Kwanini nafurahishwa sana na nazikubali mno Nyodo na Dharau za Dotto Magari ambazo ni Chungu Kwetu Wasomi, Wabaguzi na wenye Dharau kwa Masikini?

Kwanini nafurahishwa sana na nazikubali mno Nyodo na Dharau za Dotto Magari ambazo ni Chungu Kwetu Wasomi, Wabaguzi na wenye Dharau kwa Masikini?

Dotto magari ashukuru waliomwambia atakufa masikini naye akawasikia akabadili muenendo, huwezi kuwa mteja ukakaba na kuiba alafu ukawa tajiri.
Haya Msomi wa Tatu mwenye Hasira na Mafaniko ya Dotto Magari ambayo Yeye hana ameshakuja. Pole sana Mkuu.
 
Mimi namkubali Chief Godlove asee
 
Huyo dotto mqgari ana nyumba wapi hapo dar sie tunamjua bado kapanga tu usimpe vitu ambavyo hana kuwa na nyumbq dar unadhan mchezo
Nami nashangaa,juzi kati kaombwa tu 50k ya mtoto wake ya matumizi..amepata fedheha coz alikua anataka kutoa 20k tu..kwa kifupi hana maisha huyo
 
Huyo dotto magari siku zake zinahesabik atasahaulik na atapotea kweny ramani tu mungu hadhihakiwi na kuhusu dharau ni hulk ya mtu na mtu sio kwamba una hela au huna .... wakat wa mungu utafik kam ulivofika kwa dotto magari akapata maisha na ndio wakat wa mungu utafik kwa huyo msomi nani ana phd anatesek zingine acheni habar za mitaani hakuna phd holder bongo anateseka mayb anateseka na kazi kuwa nyingi za serikal au private sector
 
Wasomi wa nchi hii kuna sehemu wanakwama kiakili
Wanakwama wapi kivipi mkuu
Watu wapo wanaishi maisha yao mbona?

Au unadhani wasio soma wote wanamaisha kama ya doto magari😂
 
Haya Msomi wa Pili mwenye Hasira na Mafaniko ya Dotto Magari ambayo Yeye hana ameshakuja. Pole sana Mkuu.
Mkuu usomi wa mtu na “mafanikio” ya doto vinaingiliana vipi kwani?
 
Back
Top Bottom