Jagina
JF-Expert Member
- Jan 29, 2019
- 8,428
- 4,022
Ndivyo biblia yako ya QJV ilivyoandika ?Ya mtume mpenda chupi Muhammad😁😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndivyo biblia yako ya QJV ilivyoandika ?Ya mtume mpenda chupi Muhammad😁😁
Ya mtume mpenda chupi Muhammad😁😁
Biblia yangu haimjui mtume wa mnyaazimngu.Ndivyo biblia yako ya QJV ilivyoandika ?
Umechelewa kujua hilo mkuu.
Total nutcase
View: https://youtu.be/Q2jrJI4lFpA?si=BTyvtylOGzNzuky9
Msikilize adui mkubwa wa uislam ulimwenguni akiwa kwenye 1/2😁
Yesu asingekosa kutabiri kuuliwa kwake msalabani, atabiri kuteswa tu
"Mt 23:35 Hivyo ni ije juu yenu damu yote ya haki iliyomwagika juu ya nchi, tangu damu ya Habil, yule mwenye haki, hata... Zekaria... mliyemuua kati ya patakatifu..."
"Mt 17:12 .. Vivyo hivyo mwana wa Adamu naye yuenda kutesa kwao". "Lk 22: 15... Nimetamani sana kula pasaka hii pamoja nanyi kabla ya kuteswa kwangu". Hata baada ya huko"kusulubiwa" kwake, Yesu alitaja kuteswa kwake tu:
"Lk 24:25... Enyi msiofahamu...26: Je! Haikumpasa Kristo kupata mateso haya ni kuingia katika utukufu wake?"
Jamani, na tujihadhari sana na utatanishi wa lugha ya Biblia. Hata aya anazosemewa Yesu kuwa kauawa huenda zimetiwa chumvi, kama Paulo alivyotia chumvi usemi wake wa mtu kufa(kwa maana ya kuteswa) kila leo, kama Biblia inavyoumbua:
"1Kor 15:31 ... Kwa huku kujisifu kwangu niliko nako juu yenu katika Kristo Bwana wetu, nimekufa kila siku".
Kwa hiyo kama kulikuwepo mpango wa kumuuwa Yesu, basi hakuujua na Mungu, akina Plato na kadhalika waliunda njama za kumuokoa na kifo cha laana cha msalabani, na ni dhahiri kabisa kwamba Yesu hakufa wala hakusulubiwa.
Biblia yangu haimjui mtume wa mnyaazimngu.
View: https://youtu.be/WArs3R0qI6I?si=-Uztt8Y45USo2nIa
Nyingine ngine hiyo kaka,pata elimu ya uislam kwa mapana yake.
Kuhusu itikadi ya "Dhambi ya asili (Original Sin) na Upatanishi (Atonement):
Hii nayo sio kweli, wala haingii akilini. Akili timamu inakataa kabisa nadharia hii ya Dhambi ya Asili na Kafara.
Kusema eti dhambi walioitenda wazazi wetu Adam (a.s.)na Hawa (r.a.) maelfu ya miaka iliyopita - dhambi hiyo imerithishwa kwakila mwanadamu hadi siku ya mwisho, kunapinga aya nyingi za Biblia na Qur'an zifuatazo:
"Kum 24:16 Mababa wasiuawe kwa ajili ya watoto wao, wala watoto wasiuawe kwa ajili ya baba zao; kilamtu auawe kwa ajili ya dhambi zake mwenyewe".
Aya ya 2 Fal 14:6, na 2 Nya25:4 zasema vivyo hivyo pia.
"Yer 31:30 Bali kila mtu atakufa kwa sababu ya uovu wake mwenyewe..."
"Eze 18:20 Roho itendayo dhambi ndio itakayokufa, mwana hatachukua uovu wa baba yake, wala baba hatauchukua uovu wa mwanae, haki yake mwenye haki itakuwa juu yake, na haki yake mwenye uovu itakuwa juu yake".
Hata Yesu mwenyewe kaipinga hii nadharia ya "Dhambi ya Asili" kwa kusema kuwa watoto wadogo hawana dhambi (Mt 18:2-4, 19:14; Mt 18:2)
Qur'an nayo imesisitiza kuwa kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe:
"17:15 Anayeongoka, basi anaongoka kwa maslahi ya nafsi yake mwenyewe, na anayepotea basi anapotea kwa hasara ya nafsi yake mwenyewe. Wala hatabeba mbebaji mzigo wa mwingine...".
"53:36 Au hakuambiwa yaliyomo katika vitabu vya Mussa? 37: na vya Ibrahimu aliyetimiza ahadi ya MwenyeziMungu? 38: Ya kwamba haichukui nafsi yeyote dhambi ya nafsi nyingine? 39:Na kwamba mtu hatapata ila yale aliyoyafanya 40: Na kwamba amali itaonekana.41: Kisha atalipwa malipo yaliyo kamili..."
Ukifika hapa, yanazuka masualimengine mengi tata kwamba: Je, Mariamu, mama wa Yesu naye anayo dhambiya kurithi au hana? Iwapo Mariamu anayo dhambi ya urithi kutoka kwa Adamuna Hawa, Yesu naye ameirithi hiyo dhambi kutoka kwa mzazi wake pekee Mariamu?
Hii ndio itikadi ya Dhambiya Asili aliyoizusha Mt. Paulo ili apate kuhalalisha itikadi yake nyingineya Fidia (Kafara, sadaka Cacrifice, Atonement) kwa njia pekee ya kufa Yesumsalabani (Rum 5:12-15, 1 Kor 15:22).
