kaburungu
JF-Expert Member
- Mar 9, 2011
- 3,706
- 6,901
Kiukweli inauma, fikiria mimba, anazaliwa (mziki wa kulea) anafikia hatua anajielewa na hapo sio kwamba malezi yamesimama. Haya anaanza shule anafanikiwa kufika hadi level aliyokuwa nayo hadi umauti.Mkuu hujafanya hata upelelezi huru? Ungeenda mpaka shuleni kiujanja, tafuta wanafunzi wenzake. ..
Zungumza nao, walau watakupa picha ya juu juu.
Pole sana. Nimesikitika sana. Mungu wa Mbinguni akawe mfariji wako.
Hatupingi kifo, walakini unaibuka kwenye mzunguko wa kifo chenyewe kilivyotokea, inahuzunisha.