Kwanini Nchi nyingi zenye asili ya Uislam zinakumbwa na Vita sana?

Kwanini Nchi nyingi zenye asili ya Uislam zinakumbwa na Vita sana?

Moja ya muislamu ninaemkubali humu kuna jamaa anajiita @mjingamimi, ni kweli jamaa ni mjinga kweli kweli kama walivyo waislam wengine.
Utofauti wa pekee wa jamaa ni kutopretend kinyume chake pale anapochangia Mada ama kuanzisha tofauti na Waislam wengine wanavyotumia nguvu kujifanya kuwa si wajinga wakati ni Wajinga hata Quran imewaita Wajinga.
😀😀😀😀😀
 
Kama una akili tafuta miji hatari zaidi dunia ,hakuna wa kiislamu.

Vita hivyo ni ujinga wenu kutaka kupeleka mila zenu kwa mgongo wa vibaraka ,watu hawawezi kukubali katu bora vita kila siku kuliko dominance ya wakristo wa magharibi ni hatari sana.

Pale libya ,iraq, syria palikuwa safi mpaka mlivyoingia ,mbona hao watu hawaji kweny nchi zenu kupeleka majeshi ?

Achani ujinga makundi yote ni yenu hao ISIS ni nyie sio rahisi kuumaliza uislamu, mnatumia pesa kibao kila mwaka ila wapi 😅😅😅 ukweli unajulikana

Marekani ya kusini yote imeharibiwa na US

United States involvement in regime change in Latin America

Upanga ndiyo silaha ya kwanza apewayo mslimu wa Uislamu.

Kwa upande mwingine, mwongofu wa Ukristu hupewa Upanga wa Neno la Mungu.

Yesu: Auaye kwa upanga, atakufa kwa upanga.

Mtume: Auaye kwa ajili ya Allah atapewa thawabu nyingi.

Sijui umenielewa?
 
Kanuni ni rahisi sana;-

Uislam:-ujamaa

Ukristo:-ubepari
Mkuu, weka na maandiko kabisa.

Achana na stori zenu za kwenye vijiwe.

^Hakuna mtu awezaye kuwatumikia mabwana wawili, kwa sababu atamchukia huyu na kumpenda yule; au atashikamana na huyu na kumdharau yule. Hamwezi kumtumikia Mungu na mali.^ ~ Mathayo 6:24
 
  • Thanks
Reactions: 511
Mtume: Auaye kwa ajili ya Allah atapewa thawabu nyingi.
Haya umeandika sawa! Tupatie ushahidi na tupatie sababu ya hayo maneno. Kwa sababu kila kitu katika Qur'an au hadithi agizo lake lina sababu yake ya kutoka. Yaani chanzo ni nini mpaka limekuja hilo agizo.

Kwa hiyo tupatie aya au hadithi inayosapoti kauli yako. Na kama ni Qur'an nipatie tafseer na siyo translation (tarjama). Tafseer inatupatia na sababu ya hiyo aya kushuka ni nini?!

Na kama ni hadith tupatie na sherhe yake kwa maana itatoa fafanuzi na makusudio ya hiyo hadithi ambayo wewe utakuwa umeinukuu.

Tunakusubiri.
 
Upanga ndiyo silaha ya kwanza apewayo mslimu wa Uislamu.

Kwa upande mwingine, mwongofu wa Ukristu hupewa Upanga wa Neno is Mungu.

Yesu: Auaye kwa upanga, atakufa kwa upanga.

Mtume: Auaye kwa ajili ya Allah atapewa thawabu nyingi.

Sijui umenielewa?

Umesoma biblia ipi maneno hayo ??
Mkuu, weka na maandiko kabisa.

Achana na stori zenu za kwenye vijiwe.

^Hakuna mtu awezaye kuwatumikia mabwana wawili, kwa sababu atamchukia huyu na kumpenda yule; au atashikamana na huyu na kumdharau yule. Hamwezi kumtumikia Mungu na mali.^ ~ Mathayo 6:24

Mbona Bwana Paulo kasema vyengine ??

1 Wakorintho 9:13-14

13 Hamjui kwamba, watu walioajiriwa kazi Hekaluni wanapata chak ula chao hekaluni, na wale wanaohudumu madhabahuni wanapata sehemu ya sadaka zinazotolewa?

14 Vivyo hivyo, Bwana aliagiza kwamba wale wanaohubiri Injili watapata chakula chao kutokana na Injili.
 
View attachment 2943505

Kafiri ni Mtu yeyote asiyeamini IMANI fulani…kafiri Katika ukristo ni mtu yeyote asiyeuamini Ukristo, na kafiri katika uislam ni mtu yoyote asieamini uislam.

Hayo ni maneno yako , Aya iko wazi kabisa watu wanaomkana Mungu mmoja NA yesu kristo ndio MAKAFIRI

NYINYI WAKRISTO MNAMKANA YESU KWA KUSEMA KUWA YEYE NI MUNGU WAKATI KUNA MUNGU NA YESU ALIYETUMWA NA MUNGU , HUO NI UKAFIRI MKUBWA

Na Yesu kasema:

"Sikia, Israeli, Bwana Mungu wetu ni Bwana mmoja." Marko 12.28.

