Kwanini naupenda mti huu

Krismass na Mwaka mpya Lazima mvua ya Baraka itashuka tu.
Miti mazao Maua na Kila kitu huchanua.l sana.

Lakini sasa Idi maulid ni ukame jua Kali Majanga?!!!!

Mudy bn
 
Kuna raia moja wa Kilimanjaro anapenda kuingia jf kwa ajili yako.
Jamaa anakukubali haina mfano.
Ukiitaja jf yeye anataja Bujibuji halafu anacheeeka.

Cc Maxell Remy [emoji1787][emoji1787]
Mi sio wa kaskazini ila uncle Buji ananifurahisha sana. Nimejaribu kumchunguza ananipoteza maboya. Nikitaka kumweka kwenye walokole ananikimbia, nikimtupa kwenye walevi yupo Halafu kumbe hatupo kabisa, kwenye wazinzi hivyo hivyo, na story zake lazima ucheke
 
Mti huu kwangu hunifunza uvumilivu , kusamehe na kutojiumiza kwa mambo yaliyo nje ya uwezo wangu.
Heshima kwa Samson Mwasakafyuka Ndwanga[emoji1752][emoji1545]
 
ACACIA, Mti ulioko unyakyusani(MBEYA) ni JACARANDA ambao huchanua maua mazuri yenye rangi ya zambarau.
Acacia ni mti wa asili, mti pori ambao kwa kawaida hupenwa sana kuliwa majani yake na twiga.
Sasa huko Unyakyusani kwenu kuna Twiga?
 
Hata Kama hupendi nature huu mti utaupenda
 
Wewe umekulia Shinyanga au Kyela?
 
Ni jamaa flani muungwana na hana makuu kabisa.
Huyu mtu unaweza kumchukukia poa lakini sivyo.
Ana kitu cha tofauti sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…