Kwanini nafurahishwa sana na nazikubali mno Nyodo na Dharau za Dotto Magari ambazo ni Chungu Kwetu Wasomi, Wabaguzi na wenye Dharau kwa Masikini?

Ila Kusoma sana na kuwa Masikini hadi kupitwa Kimaisha na Kimaendeleo na Wasiosoma ndiyo kitu cha Kujivunia Kwako?
Maisha sio mashindano ya nani Yuko zaidi ya mwingine vinginevyo Dunia isingekuwa na mapadre katoliki Tena waliosoma hasa
 
Degree moja tena sauti? Na wewe ni msomi? Ama kweli ...
 
Nina allergy kujibu Maswali ya Kijuha yatokayo kwa Juha sawa?
Wewe ni MPUMBAVÚ na kama umesoma basi hujaelimika.
Kimsingi wewe ndio wale watu mna mentality za kwamba kusoma sana ndio kuwa na hela ndio maana unaona ajabu asiyesoma kumzidi mafanikio aliyesoma

Floyd Mayweather Jr hata kusoma ni changamoto
Unamjua Simion Cowell
Richard Branson
List ya mabilioni wa dunia imejaa vilaza ambao ama hawakufika elimu ya juu au wali drop-out kwa sababu mbali mbali

Hakuna mwalimu mkuu yeyote wa secondary school anayefikia maisha ya Diamondpltnumz kimafanikio

Mafanikio ni jinsi utakavyo zichanga karata za maisha yako bila kujali elimu yako
 
Elimu, utajiri,hauondoi ubinadamu, unaweza ukawa maskini na ukawa na dharau kibao!
Hao, wasomi wasio na fedha unaowaponda,
Wapo hivyo sio kwa sababu elimu ni kikwazo cha kupata pesa, Bongo, hakuna fulsa za kutosha, kwenye nchi zenye mifumo Bora, kama USA, ukiwa msomi, ni mteremko tu! Elimu ndio kitu Bora duniani,
Wewe hapo unatumia cm janja, insta, wahatssp, unafikri zilitengenezwa, na vilaza wasio na elimu lakini wana fedha! Zimetengrnezwa na wasomi
 
Popoma kama kawaida yake alishapigwa ban ...nilijua tu kwa huu uzi hawezi kutoboa
 
Sasa doto magari ana nini cha maana anachomiliki?
 
Hakuna msomi aliyesoma SAUT nyegezi acha uongo
 
Degree moja tena sauti? Na wewe ni msomi? Ama kweli ...
Kwangu Mimi hiyo Degree Moja tu ya SAUT najivunia nayo na ndiyo maana niko Ikulu nchi fulani nikiwa kama VVIP na kila Siku nakuwa jirani na Mkuu wa nchi husika. Je, Wewe mwenzangu mwenye Masters Degree yako au hiyo PhD yako una lipi la maana la kukufanya Uheshimike na uwe VVIP nilivyo Mimi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…