Kwanini Nchi nyingi zenye asili ya Uislam zinakumbwa na Vita sana?

Kwanini Nchi nyingi zenye asili ya Uislam zinakumbwa na Vita sana?

Waislam wanaamini ukipigana vita kwa ajili ya Allah basi unaenda mbinguni.

Ukristu unaamini kuwa Mungu anaweza pigana vita vyake mwenyewe
Mungu wa wakirito akisha kufa msharabani bhana aliuliwa na wayahudi
 
Ndio hoja za Roho Mtakatifu wako unaposhindwa hoja hukimbilia kukuongoza huko , tumewazoea
Ulianza kasha mwenyewe. Umeni quote mara 2 nikapotezea ukaendelea.
Sawa nimekujibu lakini umeanza kuleta kejeri. Halafu mimi siku zote nakujibu kwa hii id mbona unapata kiwewe cha huyo unaedai kakufata kwa id nyingine?

Endelea na kejeri, naziweza pia
 
Unataka uthibitisho?

Angalia wale Waislamu wauaji wanatamka maneno gani wakati na baada ya kutekeleza ujahili wao?

Maana yake ni kwamba hivyo ndivyo Kurani imewaelekeza kufanya.

Dini ya Uislamu ni ya ulazimishaji, ndiyo maana hata kwenye mfungo wa Ramadhan huwa mnawabeza na kuwatukana wasiofunga.

Mbaya zaidi, kwenye nchi na maeneo waliko Waislamu wengi kama Zanzibar, Uarabuni, nk, huduma muhimu za kijamii kama chakula na maji zinasitishwa kisa tu nyie mko kwenye mfungo.

Kamwe hiyo haiwezi kuwa dini ya Mungu wa kweli.
Uislam unasema "al elmu qablal qaul wal amal" kwa maana; elimu kwanza kabla ya kuongea na kabla ya utekelezaji wa jambo. Huu ndiyo uislam. Uislam haukuruhusu kuingia kwenye masuala yoyote isipokuwa kwa elimu na haukuruhusu kutoka kwenye masuala yoyote isipokuwa kwa elimu.

Maadamu umeweka nukuuu ya Mtume wetu kuhusiana na uislam, uislam wenyewe unasema hivi; "Ikiwa mtaikhtalifiana kwa jambo lolote basi rudini kwa Mwenyezi Mungu na Mtume wake". Kwa Mungu ni Qur'an na kwa Mtume ni hadithi. Hayo ndiyo mashina ya elimu katika Uislam.

Kwa msingi huo, elimu ya kiislamu inapatikana kwenye Qur'an na Hadithi. Kama tukihitaji marejeo zaidi (reference) tutahitaji kutoka kwenye Qur'an, Hadithi, Ijmaa +Qiyas. Mashaallah Qur'an ipo na Hadithi zipo!

Umemnukuu Mtume wetu Muhammad s.a.w. na Mtume wetu fafanuzi zake zinaambatana na Qur'an na Hadithi. Maadamu umemnukuu Mtume wetu, tupatie ushahidi wake ili tuweze kujua hayo maneno ni ya kwake kweli? Kama ya kwake yanapatikana wapi? Kwenye Qur'an au hadithi?

Kama yanapatikana kwenye Qur'an ni sura gani na aya gani? Kama hiyo aya ikipatikana je, sababu ya kushuka hiyo aya ni nini? Itatupatia fafanuzi. Na kama fafanuzi ni tafseer ya nani? Ni ya Imam Qurtubi au Imam Suyutwi? n.k

Kama ni hadithi tupatie ni hadithi imepokelewa na nani? Yaani kitabu kipi cha hadithi? Na hadithi nambari ngapi? Na kama ni kitabu kurasa ya ngapi?

Ukifanikisha hiyo hadithi tupatie na sherhe yake. Yaani hiyo hadithi mpaka Mtume kutamka hivyo sababu yake ilikuwa ni nini? Sherhe ndiyo inaleta fafanuzi ya hiyo hadithi mantiki yake ni nini?!

Waislam ushahidi wetu amesema Allah kwenye Qur'an na amesema Mtume kwenye hadithi. Huo ndiyo ushahidi wetu.

Ukiniambia wanaoua wanatamka maneno fulani! Huo kwetu siyo ushahidi. Ukisema Zanzibar wanafanya hivi! Huo siyo ushahidi katika Uislam. Ushahidi kwetu ni Qur'an na Hadithi.
Sisi hata Sheikh akifanya jambo tutamuuliza ushahidi wake ni upi? Kanzu wala kilemba chake wala ndevu zake kwetu siyo kielelezo tosha. Kielelezo tosha Mungu kasemaje, Mtume kasemaje!

Hivyo, niletee ushahidi kutoka kwenye vyanzo vya kielimu vya kiislam ambavyo vinasema kama wewe ulivyoweka kuwa Mtume kasema. Leta kwa mtiririko wa kielimu kama nilivyokuwekea juu! Kwa maana ndivyo mtirirko wa kielimu wa kiislam ulivyo.
 
