Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
- Thread starter
-
- #41
Huoni alipo faulu? Sikushangai lakini. Inategemea sana na upeo wako wa mambo ulivyo!!Kwa upande wangu sijawahi kumkubali hata mara moja kwa sababu sioni aliko faulu hata sehemu moja, Kila sehemu ana jipapatua bila mafanikio,huko kwenye uchumi ndio kafeli zaidi Kila siku uchumi unazidi kuanguka...
Acha kutoa takwimu za jumla. Hivyo ndo unavyozidi kujionesha ulivyo mjinga. Sema wewe sio Watanzania maana mimi pia ni Mtanzania na nimeridhika naoagain ni haki yako na hao wengine kujiondoa ufahamu.
Nimesema Watanzania hawajaridhika na mkataba, hivyo, haina maana hawaungi mkono uwekezaji huo wa Bandar...
Wazungu mtuache jamanMy points are well above your head.
Shills like you can’t go toe to toe with me.
I’ll wash and fold you like a pretzel.
Sina shida na bukoba, Nina shida na KUONGOZWA Kwa kutumia Dira na maono ya mtu mmoja.Kwani Bukoba kuna shida gani?
Maono ya nchi hayawekwi kwenye Katiba. Kuna mfumo maalumu wa kuweka vitu kama hivyo na kuvifuatilia. Ndo mana Tume ya Mipango imerudi.Sina shida na bukoba, Nina shida na KUONGOZWA Kwa kutumia Dira na maono ya mtu mmoja.
Aweza amka na kuhamishia fursa zote huko na mkapiga makofi kama ambavyo saiz kule visiwani kandarasi zinapishana tu mkiangalia na kupiga makof...
I see you are bumbling and babbling just like she does.No more arguments
Refer the post herein above
Case is closed!
Maisha Bora Kwa Kila mtanzania Yako wapi Kwa Tume ya mipango ya 004 enzi ya KIKWETE?Maono ya nchi hayawekwi kwenye Katiba. Kuna mfumo maalumu wa kuweka vitu kama hivyo na kuvifuatilia. Ndo mana Tume ya Mipango imerudi.
Kwa hiyo mangii, unaweza kutuambia huyu mama anafuata sera gani ya uchumi?Kumekuwa na maneno maneno humu kuwa mimi na wenzangu tunaomuunga mkono Rais Samia basi kama sio Waislamu basi ni Wazanzibar na kama hauko kote huko basi wewe ni chawa wake...
sasa tunapimana ujinga?Acha kutoa takwimu za jumla. Hivyo ndo unavyozidi kujionesha ulivyo mjinga. Sema wewe sio Watanzania maana mimi pia ni Mtanzania na nimeridhika nao
Imeuzwa kupitia mkataba wa 25.10.2022 mkataba ambao uliridhiwa na Bunge 10.06.2023. Ndani ya mkataba huo mwarabu anapewa haki za kipekee za kumiliki njia kuu za uzalishaji mali hususani bandari, maeneo ya biashara na ardhi.Sasa wewe tufanye ni msomi. Niambie nchi imeuzwaje?
Usikimbie!
Namba ya simu?Kumekuwa na maneno maneno humu kuwa mimi na wenzangu tunaomuunga mkono Rais Samia basi kama sio Waislamu basi ni Wazanzibar na kama hauko kote huko basi wewe ni chawa wake
Nikadhani unataja vifungu na kuviweka hapa.Imeuzwa kupitia mkataba wa 25.10.2022 mkataba ambao uliridhiwa na Bunge 10.06.2023. Ndani ya mkataba huo mwarabu anapewa haki za kipekee za kumiliki njia kuu za uzalishaji mali hususani bandari, maeneo ya biashara na ardhi.
...
Ya nini?Namba ya simu?
Anafuata Sera za Uchumi wa Soko huria.Kwa hiyo mangii, unaweza kutuambia huyu mama anafuata sera gani ya uchumi?
Maana mimi naona uchumi wetu unaenda ki Laissez-faire
Aahaaaaa,dahSamia sucks. She is unqualified. She’s in over her head. She’s a bumbling idiot.
Kwenye suala la bandari kwa mkataba kama ule unaweza kusema akili yako au ya waliofanya vile zimetumika akili vizuri kwa manufaa ya wote au manufaa yao/yenu na ya wenzao/wenzenu wachache?Mwisho napenda kumaliza kwa kusema uongozi na maendeleo ya kweli ni matokeo ya kutumia akili vizuri. Sio rasilimali wala sio utajiri ulio nao kama Taifa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]I don’t answer dumb questions from dumbasses like you about another dumbass called Samia.
Mkataba una shida gani?Kwenye suala la bandari kwa mkataba kama ule unaweza kusema akili yako au ya waliofanya vile zimetumika akili vizuri kwa manufaa ya wote au manufaa yao/yenu na ya wenzao/wenzenu wachache?
Unajitoa akili kwa kudhani wanaoipinga mkataba ule hawataki uwekezaji. Watu wanapinga vipengele vya mkataba.
Mkataba hauna ukomo, hauoneshi nchi yetu itafaidika vipi.
Mkataba unazuia mwekazaji asipate ushindani wa kibiashara, hii si sawa na enzi za ujamaa mashirika ya umma yalijengewa kinga (au tuite monopoly) yasiwe na mshindani. Kama unamuondolea ushindani kisha unaweka kipengele cha kutovunja mkataba unawezaje kumuondoa kama akifanya nje ya matarajio au chini ya kiwango cha sasa?
Hapo utasema kuna akili imetumika? Au tumeondokaje kwenye ile monopoly ya zamani?
Hayo ni machache tu ya ovyo kwenye ule mkataba.
HATUKATAI UWEKEZAJI BALI TUNAKATAA VIPENGELE VIBAYA VYA MKATABA WA UWEKEZAJI, USIJITOE UFAHAMU KAMA HUJASIKIA WANAOPINGA WANAPINGA NINI. TANGAZENI TENDA UPYA NA KWA UWAZI UONE KAMA KUTAKUWA NA KELELE HIZI.