Biblia inasema kuwa ya kwanza katika Amri Kumi alizo pewa Musa ni: "Usiwe na miungu mingine ila mimi." - Kutoka 20"
Wewe umeonyeshwa haya, ili upate kujua ya kuwa Bwana ndiye Mungu, hapana ila yeye." -
Kumbukumbu la Torati 4.35.
Katika Injili ya Yohana 17.3
Yesu anamsemeza Mwenyezi Mungu: "Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli na Yesu Kristo uliyemtuma.")
Yuda 1:4 Kwa maana kuna watu waliojiingiza kwa siri, watu walioandikiwa hukumu hii tangu zamani, MAKAFIRI, waibadilio neema ya Mungu wetu kuwa ufisadi, na kumkana yeye aliye peke yake mola na Bwana wetu Yesu Kristo,
Kwahiyo tunawaita makafiri kwa sababu miongoni mwenu mnamwita Yesu kuwa ni Mungu, na miongoni mwenu mnasema kuwa Mungu ni wa tatu wa utatu.
YAANI WAKRISTO HEMU SOMENI Matendo 2:22-23
nataka aya isemayo ukristo ni dini ya haki, moja,