Mungu wa wakirito akisha kufa msharabani bhana aliuliwa na wayahudi
images (11).jpeg
 
Yesu: aliyeniona Mimi, amemwona Mungu. (Yohana 14:5-9).


Unaweza kufafanua maana ya maandiko haya?

^Tumfanye mtu katika mfanano Wetu, katika sura Yetu^ (Mwanzo 1:26).

^Bwana Mungu akasema: Basi, huyu mtu amekuwa kama mmoja Wetu...^ (Mwanzo 2:22).

Hicho kiwakilishi cha nafsi ya kwanza wingi (^wetu^ na ^yetu^) humaanisha nini?

Unaelewaje? Kwa sababu Mungu ndiye anazungumza hapo.

Soma pia:

Yohana 1:1-4 Neno (Kristu) alikuwa Mungu kabla hajaja duniani na kufanyika mwanadamu.

Wakolosai 1:16, 17 Ndiye Muumbaji wa vyote, mbinguni & duniani.


Tuanze na hii

Yesu: aliyeniona Mimi, amemwona Mungu. (Yohana 14:5-9).

Wacha tuangalie muktadha:

“Filipo akamwambia, Bwana, tuonyeshe Baba, nasi yatutosha. Baba; nawe wasemaje basi, Utuonyeshe Baba?

Yohana 14:8-9


Filipo alitaka kumwona Mungu kwa macho yake mwenyewe, lakini hii haiwezekani kwa kuwa hakuna mtu anayeweza kufanya hivyo. Biblia inasema:

"Hakuna mtu aliyemwona Mungu wakati wowote," Yohana 1:18

"Hakuna mtu aliyemwona Mungu wakati wowote," 1 Yohana 4:12

"Na Baba mwenyewe aliyenipeleka amenishuhudia. Sauti yake hamkuisikia wakati wo wote, wala sura yake hamjaiona." Yohana 5:37

Lakini walikuwa wakisikiliza sauti ya Yesu na kumtazama akiwa amesimama mbele yao!

Yesu alikuwa anatuambia tu kwamba matendo yake mwenyewe na miujiza inapaswa kuwa uthibitisho wa kutosha wa kuwepo kwa Mungu bila Mungu kushuka kimwili na kujiruhusu kuonekana kila wakati mtu ana shaka.

Hii ni sawa na kwa mfano:

1)Yohana 8:19: "Wakamwambia, Baba yako yuko wapi? Yesu akajibu, Ninyi hamnijui mimi, wala Baba yangu; kama mngalinijua mimi, mngalimjua na Baba yangu."

2)Yohana 12:44 "Yesu akapaza sauti, akasema, Yeye aniaminiye mimi, haniamini mimi, bali yeye aliyenipeleka."

3)Yohana 15:23 "Yeye anichukiaye mimi anamchukia na Baba yangu."

4)Mathayo 10:40-41 "Awapokeaye ninyi, anipokea mimi (Yesu), naye anipokeaye mimi, anampokea yeye aliyenituma. Ampokeaye nabii kwa kuwa ni nabii, atapata thawabu ya nabii; ampokeaye mwenye haki kwa kuwa ni mwenye haki, atapata thawabu ya mwenye haki."

5) Waamuzi 13:20-22 inasema: “Ikawa, huo mwali wa moto ulipopaa juu mbinguni, kutoka katika madhabahu, ndipo malaika wa BWANA akapanda katika mwali wa moto wa madhabahu, Manoa na mkewe wakatazama. wakaanguka kifudifudi, lakini malaika wa BWANA hakumtokea tena Manoa na mkewe.” Ndipo Manoa akajua ya kuwa yeye ni malaika wa BWANA.” Manoa akamwambia mkewe, Hakika tutakufa, kwa sababu tumemwona Mungu."

Ikiwa tunataka kusisitiza kwamba wakati Filipo alipomwona Yesu (AS), alikuwa amemwona Mungu "Baba" kimwili kwa sababu Yesu "ndiye" Baba na wote wawili ni "Utatu," na Yesu ni "mwili" wa Mungu, basi. hii itatulazimisha kuhitimisha kuwa Yohana 1:18, 1 Yoh 4:12, Yoh 5:37..nk. yote ni uongo.

Je, Filipo ndiye pekee ambaye "alimwona baba"? Hebu tusome:

"Si kwamba mtu amemwona Baba, ila yeye atokaye kwa Mungu; huyo ndiye aliyemwona Baba."

Yohana 6:46


Ni nani huyu "aliye wa Mungu" na amemwona Baba unayemwuliza?

Hebu tuulize tena Biblia:

“Yeye aliye wa Mungu husikia maneno ya Mungu; Yohana 8:47.

Na

"Mpenzi, usifuate uovu, bali wema. Yeye atendaye mema ni wa Mungu; bali yeye atendaye mabaya hakumwona Mungu." 3 Yohana 1:11.


Je, watu wote ambao wamefanya mema pia wamemwona Mungu kimwili?
 