Hakuana muislam yeyote anayejua historia ya Yesu hata Allah hajui.Taarifa za kusulubiwaYesu katika Injili zote nne sio kweli kwa sababu zifuatazo:
Taarifa za Injili zinatafautiana mno, kama mifano michache hapa chini ionyeshayo:
Injili tatu zinasema Simoni ndiye aliyechukua msalaba wa Yesu (Mt 27:32; Mk 15:21-2; Lk 23:26); lakini Injili ya nne inasema Yesu aliubeba msalaba wake mwenyewe (Yn 19:17).
Mathayo yasema Yesu alipewa divai iliyochanganywa na nyongo akaionja na hakuinywa, Marko anasema Yesu hakuinywa, na Luka na Yohana wala hawalitaji tukio hilo.
Kuhusu saa aliposulubiwaYesu, Mathayo na Luka haiwaitaji kabisa, lakini Marko anasema ilikuwa ni saa tatu (Mk 15:25) na Yohana asema saa sita (Yn 19:14). Mathayo na asema ilipasuka kutoka juu hadi chini; na Luka sema ilipasuka kutoka upande hadi upande (horizontally), na ni Mathayo peke yake aliyearifu kuhusu matetemeko,kufunuka makaburi na miili kuinuka, miamba kupasuka.
Mathayo, Marko na Luka wanasema wanawake walisimama mbali na msalaba (Mt 27:55-6; Mk 15:40-1; Lk 23:49),lakini Yohana anasema walisimama jirani na msalaba (Yn 19:25). Yohana peke yake ndiye karipoti kuwa mamake Yesu naye alikuja kule msalabani. Pia Injili zatofautiana juu ya idadi ya wanawake hao.
Kuhusu giza, Mathayo, Marko na Luka wanasema lilitanda dunia nzima, lakini Yohana hataji kabisa na kadhalika.
Mifano iko zaidi ya 20 mingine,yote hii inazipinga aya ambazo hunukuu wakristo na kudai kuwa zinasema Yesu aliuliwa pale msalabani. Qur'an inasema wakristo hawana hakika,bali wanadhani tu.
Maneno haya ya kupingana namna hii kweli yote ni ya Mungu au ya waandishi wapotofu?
Hakuana muislam yeyote anayejua historia ya Yesu hata Allah hajui.
Quran ina historia ya mtuanayeitwa issah aliyezaliwa chini ya mtende.
Hakuana muislam yeyote anayejua historia ya Yesu hata Allah hajui.
Quran ina historia ya mtuanayeitwa issah aliyezaliwa chini ya mtende.
Hakuana muislam yeyote anayejua historia ya Yesu hata Allah hajui.
Quran ina historia ya mtuanayeitwa issah aliyezaliwa chini ya mtende.
Hakuana muislam yeyote anayejua historia ya Yesu hata Allah hajui.
Quran ina historia ya mtuanayeitwa issah aliyezaliwa chini ya mtende.
Hakuna anayemjua Yesu sio Allah wala kibaraka wake Muhammad,What's in a Name?
The name Jesus is actually a 16th century creation.
"Jesus" has its origins in יהושוע (Yehoshua or Joshua) in which the first part "yeho" refers to God.
The name means "YHWH helps".
But it was a name to be used with care and to prevent accidental voicing of the name of God, Yehoshua got truncated to ישוע (Y'shua), or, in the Galilee, to Yeshu.
Transliterated into Greek, Yeshu became Ἰησοῦς (Iesous), and from that, the Latin Iesus.
A late development was the letter J which was then substituted for the initial capital I rendering Iesus into Jesus.
View: https://youtu.be/V-6Q4x5YDAU?si=wiidj2dgE9Zpo5OG
Hii hapa sasa,CP kapata mbabe wake,kakalishwa vibaya.
Hakuna anayemjua Yesu sio Allah wala kibaraka wake Muhammad,
Born in a Stable?
![]()
Was Jesus born in a stable? Or a barn? Or a cave?
Luke* says only a manger. There was no room for him in the kataluma ("inn" or guest room).
But Joseph supposedly had returned to his ancestral home, "the lineage of David". So the place should have been chock-full with his own relatives. And not one of them would accommodate a heavily pregnant woman? Tut-tut.
The reality is that the story of Jesus is enhanced by the "humble birth".
Early Christians were taken by the idea that he was, in fact, born in a cave. Can you get any more humble than that?
* Matthew, a tad more realistic, says, "And when they had come into the house ..." (2.11).
The Cave
![]()
In the 4th century construction of the Christian dreamscape a church was built over a conveniently located cave in Bethlehem – over, that is, a cave previously consecrated to the worship of Adonis-Tammuz (Lord Tammuz).
A grander version of the church was built by emperor Justinian and much of it remains today, still featuring "the cave of the nativity".
Church Father offers evidence of Cave plus Manger
"With respect to the birth of Jesus in Bethlehem, if any one desires, after the prophecy of Micah and after the history recorded in the Gospels by the disciples of Jesus, to have additional evidence from other sources, let him know that, in conformity with the narrative in the Gospel regarding his birth, there is shown at Bethlehem the cave where he was born, and the manger in the cave where he was wrapped in swaddling-clothes."
– Origen. Contra Celsus, I, 51.
😄😄shoga anayemfokoa mtume nje ndani🤣🤣yaani unatuletea Shoga Christian Prince tumsikilize , kweli umekwisha au ndiye mchungaji wako??
I didn't feel the need to say 'I am gay'': Christian 'Prince' , reveals he never came out to his famous father ... and says he struggled with self-confidence for years