Hizo dalili za kutekwaMbaramo, Masuguru, Michungwani, Majengo,Ngwaru, Genge, Ubena au Teule.
Simiyu pande zipi mkuu?Mi nipo Simiyu usukumani huku
MajengoMbaramo, Masuguru, Michungwani, Majengo,Ngwaru, Genge, Ubena au Teule.
Leo haijarindima risasi yeyote Mkuu?Tuko karibu mimi nipo Jaribu mpakani mkuu
Karibu na koromije?Ngundu baby
Niko busy nakata ufuta mkuu....Risasi zipo bungu huko nyambundaLeo haijarindima risasi yeyote Mkuu?
Mama john wanakotokea wauza papuchi pale carnival[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]kwa Sugu hapa
Ya nje au ndani.Majengo
[emoji1] [emoji1] [emoji1] wee ni mnunuzi????Mama john wanakotokea wauza papuchi pale carnival[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Wape hi Lupilo na Mbingu mkuuMimi nipo Kijiji cha Itete, Wilaya ya Malinyi mkoani Morogoro
shughuli kubwa za kiuchumi katika eneo hili ni kilimo cha mpunga, na uvuvi wa samaki katika mto kilombero. Vile vile wapo ndugu zetu wakisukuma ambao wanajishughulisha sana na ufugaji wa ng'ombe ila kwa sasa wengi wao wamechangamka tofauti na miaka ile ya nyuma.
karibuni sana mje muwekeze kwenye Kilimo, maeneo ya kulima bado mengi mno.
Lupilo zimefikaWape hi Lupilo na Mbingu mkuu