Yesu: aliyeniona Mimi, amemwona Mungu. (Yohana 14:5-9).


Unaweza kufafanua maana ya maandiko haya?

^Tumfanye mtu katika mfanano Wetu, katika sura Yetu^ (Mwanzo 1:26).

^Bwana Mungu akasema: Basi, huyu mtu amekuwa kama mmoja Wetu...^ (Mwanzo 2:22).

Hicho kiwakilishi cha nafsi ya kwanza wingi (^wetu^ na ^yetu^) humaanisha nini?

Unaelewaje? Kwa sababu Mungu ndiye anazungumza hapo.

Soma pia:

Yohana 1:1-4 Neno (Kristu) alikuwa Mungu kabla hajaja duniani na kufanyika mwanadamu.

Wakolosai 1:16, 17 Ndiye Muumbaji wa vyote, mbinguni & duniani.


Mwanzo 1:26-27

26 Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; wakatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na wanyama, na nchi yote pia, na kila kiumbe chenye uhai. tembea ardhini."

27 Mungu akaumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu alimwumba; mwanamume na mwanamke aliwaumba.


Kuna kauli tatu muhimu katika aya hizo hapo juu:

"Mfano wetu"

"Picha Yetu" sura yetu

- "Sisi"

Hebu sasa tuyachunguze kwa undani zaidi.


Tuanzie na

"....baada ya sura YETU...."

Ni nani huyu binadamu anayefanana na MUNGU?

Adamu, uumbaji wa kwanza wa Wanadamu na ule ulio kwenye Mwanzo 1:26-27 hakika sivyo. Kufanana na MUNGU Mwenyezi si sura ya kimwili, bali ni kuwa na ujuzi wa Mema na mabaya.

Hii imesemwa wazi katika Biblia:

“Kwa maana Mungu anajua ya kuwa mtakapokula matunda ya mti huo macho yenu yatafumbuliwa, nanyi mtakuwa kama Mungu, mkijua mema na mabaya.” (Kutoka Biblia ya NIV, Mwanzo 3:5)

“na kuvaa utu mpya, ulioumbwa kufanana na Mungu katika haki na utakatifu wa kweli. (Kutoka katika Biblia ya NIV, Waefeso 4:24)”

Ndipo BWANA akamwambia Musa, Tazama, nimekufanya wewe kuwa kama Mungu kwa Farao, na Haruni ndugu yako atakuwa nabii wako. (Kutoka katika Biblia ya NIV, Kutoka 7:1)”

"Siku hiyo BWANA atawalinda wakaao Yerusalemu, hata aliye dhaifu kati yao atakuwa kama Daudi, na nyumba ya Daudi itakuwa kama Mungu, kama malaika wa BWANA akiwatangulia." , Zekaria 12:8)"

kwa maana halisi, hakuna aliye kama MUNGU Mwenyezi:

"Kesho," Farao alisema. Musa akajibu, “Itakuwa kama ulivyosema, ili upate kujua ya kuwa hakuna aliye kama BWANA, Mungu wetu. (Kutoka Biblia ya NIV, Kutoka 8:10)”

"Hakuna aliye mtakatifu [Au hakuna Mtakatifu] kama BWANA; hakuna mwingine ila wewe; hakuna Mwamba kama Mungu wetu. (Kutoka Biblia ya NIV, 1 Samweli 2:2)"

"Maana ni nani mbinguni juu awezaye kulinganishwa na BWANA? Ni nani aliye kama BWANA kati ya viumbe vya mbinguni? (Kutoka Biblia ya NIV, Zaburi 89:6)"

"Ni nani aliye kama BWANA, Mungu wetu, Yeye aketiye juu, kutoka katika Biblia ya NIV, Zaburi 113:5)
 
Naona hawa vijana wa Mombasa wamevimbiwa na miogo ya usiku wanakuja na aya za kupotosha.Hawaijuwi Biblia.Biblia siyo kama zile hadithi zenu.

Si ungaliweka hizo aya zisizopotosha , unalalamika kitu gani ??
 
Jifunze na jielimishe kwanza!


ugaidi


/ugaidi/


vitendo vya kutisha; kutumia nguvu; mauaji na mashambulizi yanayofanywa kwa ajili ya kufikia malengo fulani ya kisiasa au kidini.



Huyu alikuwa dini gani???

The U.S. Government Had Nelson Mandela on Terrorist Watch Lists Until 2008. Here’s Why​



list/
Umezunguka sana, ila unasumbuliwa na :

chuki


/t∫uki/

1. tabia ya kutopenda, hasa watu au ya kuwa na roho mbaya

2. maneno ya kugombanisha watu

3. hali ya kukasirika


Shia hawawez kuudhalilisha uislamu kwa kuwatukana, kubeza na kudharau maswahaba. Pia hawawez kumtukana mke wa kipenzi chetu eti kahaba. Lazima pachimbike maamaee
 
  • Kicheko
Reactions: 511
Back
Top Bottom