Kwanini nahisi watu wote wa JamiiForums wapo Dar?

Kwanini nahisi watu wote wa JamiiForums wapo Dar?

Ulilolijua n kwamba walio dar wote
N wale makanjanjaa[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Mimi nipo nyasa-mbambabay huku navua samaki karibu na kwa john komba captain tutanacheza na mganda. KARIBUNI
 
Mimi nipo Kijiji cha Itete, Wilaya ya Malinyi mkoani Morogoro
shughuli kubwa za kiuchumi katika eneo hili ni kilimo cha mpunga, na uvuvi wa samaki katika mto kilombero. Vile vile wapo ndugu zetu wakisukuma ambao wanajishughulisha sana na ufugaji wa ng'ombe ila kwa sasa wengi wao wamechangamka tofauti na miaka ile ya nyuma.
karibuni sana mje muwekeze kwenye Kilimo, maeneo ya kulima bado mengi mno.
Wape hi Lupilo na Mbingu mkuu
 
Back
Top Bottom