Kwanini naamini Iran Ilikirupuka kuishambulia Israel kwa sababu lemavu?

matunduizi

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
7,968
Reaction score
19,368
Ayatollah na wadau wake walisema sababu ya kurusha makombora ni
1: Kisasi kwa kiongozi wa Hamas aliyeuwawa ndani ya ardhi yake na watu wanaodhaniwa ni waisrael.

2: Kuuwawa kwa kiongozi wa Hesbullah huko Lebanoni.

Ukiangalia sababu hizo zote hazina mashiko ukilinganisha sababu za mashambulizi ya kwanza baada ya kushambuliwa kwa ubalozi wake Syria. Ile ilijulikana ni ndege za Israel ndio zimelipua.

Kwa nini kakurupuka sasa.
1: Kiongozi wa Hamas aliuwawa na hakuna mtu aliyejitangaza kuhusika ikiwemo israel. Hata kama ni Israel ile ilikuwa ni misheni ya kijasusi qmbayo haikuacha nyayo nyuma. Huwezi kuitumia kama ushahidi kwa dunia nzima. Hawakuonyesha ushahidi usio nashaka kuwa Israel kahusika.

2: Hesbullah iko Lebanon . Ilitakiwa nchi ya Lebanon na Jeshi lake ndio lijibu au liiombe Iran iijibie kwa sababu ardhi yake ndio imeshambuliwa sio Iran. Kama Hezbullah ni tawi la Jeshi la Iran, Kiongozi wa Iran ameshasema Hesbullah wanajiweza wala hawahitaji msaada wa Iran. Hivyo wangewqacha Hesbullah wajibu au wawape hayo makombora wahusika.

Mtazamo wangu, Iran wamekurubuka, wamejibu kijadi sana.

Kama wanaushahidi wa kishushushu kuwa kiongozi wa hamas au Rais wao aliuwawa na Israel na hauwezi kutosha kusadikisha dunia, walipaswa na wao kujibu kishushushu. Iran ni moja ya nchi yenye Intelijensia kali sana. Walipaswa na wao kumuondoa Netanyahu kimyakimya bila kujitangaza. Kujibu hujuma kwa hujuma.

Kama wanawapenda sana Hezbullah (fimbo yao ya kuitesea Israel), walipaswa wapenyeze hayo makombora kwa Hesbullah au wayemen wajibu hukohuko, Maana kiongozi wa Hesbullah sio kiongozi wa Iran.
 
Waarabu na wapersia hawana tofauti na sisi africa iq zao bado zipo chini mafuta yanawasaidia sana.
 
Yaani ww wamtogole ndio unajua zaidi ya Wairan
Maswahibu ya wairan Ww huwezi yajua
 
😁
1000012801.jpg
 
Ukisoma historia ya Hezbollah na kiongozi wao aliyeuawa Nasrallah ndio utajua hawajakurupuka. Hezbollah inaongozwa na Iran kwa 99%, hata shambulio lililouwa kiongozi wao limeondoka na ma jenerali kibao wa Iran. Ni rahisi sana kiongozi wa nchi zilizoizunguka Israel kuuawa na wa Israel, lakini ni vigumu sana hao wengine kupenyeza Israel na kumuua hata mkuu wa mkoa. Iran haina intelijensia yoyote mnaipaisha tu mtandaoni. Hizo missiles walizotuma juzi zimeleta maafa gani!?..
 
Israel imekua chokozi mno kwa Iran na iran imekua ikivumilia

1. Wanasayansi wa Ira wamekuwa wakiuliwa ndani ya Iran na Mossad
2. Wanajeshi wa Iran wamekuwa wakiuliwa na Isreal wakiwa ndani ya Syria
3. Mgeni wa Iran Ismail Haniyeh kauliwa na Israel ndani ya Iran
4. Kulikuwa na Jenerali wa Iran aliyeuliwa na shambulio la Israel siku Nasrallah alivyoshambuliwa

Kwa vyovyote vile Iran alitakiwa afanye jambo, la sivyo Israel ingejiamini kupita kiasi na angeendelea kushambulia maslahi ya Iran day after day
 
Ayatollah na wadau wake walisema sababu ya kurusha makombora ni
1: Kisasi kwa kiongozi wa Hamas aliyeuwawa ndani ya ardhi yake na watu wanaodhaniwa ni waisrael.

2: Kuuwawa kwa kiongozi wa Hesbullah huko Lebanoni.

Ukiangalia sababu hizo zote hazina mashiko ukilinganisha sababu za mashambulizi ya kwanza baada ya kushambuliwa kwa ubalozi wake Syria. Ile ilijulikana ni ndege za Israel ndio zimelipua.

Kwa nini kakurupuka sasa.
1: Kiongozi wa Hamas aliuwawa na hakuna mtu aliyejitangaza kuhusika ikiwemo israel. Hata kama ni Israel ile ilikuwa ni misheni ya kijasusi qmbayo haikuacha nyayo nyuma. Huwezi kuitumia kama ushahidi kwa dunia nzima. Hawakuonyesha ushahidi usio nashaka kuwa Israel kahusika.

