Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
- Thread starter
- #61
Huo ni mtazamo wako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo ni mtazamo wako
Upuuz tu mtu amedumaxa uchumi unampendea nni ,mwanzoni nilimpenda kumbe ssa niligundua Ni rais wa ajsbu sana na sijajuwahad sasa anafanya nn ofcnKumekuwa na maneno maneno humu kuwa mimi na wenzangu tunaomuunga mkono Rais Samia basi kama sio Waislamu basi ni Wazanzibar na kama hauko kote huko basi wewe ni chawa wake.
Hizi ni siasa za majitaka ambazo kusema kweli zimeegemea kwenye vihoja badala ya hoja.
Kwa upande wangu Mimi Lord Denning, mimi sio wa asili wa Zanzibar wala sio muislamu. Ni mkristo mkatoliki na kusema kweli simjui Rais Samia, Sijawahi onana nae na wala hanijui.
Katika uzoefu wangu wa kufuatilia siasa za dunia ikiwemo Afrika na Tanzania naweza kusema Mimi Lord Denning naweza kuwa mmoja wa watu wachache sana wanaoifahamu dunia na siasa zake. Kwa umri wangu wa miaka 47 sasa nimeenda nchi nyingi, karibu mabara yote. Na kote huko nilikofika nimekuwa nikijifunza sana historia ya sehemu husika, siasa zake, maisha ya watu na uchumi wao
Kwa upande wa marais wa Tanzania nimebahatika kuwepo kipindi cha Nyerere ingawa nilikuwa mdogo, kipindi cha Mwinyi nikiwa na akili, kipindi cha mkapa hadi saivi nikiwa mtu mzima na akili zangu.
Nilimkubali sana Mkapa na sera zake za kiuchumi. Nikamkubali sana Kikwete maana nae kwenye uchumi alienda sawa pamoja na kuyumba maeneo kadhaa na nikatofautiana na Magufuli hasa kwenye sera zake za kiuchumi za state capture na sasa namuunga mkono Samia kwa sababu so far nimemsoma na kumuelewa kuwa anaenda vizuri sana kwenye sera za kiuchumi.
Kwanini namuunga mkono Rais Samia?
1. Wanasiasa wengi wa nchi yetu ukiondoa Mkapa walikuwa wanaogopa kufanya maamuzi positive kweli kiuchumi kwa kuogopa siasa ila Samia hayuko hivyo. Kwa nilivyomsoma Samia, anajua sana geopolitics, anapenda vitu vizuri, ni mkisasa kweli. Kwa sasa dunia ilipo na inapokwenda fursa ziko kwenye maeneo hayo. Moja ni kwa namna gani unavyojiweka na kujitangaza vizuri na pili ni namna gani unavyojiweka kisasa. Kwa maamuzi ya kuboresha sekta nyeti za kiuchumi ikiwemo bandari, utalii tena bila kujali siasa, kusema kweli amenivutia sana.
2. Tanzania kuna wajinga wengi sana na ujinga wao umewafanya kuwa masikini sana. Katika kuwaondoa kwenye ujinga wao ni lazima uwaonyeshe kweli kuwa wanatakiwa kuondoka katika imani na mazoea ya kijinga. Kwenye hili kusema ukweli wa Mungu wangu Samia anafanya vizuri.
Mabadiliko yanayofanyika katika uendeshaji wa uchumi wetu ili kutufanya tuendeshe uchumi katika mazingira yenye ushindani ili kupata matokeo mazuri kweli yamenifanya nijitokeze wazi kumuunga mkono huyu Mama.
Tanzania shida kubwa iliyopo ni watu kutopenda ushindani. Na ndo mana ubora katika mashirika ya Umma umekuwa finyu sana. Kutufanya tuondokane na mentality hii inanifanya kumuona Rais Samia kama Rais bora zaidi kuwa nae katika kipindi hiki.
Mwisho napenda kumaliza kwa kusema uongozi na maendeleo ya kweli ni matokeo ya kutumia akili vizuri. Sio rasilimali wala sio utajiri ulio nao kama Taifa. Kuna sehemu Tanzania tunatakiwa kufika ila ili tufike lazima tutumie kweli akili zetu vizuri hasa katika kujua Dunia ipo wapi, inaenda wapi na itakuwa wapi katika siku nyingi zijazo.
Ili tufike huko lazima Watanzania tutumie akili zetu vizuri. Tuifanye nchi yetu kuwa sehemu ya mjadala wa dunia kama sehemu nzuri ya kuja, kuwekeza na kuishi ikiwemo kufanya starehe. Na ili tutimize hili lazima tuite watu wenye akili tofauti, wabadirishe fikra zetu, na watufanye tuwaze vizuri. Ni lazima tubadiri mfumo wa elimu yetu ili kutufanya tuende kama dunia inavyoenda ili tusiachwe nyuma.
