GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #21
Haya Msomi wa Tatu mwenye Hasira na Mafaniko ya Dotto Magari ambayo Yeye hana ameshakuja. Pole sana Mkuu.Dotto magari ashukuru waliomwambia atakufa masikini naye akawasikia akabadili muenendo, huwezi kuwa mteja ukakaba na kuiba alafu ukawa tajiri.
Nami nashangaa,juzi kati kaombwa tu 50k ya mtoto wake ya matumizi..amepata fedheha coz alikua anataka kutoa 20k tu..kwa kifupi hana maisha huyoHuyo dotto mqgari ana nyumba wapi hapo dar sie tunamjua bado kapanga tu usimpe vitu ambavyo hana kuwa na nyumbq dar unadhan mchezo
Hawa si washamba wakiona watu kwenye mitandao ndo wanajua ndo maisha yao yale kumbe watu wananuka shidaNami nashangaa,juzi kati kaombwa tu 50k ya mtoto wake ya matumizi..amepata fedheha coz alikua anataka kutoa 20k tu..kwa kifupi hana maisha huyo
Msomi- hawezi kuwa na dharau ikiwa kweli kasoma na kuelimika .
Wanakwama wapi kivipi mkuuWasomi wa nchi hii kuna sehemu wanakwama kiakili
Mkuu usomi wa mtu na “mafanikio” ya doto vinaingiliana vipi kwani?Haya Msomi wa Pili mwenye Hasira na Mafaniko ya Dotto Magari ambayo Yeye hana ameshakuja. Pole sana Mkuu.
Halafu kwa Lugha yako hii nikikuripoti na ukapigwa BAN utakuja kusema Moderators wa JamiiForums wana Chuki nawe.Kwani wewe Gentamytrako ni msomi Au unajua kuandika?
Nina allergy kujibu Maswali ya Kijuha yatokayo kwa Juha sawa?Mkuu usomi wa mtu na “mafanikio” ya doto vinaingiliana vipi kwani?
Halafu kwa Lugha yako hii nikikuripoti na ukapigwa BAN utakuja kusema Moderators wa JamiiForums wana Chuki nawe.
Kwa. Tusi hilo jamaniHalafu kwa Lugha yako hii nikikuripoti na ukapigwa BAN utakuja kusema Moderators wa JamiiForums wana Chuki nawe.
Kwahiyo hujaona Tusi hapo?Kwa. Tusi hilo jamani
Ila Kusoma sana na kuwa Masikini hadi kupitwa Kimaisha na Kimaendeleo na Wasiosoma ndiyo kitu cha Kujivunia Kwako?Kutosoma pia sio kitu Cha kujivunia