"Mimi siwezi kufanya neno mwenyewe".Yohana 5.30 "

Ninapaa kwenda kwa...Mungu wangu naye ni Mungu wenu." Yohana 20.17 )

Haiwi mwenye kudai kuwa Mwenyezi Mungu ni mmoja katika Utatu, kama wadaivyo Wakristo sasa, awe anamuamini Mwenyezi Mungu.!!

Na hakika iliyo thibiti ni kuwa hapana mungu ila Mwenyezi Mungu mmoja pekee.

Na ikiwa hawa walio potoka hawatoacha itikadi zao potovu, wakarejea kwenye ut'iifu wa Mwenyezi Mungu,
hapana budi ila itawasibu adhabu kali.

(Biblia inasema kuwa ya kwanza katika Amri Kumi alizo pewa Musa ni:

"Usiwe na miungu mingine ila mimi." - Kutoka 20"

Wewe umeonyeshwa haya, ili upate kujua ya kuwa Bwana ndiye Mungu, hapana ila yeye." - Kumbukumbu la Torati 4.35.

Katika Injili ya Yohana 17.3

Yesu anamsemeza Mwenyezi Mungu: "Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli na Yesu Kristo uliyemtuma.")
 
Kwa hiyo tupatie aya au hadithi inayosapoti kauli yako. Na kama ni Qur'an nipatie tafseer na siyo translation (tarjama).
Unataka uthibitisho?

Angalia wale Waislamu wauaji wanatamka maneno gani wakati na baada ya kutekeleza ujahili wao?

Maana yake ni kwamba hivyo ndivyo Kurani imewaelekeza kufanya.

Dini ya Uislamu ni ya ulazimishaji, ndiyo maana hata kwenye mfungo wa Ramadhan huwa mnawabeza na kuwatukana wasiofunga.

Mbaya zaidi, kwenye nchi na maeneo waliko Waislamu wengi kama Zanzibar, Uarabuni, nk, huduma muhimu za kijamii kama chakula na maji zinasitishwa kisa tu nyie mko kwenye mfungo.

Kamwe hiyo haiwezi kuwa dini ya Mungu wa kweli.
 
5d91f06ca0febca249f24e9ca1108b8d.png
 
😀😀😀😀😀
Sure, jamaa uwa anajipambanua Mapema sana kwa mtu yoyote anaejadiliana nae. So kazi ni kwako wewe unaejadiliana nae, umwacha kama alivyo ana uendelee kumpa Facts kitu ambacho kwake hazifanyi kazi.

Waislam karibia wote wako hivyo, usijisumbu kuwapa fact kwa dhumni la kuwa-win katika mijadala hata wawe wasomi vipi. Ila wanapenda sana kujificha kwenye kichaka cha logic na fact ilhali zikiwalenga hawazitaki kabisa kwa namna yoyote ile.

Sasa utofauti wa huyo jamaa na Waislam wengine yeye atakupa Dalili Mapema sana kuwa fact kwake hazifanyi kazi, unajisumbua bure kuumiza kichwa kupanga fact.
Ila waislamu wengine hawakupi Dalili kama jamaa anavyofanya kuwa kwake fact ni kazi Bure, watakuzungusha huku na huko baadae sana ni wewe mwenyewe utagundua kuwa unapigia Mbuzi Gitaa. Fact zako si chochote mbele ya wanachokuamini.
 
NYINYI WAKRISTO MNAMKANA YESU KWA KUSEMA KUWA YEYE NI MUNGU WAKATI KUNA MUNGU NA YESU ALIYETUMWA NA MUNGU, HUO NI UKAFIRI MKUBWA
Yesu: aliyeniona Mimi, amemwona Mungu. (Yohana 14:5-9).

Na Yesu kasema:

"Sikia, Israeli, Bwana Mungu wetu ni Bwana mmoja." Marko 12.28.

"Mimi siwezi kufanya neno mwenyewe".Yohana 5.30 "

Ninapaa kwenda kwa...Mungu wangu naye ni Mungu wenu." Yohana 20.17 )
Unaweza kufafanua maana ya maandiko haya?

^Tumfanye mtu katika mfanano Wetu, katika sura Yetu^ (Mwanzo 1:26).

^Bwana Mungu akasema: Basi, huyu mtu amekuwa kama mmoja Wetu...^ (Mwanzo 2:22).

Hicho kiwakilishi cha nafsi ya kwanza wingi (^wetu^ na ^yetu^) humaanisha nini?

Unaelewaje? Kwa sababu Mungu ndiye anazungumza hapo.

Soma pia:

Yohana 1:1-4 Neno (Kristu) alikuwa Mungu kabla hajaja duniani na kufanyika mwanadamu.

Wakolosai 1:16, 17 Ndiye Muumbaji wa vyote, mbinguni & duniani.
 
Back
Top Bottom