Kwanini namuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan?

Upuuz tu mtu amedumaxa uchumi unampendea nni ,mwanzoni nilimpenda kumbe ssa niligundua Ni rais wa ajsbu sana na sijajuwahad sasa anafanya nn ofcn
 
Nikadhani unataja vifungu na kuviweka hapa.

Kumbe unapiga siasa
Hii jibu ni la kiutu uzima, naona nilipotaja mlima Kilimanjaro mwili umekufa ganzi. Huu mkataba ni mbovu, mwarabu akiamua kuushikilia ulivyo neno kwa neno nchi yote hadi Ikulu inaondoka.

Vifungu ntakuletea nawe ukisema kwa nini unadhani nchi haijauzwa kwa bei ambayo haijawekwa wazi.
 
Mkataba una shida gani?
Wewe unajua kusoma na kuelewa?
Soma kwenye post yangu haya ya pili na kuendelea nimeandika shida chache za mkataba, hizo baadhi tu ukiacha zingine nyingi sijazungumzia.
Hatuwezi kurudia maandiko (threads) nyingi haina maana wakati tayari watu wameweka hapa JF vipengele na shida zake.
 
Jibu swali uliloulizwa na weka vifungu husika unavyosema vinashida. Acha siasa
 

Suala la dini ni suala la watu muflisi, wasio na uwezo wowote wa kuamua na kufanya mambo. Wanaficha unyonge wao kwenye ubaguzi wa kidini na kikabila. Mimi sio mmoja wao.

Mimi namuunga mkono Rais katika jitihada zake za kuona Tanzania inasonga mbele. Na sikubaliani kabisa kuona njia za mkato zinataka kutumika kumvuruga ili ashindwe kutuongoza vema. Kumbuka kushindwa kwake, itakuwa ndio kushindwa kwetu.

Kosa kubwa alilofanya ni kuwakumbatia watu wenye uwezo mdogo, ila walafi kweli kweli. Hawa wameharibu mambo mengi mno. Kama angepata wasaa wa kujua nani ni nani, mengi ya haya yanayoendelea yasingekuwepo. Yangefanywa kwa kufuata taratibu na sheria, na vingemjenga yeye kama Rais. Mimi napenda sana kujua nani ni nani katika safu ya wale wasioonekana, ila wanamsaidia yeye kama kiongozi. Miongoni mwao yumo au wamo kina Yuda Iskariote...Muda utasema
 
2. Tanzania kuna wajinga wengi sana na ujinga wao umewafanya kuwa masikini sana.
Tuanzie hapa. Unafikiri ni kwa sera za marais wepi hawa watanzania wakefanywa kuwa wajinga? Tukizingatia kuwa hawa unaowaita wajinga kwa asilimia kubwa kwa sasa angalau wameishi sehemu kubwa ya maisha yao chini ya itawala wa hao unaowasifia (kuzaliwa, kusoma na kuanza maisha).
 
Mimi sio wa kihivyo.

Kama no ningekuwa naweka tangu zamani.

Siko kimaslahi
Wewe ni WA kihivyo!! Weka namba yako tu.watu wenye akili timamu wote tunakubali uwekezaji lakini siyo kuingia mikataba ya kiboya kama huu wa DP world.

Kwanza amevunja KATIBA , pili ametudharaulisha
 
Nimekuona ukienda kupanda mwendokasi hapo kivukoni halafu unasema upo kilimanjaro.

Eti umesafiri sana nchi za nje.

Labda Dar ndio nchi za nje ukitokea kwenu Bukoba.

Jf uongo uongo mwingi sana.

Ukiwa mwongo lazima uendane na awamu ya uongo uongo tu.
 
Nonsense, siku zote ukijiona unaunga mkono ujinga wa mjinga, ujue nawe ni mjinga hivyo hivyo.
 
Wewe ni WA kihivyo!! Weka namba yako tu.watu wenye akili timamu wote tunakubali uwekezaji lakini siyo kuingia mikataba ya kiboya kama huu wa DP world.

Kwanza amevunja KATIBA , pili ametudharaulisha
Utakuwa mgeni humu si bure
 
Sio najisifu ila kwa miaka 47 hadi sasa nimemsliza hati za kusafiri 4. Wewe Je?
 
Hakuna Sera za kuwafanya watu wajinga. Mbona mimi sijawa hivyo?
 
Uko sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…