Asanteni
Lord Denning
Kilimanjaro
Amedumaza kivipi?Upuuz tu mtu amedumaxa uchumi unampendea nni ,mwanzoni nilimpenda kumbe ssa niligundua Ni rais wa ajsbu sana na sijajuwahad sasa anafanya nn ofcn
Tafuta exposure tu. Utajijibu mwenyewe vizuriIla bandari ziacheni kama watz hawawezi kuendesha. Acha wajuuku wetu watakuja kutumia
Hii jibu ni la kiutu uzima, naona nilipotaja mlima Kilimanjaro mwili umekufa ganzi. Huu mkataba ni mbovu, mwarabu akiamua kuushikilia ulivyo neno kwa neno nchi yote hadi Ikulu inaondoka.Nikadhani unataja vifungu na kuviweka hapa.
Kumbe unapiga siasa
Wewe unajua kusoma na kuelewa?Mkataba una shida gani?
Jibu swali uliloulizwa na weka vifungu husika unavyosema vinashida. Acha siasaWewe unajua kusoma na kuelewa?
Soma kwenye post yangu haya ya pili na kuendelea nimeandika shida chache za mkataba, hizo baadhi tu ukiacha zingine nyingi sijazungumzia.
Hatuwezi kurudia maandiko (threads) nyingi haina maana wakati tayari watu wameweka hapa JF vipengele na shida zake.
Kumekuwa na maneno maneno humu kuwa mimi na wenzangu tunaomuunga mkono Rais Samia basi kama sio Waislamu basi ni Wazanzibar na kama hauko kote huko basi wewe ni chawa wake.
Hizi ni siasa za majitaka ambazo kusema kweli zimeegemea kwenye vihoja badala ya hoja.
Kwa upande wangu Mimi Lord Denning, mimi sio wa asili wa Zanzibar wala sio muislamu. Ni mkristo mkatoliki na kusema kweli simjui Rais Samia, Sijawahi onana nae na wala hanijui.
Katika uzoefu wangu wa kufuatilia siasa za dunia ikiwemo Afrika na Tanzania naweza kusema Mimi Lord Denning naweza kuwa mmoja wa watu wachache sana wanaoifahamu dunia na siasa zake. Kwa umri wangu wa miaka 47 sasa nimeenda nchi nyingi, karibu mabara yote. Na kote huko nilikofika nimekuwa nikijifunza sana historia ya sehemu husika, siasa zake, maisha ya watu na uchumi wao
Kwa upande wa marais wa Tanzania nimebahatika kuwepo kipindi cha Nyerere ingawa nilikuwa mdogo, kipindi cha Mwinyi nikiwa na akili, kipindi cha mkapa hadi saivi nikiwa mtu mzima na akili zangu.
Nilimkubali sana Mkapa na sera zake za kiuchumi. Nikamkubali sana Kikwete maana nae kwenye uchumi alienda sawa pamoja na kuyumba maeneo kadhaa na nikatofautiana na Magufuli hasa kwenye sera zake za kiuchumi za state capture na sasa namuunga mkono Samia kwa sababu so far nimemsoma na kumuelewa kuwa anaenda vizuri sana kwenye sera za kiuchumi.
Kwanini namuunga mkono Rais Samia?
1. Wanasiasa wengi wa nchi yetu ukiondoa Mkapa walikuwa wanaogopa kufanya maamuzi positive kweli kiuchumi kwa kuogopa siasa ila Samia hayuko hivyo. Kwa nilivyomsoma Samia, anajua sana geopolitics, anapenda vitu vizuri, ni mkisasa kweli. Kwa sasa dunia ilipo na inapokwenda fursa ziko kwenye maeneo hayo. Moja ni kwa namna gani unavyojiweka na kujitangaza vizuri na pili ni namna gani unavyojiweka kisasa. Kwa maamuzi ya kuboresha sekta nyeti za kiuchumi ikiwemo bandari, utalii tena bila kujali siasa, kusema kweli amenivutia sana.
2. Tanzania kuna wajinga wengi sana na ujinga wao umewafanya kuwa masikini sana. Katika kuwaondoa kwenye ujinga wao ni lazima uwaonyeshe kweli kuwa wanatakiwa kuondoka katika imani na mazoea ya kijinga. Kwenye hili kusema ukweli wa Mungu wangu Samia anafanya vizuri.
Mabadiliko yanayofanyika katika uendeshaji wa uchumi wetu ili kutufanya tuendeshe uchumi katika mazingira yenye ushindani ili kupata matokeo mazuri kweli yamenifanya nijitokeze wazi kumuunga mkono huyu Mama.
