cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe wee ni dogo tyuuh, daaahKwisha kaka [emoji1787]2020 nlikuw pale mujibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe wee ni dogo tyuuh, daaahKwisha kaka [emoji1787]2020 nlikuw pale mujibu
Kabisaaa alifanya makusudi wakamalizane huko huko kambini kwao, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hakutaka majungu wala umbea.
LG huwa anakuwa mnadhimu mkuu wa jeshi. Ni cheo kikubwa sana ambacho huwa anastaafu nacho. Hata Abdulrahman Shimbo hakuupata ukuu wa majeshi coz alishakuwa mnadhimu mkuu.Mtakumbuka Mara tu baada ya Kikwete kuingia madarakani mwaka 2005, Mkuu wa Majeshi Robert Mboma alikuwa anakaribia muda wake wa kustaafu.
Msaidizi wa General Mboma alikuwa Luteni Generali Gideon Sayore. LG Sayore alikuwa hajafikisha umri wa kustaafu jeshinni huku Bosi wake Mboma akistaafu.
Kwanini Rais Kikwete hakumteua kuwa Mkuu wa Majeshi?
Ila hapo Mwalimu JKN alichemka mbaya hasa inapohusisha jeshi.Kipindi hicho mkuu wa chuo alikuwa Gideon Sayore, Kikwete alikuwa ni mmoja wakufunzi wa siasa chuoni hapo.
Sasa ilikuwa hivi:
Mzee Sayore alikuwa anafuga ng'ombe wengi pamoja kufanya shughuli za kilimo kwa wingi wakati huo huo akiwa mkuu wa chuo cha kijeshi Monduli.
Hivyo basi baada ya kuona ng'ombe wanatoa maziwa mengi mno na mazao yametapakaa mashambani akaamua kuwa awe analiuzia jeshi mazao kama vile maharage na mahindi pamoja na maziwa na nyama kutoka kwenye mifugo yake na pesa anachukua yeye mwenye mazo.
Aliendelea kufanya hivyo kwa kipindi kirefu tu.. ikiwa ni kama sehemu yake ya maisha.
Sasa bwana kumbe Kikwette (JK) ilikuwa inamuuma sana sana, yaani mno! Sasa haieleweki kama ilikuwa kweli ni kwa uzalendo ua wivu tu akaandika barua kwa Rais kipindi hicho JK Nyerere.
Katika barua hiyo akaandika lawama nyingi mno na majungu mengi sana dhidi ya Sayore, akimwita bepari, bwenyenye, mnyonyaji n.k huku akisema hafai kuwa mkuu wachuo hicho kwa kuwa inavunja miiko ya uongozi na mambo mengine mengi (si mnamjua JK anavyojua kupiga fitna!)
Basi bwana, akamalizia mwisho kwa kujiandika jina lake na sahihi yake huku akijiita mzalendo kamili barua ikapostiwa ikiwa imeadresiwa kwa Rais wa nchi wakati huo!
Mwalimu, aliipata barua ile aliifungua akaisomaaaa kisha akapiga hesabu zake....sijui aliwaza nini mzee yule, akaihifadhi ile barua ikaa sana ofini kwake bila kuchukua uamuzi wowote.
Siku moja alipokuja mkuu wa majeshi wakati huo "General Mtukula" (David Musuguli) ofisini kwa Mwalimu eaisi kipindi hicho, mwalimu akampa ile barua kutoka kwa Kikwete "akisema hayo ni mambo yenu kayamalizeni hukohuko".
Basi bwana ile barua Mkuu wa majeshi alikaa nayo muda hivi kwenye makabrasha yake. Sasa siku moja alikuja Mkuu wa chuo cha kijeshi Monduli(Sayore) Dar es salaam kufanya shughuli za kikazi akaenda hadi ofisini kwa Mkuu wa majeshi.
Baada ya shughuli kwisha na Sayore akiwa anajiandaa kwenda Monduli Mkuu wa majeshi alimwita, akampa ile barua ya Kikwete aliyomwandikia Rais!
Sayore akaisoomaaa we akashangaa mno!! Na akafura kwa hasira yule mmasai, akuliza mwalimu kasemaje? Akaambiwa mwalimu kasema yamalizeni wenyewe. Akasema naam, na akaondoka na ile barua hadi Monduli.
