Kwanini nahisi watu wote wa JamiiForums wapo Dar?

Kwanini nahisi watu wote wa JamiiForums wapo Dar?

Mawazo hayo hata mimi nawazaga hivyo huwa naona wa mkoani niopo pekeyangu kumbe tupo wengi kwa mfano mimi nipo Bumbuli kwa Makamba
 
Kwani watu wa Dar ni wepi? si hao hao wa mikoani wanashukia na kuondoka hapo Ubungo kila kukicha.
 
Mie niko huku Gamboshi na niko Jf tokea kitambo sana. Kwa hapa Tz Gambosi ndio makao makuu
 
Wale wa Mara; Musoma, Rorya, Tarime, Serengeti, Bunda
 
Back
Top Bottom