Kwanini Nchi nyingi zenye asili ya Uislam zinakumbwa na Vita sana?



Wakristo wao hukata mikono


 
Halafu hawakaribishiani hata wakimbizi wao
 
Ni rahisi sana kumtawala mtu mweusi nani aliyoanzisha neno gaidi au terrosrism na akatunga hadi na sheria zake na kutaka nchi zote duniani zitumie sheria hiyo?
Unajua kwamba mandela nae aliitwa gaidi na hao hao waliokufundisha hilo neno?
Kwa akili yako wale wazungu au marekani kwa nini anaweka base kwenye nchi za kiarabu kama hana maslahi mapana na kuamua nani awe raisi na nani asiwe raisi ?

Marekani na israel wanatafuta nini syria hadi leo?
Kulikuwa na sababu gani ya westerners kutaka kumtoa gadafi madarakani na kumuua ?
Kulikuwa na sababu gani za marekani na washirika wao kumtoa na kumuua saddam hussein ?
Tatizo la africa ni elimu bado tunakaririshwa hatuwezi kufikiri
Jana lile tukio la russia, skynews wakasema ni isis kwenye comments wazungu wote wakakataa wakasema isis of cia, ila mswahili wa mbagala ukishasmbiwa tu na cnn ni isis tayari unaanza kuja kubwabwaja humu bila ya hata kufikiria
 
Waarabu ndio watu wa kwanza kuja kuchukua watumwa Africa kabla ya hap wazungu

Aliyekwambia Ukristu ni wa wazubgu ni nani?


Nani alikudanganya ??

Hizo nchi za west africa zilikuwa za kiislamu na zikavamiwa na wazungu , au hujui meli ya kwanza kuchukua watumwa iliitwa Jesus

THE SLAVE SHIP NAME. JESUS IN THE ATLANTIC SLAVE TRADE UNDER THE PIRATE JOHN HAWKINS..
Jesus of Lübeck was a carrack built in the Free City of Lübeck in the early 16th century. Around 1540 the ship, which had mostly been used for representative purposes, was acquired by Henry VIII, King of England, to augment his fleet.

The ship saw action during the French invasion of the Isle of Wight in 1545. She along with Samson were used in an unsuccessful attempt to raise Henry VIII’s flagship, Mary Rose, after she foundered during the Battle of the Solent.

She was later chartered to a group of merchants in 1563 by Queen Elizabeth I. Jesus of Lübeck became involved in the Atlantic slave trade under John Hawkins, who organized four voyages to West Africa and the West Indies between 1562 and 1568.

During the last voyage, Jesus, along with several other English ships, encountered a Spanish fleet off San Juan de Ulúa (modern day Vera Cruz, Mexico) in September 1568. In the resulting battle, Jesus was captured by Spanish forces. The heavily damaged ship was later sold for 601 ducats to a local merchant.
 
Mipango ya makafir Ni mipango ya makafiri kwa kushirikiana na wanafiki ktk uislamu kuleta migogoro ktk nchi za kiislam
 
Acha kuzurura wewe Mhaya .. Ukweli ni kwamba nchi nyingi zenye malighafi za kuyanufaisha mabepari hazina amani na zikuwa na amani ujue zimeridhia matakwa ya mabepari.

Congo 🇨🇩
Syria 🇸🇾
Niger 🇳🇪
Guinea 🇬🇼
Mozambique 🇲🇿
Mali 🇲🇱
Iraqi 🇮🇶
Venezuela 🇻🇪
Afghanistan 🇦🇫
Sudan 🇸🇩
Libya 🇱🇾


⬆️⬆️ hizo nchi zote hapo zinawatoa udenda mabepari.
 
Waislam wanaamini ukipigana vita kwa ajili ya Allah basi unaenda mbinguni.

Ukristu unaamini kuwa Mungu anaweza pigana vita vyake mwenyewe
Mnapenda kujidanganya nyie ndio maana hawa wachungaji wanawadanganya kiulaini
 
Roho mtakatifu wako anataka link ??
Tulishakuzoe humu, huwezi andika sentence yenye maneno 10 bila kuweka link. Sasa leo nimeona umeandika zaidi ya maneno 10 bila link ndiyo maana nimeshangaa.

Moja ya muislamu ninaemkubali humu kuna jamaa anajiita mjingamimi, ni kweli jamaa ni mjinga kweli kweli kama walivyo waislam wengine.
Utofauti wa pekee wa jamaa ni kutopretend kinyume chake pale anapochangia Mada ama kuanzisha tofauti na Waislam wengine wanavyotumia nguvu kujifanya kuwa si wajinga wakati ni Wajinga hata Quran imewaita Wajinga.
 
Umesema ni nadharia kuwa nchi za kiislamu huonekana kuna ugaidi mwangi na vita nakujibu kama ifuatavyo;

Mosi,Ulimwengu wa sasa mpo katika mfumo wa kibepari na ukiangalia uislamu umebase kwenye mfumo wa kijamaa ambao hutumia quran kuratibu shughuli za kiserikali..note; nchi zinazojinasibu na uislamu hubakia pweke na huzungukwa na maadui ambao wanakuja kwa njia ya demokrasia na haki wakijifanya kutetea haki za binadamu (wake) hivyo limetungwa jina baya ili kuonekana kama zimwi na nchi zote zilizopembeni yake lazima zifanye jitihada za kuwatenga nchi za kiislamu.

Pili,Hoja ya jihadi ni kutetea maslahi yako ikiwa hayajafikiwa na hasa kuhusu imani ukiona kuna mambo ya jihadi ujue ni mambo ya ndani ya nchi kuwa wananchi wamezuiwa kusali au dini imekejeliwa hapo jihadi ndiyo itafanyika ila siyo baina ya nchi na nchi.


Tatu,kuwepo kwa media ambazo mara nyingi hutoa taswira mbaya kuwavunja moyo walokuwa na imani zao hapa naona lengo ni dunia kuwa katika dola moja ndiyo target ya kuleta mizozo ypote.
 

si ungaliniambia tu weka link please mpaka ulete uda ??
 
Unaona hawa ndio wameenda shule kuelimika wewe umeenda shule kukariri ili upate cheti ukaajiriwe , watanzania ni wavivu kufikiri, hawa ni wazungu hapo kwenye comment ila wanakataa tamko la chombo chao cha habari kuhusu sijui islamic state kuhusika na russia yote kwasababu wanafikiria ndio tofauti ya elimu yetu na ya kwao , huko kufuata kila kitu mnachoambiwa na mzungu ndio kunafanya muambiwe wanaume muoane humo kanisani halafu mnakuwa wakali yote mmeonekana mnafuata tu mkumbo kila mnachoambiwa na wazungu
 

Attachments

  • Screenshot_20240324-142806_Facebook.jpg
    284.1 KB · Views: 7
  • Screenshot_20240324-144522_Facebook.jpg
    357.4 KB · Views: 7
Kama una akili tafuta miji hatari zaidi dunia ,hakuna wa kiislamu.

Vita hivyo ni ujinga wenu kutaka kupeleka mila zenu kwa mgongo wa vibaraka ,watu hawawezi kukubali katu bora vita kila siku kuliko dominance ya wakristo wa magharibi ni hatari sana.

Pale libya ,iraq, syria palikuwa safi mpaka mlivyoingia ,mbona hao watu hawaji kweny nchi zenu kupeleka majeshi ?

Achani ujinga makundi yote ni yenu hao ISIS ni nyie sio rahisi kuumaliza uislamu, mnatumia pesa kibao kila mwaka ila wapi 😅😅😅 ukweli unajulikana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…