Alipofika tu yule mmasai aliitisha kikao cha wakufunzi wote na wakuu wengine pale chuoni, wakati wanajikusanya kwenda kwenye chumba cha mkutano yeye aliamua kwenda kutoa copy ile barua ya Kikwete, kopi nyingi idadi sawa na wajumbe wa mkutano ule.
Alipoingia mkutanoni akawaona wakuu na wakufunzi wote wameketi wakimsubiri wajue alicho waitia, akaanza kwa kuwauliza. Jamani kama kuna mtu ana matatizo, au anaona kuna jambo haliendi sawa anyooshe mkono na saemekinacho mkereketa, watu wote wakawa kimya huku wengine wakisema hamna mkuu akiwemo Kikwete.
Basi bwana, tumalizie mkasa huu
Sayore akaanza kuwagawia zile nakala (copies) za ile barua ya Kikwete kwenda kwa rais akawagawia wooote including Kikwete!!! Huku yule mmasasi Sayore akiwa amefura kwa hasira, macho mekunduuu! Akagonga ngumi juu ya meza kwa hasira na kusema someni hiyo barua!! kisha akatoka na kusema anakuja muda si mrefu.
Hapo Kikwete akajua kifo chake kimefika, akikumbuka macho ya yuile mmasai! akatetemeka macho yakamtoka lip! kwa woga! Na wenzie wakamwanzishia zogo mle ndani.
Alichokifanya ni kuondoka haraka pale kikaoni wenzie wakajua bado yupo chuoni, kumbe safari ya Dar ikawa imeanza...!! Jamaa alitembea uchochoroni kwa muda mrefu sana huku akiogo kabisa kuingia barabara ya kuu.
Mashuhuda wanasema yule bwana akaja kupanda lift ya gari za vyama vya ushirika maeneo ya USA RIVER, hakukumbuka kubeba mzigo wowote! Just imagine kutoka Monduli hadi hapo jamaa aliteseka sana lakini yeye hakujali, cha muhimu ilikuwa kusalimisha maisha yake.
Basi huo ndiyo ukawa mwisho wa JK Monduli, hukurudi akaja Dar na kupangiwa kazi nyingine na chama lakini alikuwa anamlaani sana Nyerere eti kwanini alimfanyia vile!
Hicho ndicho chanzo cha JK kumchukia mwalimu na kugoma katakata kumwita baba wa taifa hadi leo! Yeye humwita mzee Nyrere tu au mwalimu baasi na mara chache akiwa nje ya nchi humwita 'Father of our Nation', lakini ni pale anapotaka kupigiwa makofi kwa nukuu za Mwalimu.
Wa nini?.Yupo wapi siku hizi....?
😁😁😁😁Kwani ajabu! Maisha tu yamenikomaza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe wee ni dogo tyuuh, daaah
Mkuu, huu uzi wa JK kukimbia Monduli, upo OG humu. Jamaa kauleta tu hapa. Ukiusoma na comment zake, utaburudika sana! Maswali mengi yameulizwa, na kujibiwa huko![emoji23][emoji23]Km hii stori ni kweli nimesalute. Lkn km ni ya kutunga basi nafasi ya katibu mwenezi CCM inakufaa kbsa coz sio kwa propaganda hivyo
LG huwa anakuwa mnadhimu mkuu wa jeshi. Ni cheo kikubwa sana ambacho huwa anastaafu nacho. Hata Abdulrahman Shimbo hakuupata ukuu wa majeshi coz alishakuwa mnadhimu mkuu.
Uliona wapi mtu aliyekuwa waziri mkuu kwa bongo ahalafu akagombea uraisi akaupata? Hata akijaribu kamati ya Mangula inamchijia mbali sana. Rejea wazee hawa Malicela, Msuya, Pinda na hata mazee mamvi.
Mwamunyange hajawahi kuwa chief of stuff alikuwa mkuu wa Jkt kabla hajawa mkuu wa majeshiMwamunyange alikuwa CofS nadhani aliachwa na Waitara yeye akawa CDF!
Ila Mkwere anatunza mambo moyoni. Yaani anachuki na Nyerere sijapata kuona. Anamchukia Nyerere japo kesha kufa. Na hata Nyerere Foundation aliwazibia sana wale wazee akina Butiku. Daaah!Kipindi hicho mkuu wa chuo alikuwa Gideon Sayore, Kikwete alikuwa ni mmoja wakufunzi wa siasa chuoni hapo.
