Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 24,977
- 23,799
Royal botanical gardens EdinburghJacaranda na flamboyant yote inabloom kipindi kimoja,naipenda sana pia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Royal botanical gardens EdinburghJacaranda na flamboyant yote inabloom kipindi kimoja,naipenda sana pia.
Mi sio wa kaskazini ila uncle Buji ananifurahisha sana. Nimejaribu kumchunguza ananipoteza maboya. Nikitaka kumweka kwenye walokole ananikimbia, nikimtupa kwenye walevi yupo Halafu kumbe hatupo kabisa, kwenye wazinzi hivyo hivyo, na story zake lazima uchekeKuna raia moja wa Kilimanjaro anapenda kuingia jf kwa ajili yako.
Jamaa anakukubali haina mfano.
Ukiitaja jf yeye anataja Bujibuji halafu anacheeeka.
Cc Maxell Remy [emoji1787][emoji1787]
ACACIA, Mti ulioko unyakyusani(MBEYA) ni JACARANDA ambao huchanua maua mazuri yenye rangi ya zambarau.Umesema vizuri.. ahsante sana
Mti huu kwangu hunifunza uvumilivu , kusamehe na kutojiumiza kwa mambo yaliyo nje ya uwezo wangu.Kwanini naupenda mti huu.
View attachment 2415649
Kuna historia kubwa sana ya mazingira niliyoishi kwenye udogo wangu .
Miti mingi ilikua ni hii , wenyewe tuliita mi Krismas
Kuchanua kwake kuliashiria holiday-sikukuu imekaribia ,
Na shule inakaribia kufungwa ,
Vilevile Krismas haikua mbali hivyo nguo , viatu vipya vinanukia .
Ni miti maalumu sana ,
Nikiona inachanua nafarijika kukumbuka mambo kemkem yaliyo burudisha maisha yangu zama hizo .
Kiimani .
Mti huu kwangu unafumbo la imani kwa waliokata tamaa.
Mti huu hunyauka kabisa kuanzia Julai , Agost , Septemba na Octoba ....ni mti ambao hukwepa ukali wa jua na ukame kwakuruhusu kupukutisha majani yote .
Huungua kabisa na hutia huruma .
Inapofika wiki ya 3 ya Octoba miti hiyo huchanua maua , na maua huendelea kuufunika mti usio na majani .
Kiimani ,
Mungu husema nasi kupitia mazingira kuwa katikati ya dhiki uskate tamaa .
Katikati ya mateso usikose tumaini ,
Hata unahisi dunia inakuelemea Mungu huleta faraja zake kwa namna aitakayo na apendavyo.
Mti huu kwangu hunifunza uvumilivu , kusamehe na kutojiumiza kwa mambo yaliyo nje ya uwezo wangu.
Heshima kwa Samson Mwasakafyuka Ndwanga
Mti huu kwangu hunifunza uvumilivu , kusamehe na kutojiumiza kwa mambo yaliyo nje ya uwezo wangu.
Heshima kwa Samson Mwasakafyuka Ndwanga[emoji1752][emoji1545]
Acacia ni mti wa asili, mti pori ambao kwa kawaida hupenwa sana kuliwa majani yake na twiga.ACACIA, Mti ulioko unyakyusani(MBEYA) ni JACARANDA ambao huchanua maua mazuri yenye rangi ya zambarau.
Morogoro?Nyumbani kwa mzee wangu ipo miwili,Mzee anasema aliipanda 1986 hata mimi sijazaliwa,mpaka leo ipo na haina dalili ya kukauka
ArushaMorogoro?
Wewe umekulia Shinyanga au Kyela?Kwanini naupenda mti huu.
View attachment 2415649
Kuna historia kubwa sana ya mazingira niliyoishi kwenye udogo wangu .
Miti mingi ilikua ni hii , wenyewe tuliita mi Krismas
Kuchanua kwake kuliashiria holiday-sikukuu imekaribia ,
Na shule inakaribia kufungwa ,
Vilevile Krismas haikua mbali hivyo nguo , viatu vipya vinanukia .
Ni miti maalumu sana ,
Nikiona inachanua nafarijika kukumbuka mambo kemkem yaliyo burudisha maisha yangu zama hizo .
Kiimani .
Mti huu kwangu unafumbo la imani kwa waliokata tamaa.
Mti huu hunyauka kabisa kuanzia Julai , Agost , Septemba na Octoba ....ni mti ambao hukwepa ukali wa jua na ukame kwakuruhusu kupukutisha majani yote .
Huungua kabisa na hutia huruma .
Inapofika wiki ya 3 ya Octoba miti hiyo huchanua maua , na maua huendelea kuufunika mti usio na majani .
Kiimani ,
Mungu husema nasi kupitia mazingira kuwa katikati ya dhiki uskate tamaa .
Katikati ya mateso usikose tumaini ,
Hata unahisi dunia inakuelemea Mungu huleta faraja zake kwa namna aitakayo na apendavyo.
Mti huu kwangu hunifunza uvumilivu , kusamehe na kutojiumiza kwa mambo yaliyo nje ya uwezo wangu.
Heshima kwa Samson Mwasakafyuka Ndwanga
Ni jamaa flani muungwana na hana makuu kabisa.Mi sio wa kaskazini ila uncle Buji ananifurahisha sana. Nimejaribu kumchunguza ananipoteza maboya. Nikitaka kumweka kwenye walokole ananikimbia, nikimtupa kwenye walevi yupo Halafu kumbe hatupo kabisa, kwenye wazinzi hivyo hivyo, na story zake lazima ucheke
Majira ya BWANA. Ni majira ambayo biashara zote zinatoka.Krismass na Mwaka mpya Lazima mvua ya Baraka itashuka tu.
Miti mazao Maua na Kila kitu huchanua.l sana.
Lakini sasa Idi maulid ni ukame jua Kali Majanga?!!!!
Mudy bn

Arusha maeneo ya Jacaranda hadi Impala iko mingi sanaArusha
Kwasababu yeye ni chakula cha uzimaMajira ya BWANA. Ni majira ambayo biashara zote zinatoka.
Tena ni maji yaliyo haiKwasababu yeye ni chakula cha uzima