View attachment 2943505
Kafiri ni Mtu yeyote asiyeamini IMANI fulani…kafiri Katika ukristo ni mtu yeyote asiyeuamini Ukristo, na kafiri katika uislam ni mtu yoyote asieamini uislam.
Hayo ni maneno yako , Aya iko wazi kabisa watu wanaomkana Mungu mmoja NA yesu kristo ndio MAKAFIRI
NYINYI WAKRISTO MNAMKANA YESU KWA KUSEMA KUWA YEYE NI MUNGU WAKATI KUNA MUNGU NA YESU ALIYETUMWA NA MUNGU , HUO NI UKAFIRI MKUBWA
Na Yesu kasema:
"Sikia, Israeli, Bwana Mungu wetu ni Bwana mmoja." Marko 12.28.
"Mimi siwezi kufanya neno mwenyewe".Yohana 5.30 "
Ninapaa kwenda kwa...Mungu wangu naye ni Mungu wenu." Yohana 20.17 )
Haiwi mwenye kudai kuwa Mwenyezi Mungu ni mmoja katika Utatu, kama wadaivyo Wakristo sasa, awe anamuamini Mwenyezi Mungu.!!
Na hakika iliyo thibiti ni kuwa hapana mungu ila Mwenyezi Mungu mmoja pekee.
Na ikiwa hawa walio potoka hawatoacha itikadi zao potovu, wakarejea kwenye ut'iifu wa Mwenyezi Mungu,
hapana budi ila itawasibu adhabu kali.
(Biblia inasema kuwa ya kwanza katika Amri Kumi alizo pewa Musa ni:
"Usiwe na miungu mingine ila mimi." - Kutoka 20"
Wewe umeonyeshwa haya, ili upate kujua ya kuwa Bwana ndiye Mungu, hapana ila yeye." - Kumbukumbu la Torati 4.35.
Katika Injili ya Yohana 17.3
Yesu anamsemeza Mwenyezi Mungu: "Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli na Yesu Kristo uliyemtuma.")