Sasa ilikuwa hivi:
Mzee Sayore alikuwa anafuga ng'ombe wengi pamoja kufanya shughuli za kilimo kwa wingi wakati huo huo akiwa mkuu wa chuo cha kijeshi Monduli.
Hivyo basi baada ya kuona ng'ombe wanatoa maziwa mengi mno na mazao yametapakaa mashambani akaamua kuwa awe analiuzia jeshi mazao kama vile maharage na mahindi pamoja na maziwa na nyama kutoka kwenye mifugo yake na pesa anachukua yeye mwenye mazo.
Aliendelea kufanya hivyo kwa kipindi kirefu tu.. ikiwa ni kama sehemu yake ya maisha.
Sasa bwana kumbe Kikwette (JK) ilikuwa inamuuma sana sana, yaani mno! Sasa haieleweki kama ilikuwa kweli ni kwa uzalendo ua wivu tu akaandika barua kwa Rais kipindi hicho JK Nyerere.
Katika barua hiyo akaandika lawama nyingi mno na majungu mengi sana dhidi ya Sayore, akimwita bepari, bwenyenye, mnyonyaji n.k huku akisema hafai kuwa mkuu wachuo hicho kwa kuwa inavunja miiko ya uongozi na mambo mengine mengi (si mnamjua JK anavyojua kupiga fitna!)
Basi bwana, akamalizia mwisho kwa kujiandika jina lake na sahihi yake huku akijiita mzalendo kamili barua ikapostiwa ikiwa imeadresiwa kwa Rais wa nchi wakati huo!
Mwalimu, aliipata barua ile aliifungua akaisomaaaa kisha akapiga hesabu zake....sijui aliwaza nini mzee yule, akaihifadhi ile barua ikaa sana ofini kwake bila kuchukua uamuzi wowote.
Siku moja alipokuja mkuu wa majeshi wakati huo "General Mtukula" (David Musuguli) ofisini kwa Mwalimu eaisi kipindi hicho, mwalimu akampa ile barua kutoka kwa Kikwete "akisema hayo ni mambo yenu kayamalizeni hukohuko".
Basi bwana ile barua Mkuu wa majeshi alikaa nayo muda hivi kwenye makabrasha yake. Sasa siku moja alikuja Mkuu wa chuo cha kijeshi Monduli(Sayore) Dar es salaam kufanya shughuli za kikazi akaenda hadi ofisini kwa Mkuu wa majeshi.
Baada ya shughuli kwisha na Sayore akiwa anajiandaa kwenda Monduli Mkuu wa majeshi alimwita, akampa ile barua ya Kikwete aliyomwandikia Rais!
Sayore akaisoomaaa we akashangaa mno!! Na akafura kwa hasira yule mmasai, akuliza mwalimu kasemaje? Akaambiwa mwalimu kasema yamalizeni wenyewe. Akasema naam, na akaondoka na ile barua hadi Monduli.
Alipofika tu yule mmasai aliitisha kikao cha wakufunzi wote na wakuu wengine pale chuoni, wakati wanajikusanya kwenda kwenye chumba cha mkutano yeye aliamua kwenda kutoa copy ile barua ya Kikwete, kopi nyingi idadi sawa na wajumbe wa mkutano ule.
Alipoingia mkutanoni akawaona wakuu na wakufunzi wote wameketi wakimsubiri wajue alicho waitia, akaanza kwa kuwauliza. Jamani kama kuna mtu ana matatizo, au anaona kuna jambo haliendi sawa anyooshe mkono na saemekinacho mkereketa, watu wote wakawa kimya huku wengine wakisema hamna mkuu akiwemo Kikwete.
Basi bwana, tumalizie mkasa huu
Sayore akaanza kuwagawia zile nakala (copies) za ile barua ya Kikwete kwenda kwa rais akawagawia wooote including Kikwete!!! Huku yule mmasasi Sayore akiwa amefura kwa hasira, macho mekunduuu! Akagonga ngumi juu ya meza kwa hasira na kusema someni hiyo barua!! kisha akatoka na kusema anakuja muda si mrefu.
Hapo Kikwete akajua kifo chake kimefika, akikumbuka macho ya yuile mmasai! akatetemeka macho yakamtoka lip! kwa woga! Na wenzie wakamwanzishia zogo mle ndani.
