Kwanini Mzee Kikwete hakumteua Luteni Jenerali Gideon Sayore kuwa Mkuu wa Majeshi?

LG huwa anakuwa mnadhimu mkuu wa jeshi. Ni cheo kikubwa sana ambacho huwa anastaafu nacho. Hata Abdulrahman Shimbo hakuupata ukuu wa majeshi coz alishakuwa mnadhimu mkuu.
Uliona wapi mtu aliyekuwa waziri mkuu kwa bongo ahalafu akagombea uraisi akaupata? Hata akijaribu kamati ya Mangula inamchijia mbali sana. Rejea wazee hawa Malicela, Msuya, Pinda na hata mazee mamvi.
 
Ila hapo Mwalimu JKN alichemka mbaya hasa inapohusisha jeshi.
 

Kwaiyo unataka kusema Majaliwa ya Mungu nae hata kuwa rais?
 
Ila Mkwere anatunza mambo moyoni. Yaani anachuki na Nyerere sijapata kuona. Anamchukia Nyerere japo kesha kufa. Na hata Nyerere Foundation aliwazibia sana wale wazee akina Butiku. Daaah!
 
Mzee Kikwete yupo, tafadhali muulize!
 
..Mabeyo alikuwa CoS.

..Mwamunyange alikuwa CoS.

..Naomba kusahihishwa.

NB:

..hayo ya JK na Sayore siyafahamu.
wrong......
context ni je, umewahi kuona CoS wa utawala 'unaoachia madaraka' anateuliwa kuwa CDF?

sasa mwamunyange na mabeyo waliteuliwa na maraisi walioingia madarakani, wakahudumu kwa mwaka kisha wakapewa u-jenerali kamili.......

ni kama tu samia angempa yule aliyempeleka zambia....
 
Mwamunyange hajawahi kuwa chief of stuff alikuwa mkuu wa Jkt kabla hajawa mkuu wa majeshi

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
alipoingia jk madarakani, alimpandisha na kuwa luten kisha akamteua kuwa CoS..... obviously huwa ni njia ya kuonesha yeye ndio CDF anaefata!
hata jpm alifanya hivo hivo kwa mabeyo.... ni samia tu ndio amemwondoa (amemruka) CoS alomteua yeye mwenyewe na kutompa u-jenerali
 
Hii story niliisikia.

Lakini Nyerere alimkosea sana Kikwete.

Ukiletewa habari in good faith, una obligation ya ku protect sources.

Yani hata kama Nyerere alitaka wanajeshi wayamalize wenyewe, angeweza kumwambia mkuu wa majeshi kwamba nasikia huko kuna migogoro, nataka muimalize wenyewe, bila kutaja kaisikiaje.

Alichofanya Nyerere ni betrayal of confidence.

Yani mtu kakuamini kama wewe mkuu wake wa kazi, kakupa information in confidence, halafu unamfanyia usaliti kwa kumuanika barua yake yote aliyoandika pamoja na jina lake.

Hapo Nyerere alifanya unafiki wa kujionesha mtu wa principles za uongozi, Kikwete akamuamini kwamba yuko serious, kumbe yuko selective kwa nani ana zi apply, wanajeshi anawaogopa au anawafumbia macho. There was a clear conflict of imterest in that whole setup, Kikwete was right to raise a concern.

Pia, alifanya hata watu wengine wenye information muhimu kutoamini kwamba watakuwa salama wakimletea information.

Mimi si shabiki wa Kikwete, ila, kwa habari hizi, Nyerere alimkosea sana Kikwete.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…