaje kumuita mtu mwizi ikiwa haujamkamata akiiba. ?? Wewe umejazwa maneno tu ya chuki yasiyo na ukweliUnahitaji ushahidi sio? Kwa nini huwa kila leo mnawaongea wanasiasa wengi juu ya mambo mbalimbali huwa mnaushahidi! Huyo mtu wako ni shetani anayetabasamu! Wezi wote wa Mali za uma lazima mmuone mtu mwema maana aliwapa ulaji!
We! Tunaijua na mwakani watasherehekea Clouds na TBC. Itakuwa tarehe 30 February [emoji1787][emoji1787]Muasisi wa udikteta nchini hata birhday yake hatukuijua.
Uzuri ni kuwa kifo kinamnyemerea kama tulivo wanadamu wote! Amejivika kuwa mwanakondoo kumbe ni mbwa mwitu ndani yake! Huyu mi siwezi kumsifu kwa chechote kwanza ni mnafiki na hana uzalendo wowote!Muacheni Baba wa watu na nyota yake
Licha ya kujaliwa mwonekano ana personality nzuri na UTU
Hakuna kizuri kisicho na kasoroUzuri ni kuwa kifo kinamnyemerea kama tulivo wanadamu wote! Amejivika kuwa mwanakondoo kumbe ni mbwa mwitu ndani yake! Huyu mi siwezi kumsifu kwa chechote kwanza ni mnafiki na hana uzalendo wowote!