Mkuu umejieleza sana unataka kugombea udiwani nini!!!?Mimi nipo Kijiji cha Itete, Wilaya ya Malinyi mkoani Morogoro
Qatar beiby
No exactly.Mkuu umejieleza sana unataka kugombea udiwani nini!!!?
We wa wapYani uwaga nahisi watu wote wa jf wanaishi DSM kumbe na wa mikoani mupo dah
Aiisee acha dharau bwanaYani uwaga nahisi watu wote wa jf wanaishi DSM kumbe na wa mikoani mupo dah
Wengine tupo huku Gonja mahore mkuu
Mbaramo, Masuguru, Michungwani, Majengo,Ngwaru, Genge, Ubena au Teule.Muheza moja hiyo
Umevurugwa si bureYani uwaga nahisi watu wote wa jf wanaishi DSM kumbe na wa mikoani mupo dah
aisee umenikumbusha mbal sana..nimekaa sana mpiran...nikiwa nafanya kaz hapo...maore maeneo ya kujidaiWengine tupo huku Gonja mahore mkuu