Alichokifanya ni kuondoka haraka pale kikaoni wenzie wakajua bado yupo chuoni, kumbe safari ya Dar ikawa imeanza...!! Jamaa alitembea uchochoroni kwa muda mrefu sana huku akiogo kabisa kuingia barabara ya kuu.
Mashuhuda wanasema yule bwana akaja kupanda lift ya gari za vyama vya ushirika maeneo ya USA RIVER, hakukumbuka kubeba mzigo wowote! Just imagine kutoka Monduli hadi hapo jamaa aliteseka sana lakini yeye hakujali, cha muhimu ilikuwa kusalimisha maisha yake.
Basi huo ndiyo ukawa mwisho wa JK Monduli, hukurudi akaja Dar na kupangiwa kazi nyingine na chama lakini alikuwa anamlaani sana Nyerere eti kwanini alimfanyia vile!
Hicho ndicho chanzo cha JK kumchukia mwalimu na kugoma katakata kumwita baba wa taifa hadi leo! Yeye humwita mzee Nyrere tu au mwalimu baasi na mara chache akiwa nje ya nchi humwita 'Father of our Nation', lakini ni pale anapotaka kupigiwa makofi kwa nukuu za Mwalimu.
Mzee Kikwete yupo, tafadhali muulize!Mtakumbuka Mara tu baada ya Kikwete kuingia madarakani mwaka 2005, Mkuu wa Majeshi Robert Mboma alikuwa anakaribia muda wake wa kustaafu.
Msaidizi wa General Mboma alikuwa Luteni Generali Gideon Sayore. LG Sayore alikuwa hajafikisha umri wa kustaafu jeshinni huku Bosi wake Mboma akistaafu.
Kwanini Rais Kikwete hakumteua kuwa Mkuu wa Majeshi?
wrong........Mabeyo alikuwa CoS.
..Mwamunyange alikuwa CoS.
..Naomba kusahihishwa.
NB:
..hayo ya JK na Sayore siyafahamu.
alipoingia jk madarakani, alimpandisha na kuwa luten kisha akamteua kuwa CoS..... obviously huwa ni njia ya kuonesha yeye ndio CDF anaefata!Mwamunyange hajawahi kuwa chief of stuff alikuwa mkuu wa Jkt kabla hajawa mkuu wa majeshi
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Daaah! Pole Sana ww utakuwa Binti/kijana wa kuzaa kabisaNje ya mada:
Nlivoenda Jkt Kuna ukumbi ulikua unaitwa "Mboma" kumbe ndo huyo!
Kijana wako! Kama umezaliwa kabla au mwaka 1972 upo sawa na mzazi wangu Kwa maana ya babaDaaah! Pole Sana ww utakuja Binti/kijana wa kuzaa kabisa
Hii story niliisikia.Kipindi hicho mkuu wa chuo alikuwa Gideon Sayore, Kikwete alikuwa ni mmoja wakufunzi wa siasa chuoni hapo.
Sasa ilikuwa hivi:
Mzee Sayore alikuwa anafuga ng'ombe wengi pamoja kufanya shughuli za kilimo kwa wingi wakati huo huo akiwa mkuu wa chuo cha kijeshi Monduli.
Hivyo basi baada ya kuona ng'ombe wanatoa maziwa mengi mno na mazao yametapakaa mashambani akaamua kuwa awe analiuzia jeshi mazao kama vile maharage na mahindi pamoja na maziwa na nyama kutoka kwenye mifugo yake na pesa anachukua yeye mwenye mazo.
Aliendelea kufanya hivyo kwa kipindi kirefu tu.. ikiwa ni kama sehemu yake ya maisha.
Sasa bwana kumbe Kikwette (JK) ilikuwa inamuuma sana sana, yaani mno! Sasa haieleweki kama ilikuwa kweli ni kwa uzalendo ua wivu tu akaandika barua kwa Rais kipindi hicho JK Nyerere.
Katika barua hiyo akaandika lawama nyingi mno na majungu mengi sana dhidi ya Sayore, akimwita bepari, bwenyenye, mnyonyaji n.k huku akisema hafai kuwa mkuu wachuo hicho kwa kuwa inavunja miiko ya uongozi na mambo mengine mengi (si mnamjua JK anavyojua kupiga fitna!)
Basi bwana, akamalizia mwisho kwa kujiandika jina lake na sahihi yake huku akijiita mzalendo kamili barua ikapostiwa ikiwa imeadresiwa kwa Rais wa nchi wakati huo!