Tanzania shida kubwa iliyopo ni watu kutopenda ushindani. Na ndo mana ubora katika mashirika ya Umma umekuwa finyu sana. Kutufanya tuondokane na mentality hii inanifanya kumuona Rais Samia kama Rais bora zaidi kuwa nae katika kipindi hiki.
Mwisho napenda kumaliza kwa kusema uongozi na maendeleo ya kweli ni matokeo ya kutumia akili vizuri. Sio rasilimali wala sio utajiri ulio nao kama Taifa. Kuna sehemu Tanzania tunatakiwa kufika ila ili tufike lazima tutumie kweli akili zetu vizuri hasa katika kujua Dunia ipo wapi, inaenda wapi na itakuwa wapi katika siku nyingi zijazo.
Ili tufike huko lazima Watanzania tutumie akili zetu vizuri. Tuifanye nchi yetu kuwa sehemu ya mjadala wa dunia kama sehemu nzuri ya kuja, kuwekeza na kuishi ikiwemo kufanya starehe. Na ili tutimize hili lazima tuite watu wenye akili tofauti, wabadirishe fikra zetu, na watufanye tuwaze vizuri. Ni lazima tubadiri mfumo wa elimu yetu ili kutufanya tuende kama dunia inavyoenda ili tusiachwe nyuma.
Asanteni
Lord Denning
Kilimanjaro
Tuanzie hapa. Unafikiri ni kwa sera za marais wepi hawa watanzania wakefanywa kuwa wajinga? Tukizingatia kuwa hawa unaowaita wajinga kwa asilimia kubwa kwa sasa angalau wameishi sehemu kubwa ya maisha yao chini ya itawala wa hao unaowasifia (kuzaliwa, kusoma na kuanza maisha).2. Tanzania kuna wajinga wengi sana na ujinga wao umewafanya kuwa masikini sana.
Unayefanya siasa ni wewe ambaye hujaweka sababu zenye mashiko za kuunga mkono unaowasema.Jibu swali uliloulizwa na weka vifungu husika unavyosema vinashida. Acha siasa
Wewe ni WA kihivyo!! Weka namba yako tu.watu wenye akili timamu wote tunakubali uwekezaji lakini siyo kuingia mikataba ya kiboya kama huu wa DP world.Mimi sio wa kihivyo.
Kama no ningekuwa naweka tangu zamani.
Siko kimaslahi
Utakuwa mgeni humu si bureWewe ni WA kihivyo!! Weka namba yako tu.watu wenye akili timamu wote tunakubali uwekezaji lakini siyo kuingia mikataba ya kiboya kama huu wa DP world.
Kwanza amevunja KATIBA , pili ametudharaulisha
Kuna shida gani na wewe ukoweka hivyo vifungu?Unayefanya siasa ni wewe ambaye hujaweka sababu zenye mashiko za kuunga mkono unaowasema.
Sio najisifu ila kwa miaka 47 hadi sasa nimemsliza hati za kusafiri 4. Wewe Je?Nimekuona ukienda kupanda mwendokasi hapo kivukoni halafu unasema upo kilimanjaro.
Eti umesafiri sana nchi za nje.
Labda Dar ndio nchi za nje ukitokea kwenu Bukoba.
Jf uongo uongo mwingi sana.
Ukiwa mwongo lazima uendane na awamu ya uongo uongo tu.
Tuanzie hapa. Unafikiri ni kwa sera za marais wepi hawa watanzania wakefanywa kuwa wajinga? Tukizingatia kuwa hawa unaowaita wajinga kwa asilimia kubwa kwa sasa angalau wameishi sehemu kubwa ya maisha yao chini ya itawala wa hao unaowasifia (kuzaliwa, kusoma na kuanza maisha).
Uko sahihiSuala la dini ni suala la watu muflisi, wasio na uwezo wowote wa kuamua na kufanya mambo. Wanaficha unyonge wao kwenye ubaguzi wa kidini na kikabila. Mimi sio mmoja wao.
Mimi namuunga mkono Rais katika jitihada zake za kuona Tanzania inasonga mbele. Na sikubaliani kabisa kuona njia za mkato zinataka kutumika kumvuruga ili ashindwe kutuongoza vema. Kumbuka kushindwa kwake, itakuwa ndio kushindwa kwetu.
Kosa kubwa alilofanya ni kuwakumbatia watu wenye uwezo mdogo, ila walafi kweli kweli. Hawa wameharibu mambo mengi mno. Kama angepata wasaa wa kujua nani ni nani, mengi ya haya yanayoendelea yasingekuwepo. Yangefanywa kwa kufuata taratibu na sheria, na vingemjenga yeye kama Rais. Mimi napenda sana kujua nani ni nani katika safu ya wale wasioonekana, ila wanamsaidia yeye kama kiongozi. Miongoni mwao yumo au wamo kina Yuda Iskariote...Muda utasema