2: Hesbullah iko Lebanon . Ilitakiwa nchi ya Lebanon na Jeshi lake ndio lijibu au liiombe Iran iijibie kwa sababu ardhi yake ndio imeshambuliwa sio Iran. Kama Hezbullah ni tawi la Jeshi la Iran, Kiongozi wa Iran ameshasema Hesbullah wanajiweza wala hawahitaji msaada wa Iran. Hivyo wangewqacha Hesbullah wajibu au wawape hayo makombora wahusika.

Mtazamo wangu, Iran wamekurubuka, wamejibu kijadi sana.

Kama wanaushahidi wa kishushushu kuwa kiongozi wa hamas au Rais wao aliuwawa na Israel na hauwezi kutosha kusadikisha dunia, walipaswa na wao kujibu kishushushu. Iran ni moja ya nchi yenye Intelijensia kali sana. Walipaswa na wao kumuondoa Netanyahu kimyakimya bila kujitangaza. Kujibu hujuma kwa hujuma.

Kama wanawapenda sana Hezbullah (fimbo yao ya kuitesea Israel), walipaswa wapenyeze hayo makombora kwa Hesbullah au wayemen wajibu hukohuko, Maana kiongozi wa Hesbullah sio kiongozi wa Iran.
Kwan hujui pia kuwa Kuna general wa Iran aliyeuawa Lebanon? Nayo pia ni Sababu hyo in reality hakuna kukurupuka Israel wanataka kuitawala mashariki ya kati so Iran imefanya sawa kabisa Tena Bado kuiangamiza tu
 
Unachoongea hata macho huoni , yule Nasrallah sura hata mavazi si unaona anafanana na wakina Ayatollah ....Hao ni ndugu kabisa kama ulikuwa hujui , Hamas na Hezbollah baba yao ni Iran .
 
Iran kapata hasara kubwa sana, aliwekeza sana kwenye hivyo vikindi vya kigaidi vya kiislam. Hili ndio lilimpa kiwewe zaidi.

Nchi ni maskini, pesa nyingi inatumika kufadhili ugaidi na halafu upate hasara ya Karne!
 
Ni kweli tetesi zinasema Hesbullah ilianzishwa miaka ya 80 na kikundi cha wanajeshi 500 wa Iran, na Nasrallah aliwahi kusema 2016 kila kitu wanategema Iran hadi vinywaji. Ilq hii ni proxy force ya Iran. Israel ikiishambulia hesbullah hajaishambulia Iran moja kwa moja. Ni sawa na tetesi kuwa baadhi ya vikundi ya kigaidi Syria vilivyoshangilia kifo cha Nasrallah Syria ni projects za Israel na US, Wakati Russia anavibonda huko syria IDF wajibu mapigo kwa kuvurumusha makombora Moscow.
Huo ni ukosefu wa umakini, anatakiwa awape hizo silahq hao proxy ndio wafanye yeye asubiri ashambuliwe moja kwa moja ndio ajibu, akiwa na huruma ya kimataifa. Huu ndio msingi wangu kuona kakurupuka.
 
kwa sasa hata tukiongea tutaonekana tunapiga kelele bure, ngoja Israel wajibu ndio Iran watajua vizuri kwamba walikosea hii move
 
Iran kapata hasara kubwa sana, aliwekeza sana kwenye hivyo vikindi vya kigaidi vya kiislam. Hili ndio lilimpa kiwewe zaidi.

Nchi ni maskini, pesa nyingi inatumika kufadhili ugaidi na halafu upate hasara ya Karne!
Screenshot_20241004-081525_Chrome.jpg
 
Nyie mlivomuua Haniye ndani ya ardhi ya Iran mkaona raha leo wamefagia makao makuu ya Mossad mnaanza kulialia. Iran hamuiwezi battle ya mtu bee subiri US n Uk wawape plan ndio muende mkashambulie alafu majibu yake tutakuja kuchambua humu
 
Ukisoma historia ya Hezbollah na kiongozi wao aliyeuawa Nasrallah ndio utajua hawajakurupuka. Hezbollah inaongozwa na Iran kwa 99%, hata shambulio lililouwa kiongozi wao limeondoka na ma jenerali kibao wa Iran. Ni rahisi sana kiongozi wa nchi zilizoizunguka Israel kuuawa na wa Israel, lakini ni vigumu sana hao wengine kupenyeza Israel na kumuua hata mkuu wa mkoa. Iran haina intelijensia yoyote mnaipaisha tu mtandaoni. Hizo missiles walizotuma juzi zimeleta maafa gani!?..
Sio sera Iran kufanya mauaji ya kuvizia.
 
Akisoma hiki ulichoandika Webabu na Adiosamigos mtagombana sana.
 
Back
Top Bottom