Mwalimu, aliipata barua ile aliifungua akaisomaaaa kisha akapiga hesabu zake....sijui aliwaza nini mzee yule, akaihifadhi ile barua ikaa sana ofini kwake bila kuchukua uamuzi wowote.
Siku moja alipokuja mkuu wa majeshi wakati huo "General Mtukula" (David Musuguli) ofisini kwa Mwalimu eaisi kipindi hicho, mwalimu akampa ile barua kutoka kwa Kikwete "akisema hayo ni mambo yenu kayamalizeni hukohuko".
Basi bwana ile barua Mkuu wa majeshi alikaa nayo muda hivi kwenye makabrasha yake. Sasa siku moja alikuja Mkuu wa chuo cha kijeshi Monduli(Sayore) Dar es salaam kufanya shughuli za kikazi akaenda hadi ofisini kwa Mkuu wa majeshi.
Baada ya shughuli kwisha na Sayore akiwa anajiandaa kwenda Monduli Mkuu wa majeshi alimwita, akampa ile barua ya Kikwete aliyomwandikia Rais!
Sayore akaisoomaaa we akashangaa mno!! Na akafura kwa hasira yule mmasai, akuliza mwalimu kasemaje? Akaambiwa mwalimu kasema yamalizeni wenyewe. Akasema naam, na akaondoka na ile barua hadi Monduli.
Alipofika tu yule mmasai aliitisha kikao cha wakufunzi wote na wakuu wengine pale chuoni, wakati wanajikusanya kwenda kwenye chumba cha mkutano yeye aliamua kwenda kutoa copy ile barua ya Kikwete, kopi nyingi idadi sawa na wajumbe wa mkutano ule.
Alipoingia mkutanoni akawaona wakuu na wakufunzi wote wameketi wakimsubiri wajue alicho waitia, akaanza kwa kuwauliza. Jamani kama kuna mtu ana matatizo, au anaona kuna jambo haliendi sawa anyooshe mkono na saemekinacho mkereketa, watu wote wakawa kimya huku wengine wakisema hamna mkuu akiwemo Kikwete.
Basi bwana, tumalizie mkasa huu
Sayore akaanza kuwagawia zile nakala (copies) za ile barua ya Kikwete kwenda kwa rais akawagawia wooote including Kikwete!!! Huku yule mmasasi Sayore akiwa amefura kwa hasira, macho mekunduuu! Akagonga ngumi juu ya meza kwa hasira na kusema someni hiyo barua!! kisha akatoka na kusema anakuja muda si mrefu.
Hapo Kikwete akajua kifo chake kimefika, akikumbuka macho ya yuile mmasai! akatetemeka macho yakamtoka lip! kwa woga! Na wenzie wakamwanzishia zogo mle ndani.
Alichokifanya ni kuondoka haraka pale kikaoni wenzie wakajua bado yupo chuoni, kumbe safari ya Dar ikawa imeanza...!! Jamaa alitembea uchochoroni kwa muda mrefu sana huku akiogo kabisa kuingia barabara ya kuu.
Mashuhuda wanasema yule bwana akaja kupanda lift ya gari za vyama vya ushirika maeneo ya USA RIVER, hakukumbuka kubeba mzigo wowote! Just imagine kutoka Monduli hadi hapo jamaa aliteseka sana lakini yeye hakujali, cha muhimu ilikuwa kusalimisha maisha yake.
Basi huo ndiyo ukawa mwisho wa JK Monduli, hukurudi akaja Dar na kupangiwa kazi nyingine na chama lakini alikuwa anamlaani sana Nyerere eti kwanini alimfanyia vile!
Hicho ndicho chanzo cha JK kumchukia mwalimu na kugoma katakata kumwita baba wa taifa hadi leo! Yeye humwita mzee Nyrere tu au mwalimu baasi na mara chache akiwa nje ya nchi humwita 'Father of our Nation', lakini ni pale anapotaka kupigiwa makofi kwa nukuu za Mwalimu.
Yani nimekuja dar kwaajili Yako harafu ukanikataa dah...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah
Daaah! Hebu rudia kusoma ulichoandika.Hii CHAI. Mkuu wa Majeshi hana uwezo wa kumvua mtu cheo.
CDF hana mamlaka ya kumvua mtu cheo.Daaah! Hebu rudia kusoma ulichoandika.