Kwanini Nchi nyingi zenye asili ya Uislam zinakumbwa na Vita sana?

Kwanini Nchi nyingi zenye asili ya Uislam zinakumbwa na Vita sana?

Unaokota matakataka kwenye Internet na kuyaweka bila kutumia akili. Unatupotezea muda na kujaza server za JF na pumba

Nyani haoni boga lake ,
Elimu bila malipo hiyo, umeshindwa mpelekee Mchungaji wako
 
Ukielewa jambo huitaji kutumia ma-article ya watu wengine kulielezea
Unatumia lugha nyepesi na fupi ukishaona huwezi klielezea jambo kwa lugha nyepesi na fupi hujalielewa umekariri

Kuifahamu biblia inahitajika neema kubwa sana ya Mungu mfano shetani hakujua Yesu atafukukua siku ya tatu na atamnyanganya fungua za uzima wa mauti
Kufa kwa Yesu kuliandikwa kwenye biblia lakin shetan hakuona huo mstari na hakuulewa

Laiti angefahamu maandiko angemlinda Yesu kwa gharama yote asife mslabani kwa sababu kufa kwa Yesu msalaban ni hasara kubwa sana shetani

Ndo kama huyo jamaa anafikiri kusoma biblia ndo kuijua
Nitakuja huko kwenye Huo uongo wa Yesu kufa msalabani
 
Unajua ukikuta muislam anashupaza shingo kwamba Yesu hakufa unasikitika kwamba hajui hii ina maana gani kwetu.

Ndio sababu hata mtume wao huwa tunamuona ni wakala wa shetani sababu,yuko nyuma ya agenda kubwa kabisa kinyume na ushindi wa wokovu wa msalaba.

Did Jesus need to die?

The Son of man had "authority on earth to forgive sins" (Mark 2.10)

and Jesus we are told forgave the sins of a paralyzed man (Mark 2.5),

and the woman with an alabaster jar (Luke 7.48).

So why did Jesus have to die in order to redeem us from sin?
 
Unajua ukikuta muislam anashupaza shingo kwamba Yesu hakufa unasikitika kwamba hajui hii ina maana gani kwetu.

Ndio sababu hata mtume wao huwa tunamuona ni wakala wa shetani sababu,yuko nyuma ya agenda kubwa kabisa kinyume na ushindi wa wokovu wa msalaba.

The SIX trials of Jesus?

6-trials-sm.jpg

1. Night "trial" by the Sanhedrin (Mark)

2. Morning "trial" by the Sanhedrin (Mark, Matthew, Luke)

3. "Trial" by Pilate (Mark, Matthew, Luke, John)

4. Night "trial" by Annas (John)

5. "Trial" by Herod Antipas (Luke)

6. Second "trial" by Pilate, after Jesus was sent back by Herod (Luke)

All between nightfall and noon the following day!

To add dramatic tension, the trial sequence was interwoven with a different sort of trial, that of Peter's "denial of Jesus" and also with the farcical Barabbas "Passover pardon" episode.

More theatre.
 
Yesu asingepita msalaban work done ilikuwa equal to zero
Watu wanadhan Yesu alikuja kufanya miujiza lile sio lengo bali ni kupita msalabani

Jesus lies to his apostles and lies as a sales pitch to get converts.

Believe me that I am in the Father, and the Father in me: or else believe me for the very works' sake. Verily, verily, I say unto you, He that believeth on me, the works that I do shall he do also; and greater works than these shall he do; because I go unto my Father. And whatsoever ye shall ask in my name, that will I do, that the Father may be glorified in the Son. If ye shall ask any thing in my name, I will do it." (John 14: 11 – 14)

Jesus lies about his Second Coming:

Verily I say unto you, There be some standing here, which shall not taste of death, till they see the Son of man coming in his kingdom.” (Matthew 16: 28)

Jesus lies about the amount of and power of faith:

He replied, "Because you have so little faith. Truly I tell you, if you have faith as small as a mustard seed, you can say to this mountain, 'Move from here to there,' and it will move. Nothing will be impossible for you." (Matthew 17: 20)
 
Yesu asingepita msalaban work done ilikuwa equal to zero
Watu wanadhan Yesu alikuja kufanya miujiza lile sio lengo bali ni kupita msalabani

The KEY question

Mark

But he was silent and made no answer. Again the high priest asked him, "Are you the Christ, the Son of the Blessed?"

And Jesus said, "I am; and you will see the Son of man seated at the right hand of Power, and coming with the clouds of heaven."

And the high priest tore his garments, and said, "Why do we still need witnesses? You have heard his blasphemy. What is your decision?"

And they all condemned him as deserving death. And some began to spit on him, and to cover his face, and to strike him, saying to him, "Prophesy!"

And the guards received him with blows.

are-you-the-christ.jpg

Matthew

But Jesus was silent. And the high priest said to him, "I adjure you by the living God, tell us if you are the Christ, the Son of God."

Jesus said to him, "You have said so. But I tell you, hereafter you will see the Son of man seated at the right hand of Power, and coming on the clouds of heaven."

Then the high priest tore his robes, and said, "He has uttered blasphemy. Why do we still need witnesses? You have now heard his blasphemy. What is your judgment?"

They answered, "He deserves death." Then they spat in his face, and struck him; and some slapped him, saying, "Prophesy to us, you Christ! Who is it that struck you?"

blindfolded.jpg

Peek-a-boo

Luke

When day came, the assembly of the elders of the people, both chief priests and scribes, gathered together, and they brought him to their council.
They said, "If you are the Messiah, tell us."

He replied, "If I tell you, you will not believe; and if I question you, you will not answer. But from now on the Son of Man will be seated at the right hand of the power of God."

All of them asked, "Are you, then, the Son of God?"

He said to them, "You say that I am."

Then they said, "What further testimony do we need? We have heard it ourselves from his own lips!

John

Pilate said to them, "Take him yourselves and crucify him; I find no case against him."

The Jews answered him, "We have a law, and according to that law he ought to die because he has claimed to be the Son of God."

Not only was there no such law but blasphemy required stoning not crucifixion!

stone-jesus.jpg
 
Unaenda kucopy na kupaste article za watu wengine ila sikushangai hata muhammad ali-copy na kupaste biblia
 
  • Kicheko
Reactions: 511
Jesus lies to his apostles and lies as a sales pitch to get converts.

Believe me that I am in the Father, and the Father in me: or else believe me for the very works' sake. Verily, verily, I say unto you, He that believeth on me, the works that I do shall he do also; and greater works than these shall he do; because I go unto my Father. And whatsoever ye shall ask in my name, that will I do, that the Father may be glorified in the Son. If ye shall ask any thing in my name, I will do it." (John 14: 11 – 14)

Jesus lies about his Second Coming:

Verily I say unto you, There be some standing here, which shall not taste of death, till they see the Son of man coming in his kingdom.” (Matthew 16: 28)

Jesus lies about the amount of and power of faith:

He replied, "Because you have so little faith. Truly I tell you, if you have faith as small as a mustard seed, you can say to this mountain, 'Move from here to there,' and it will move. Nothing will be impossible for you." (Matthew 17: 20)
Mimi sinaga mda wa kuusoma huu upupu wako uli-copy na kupaste
Usitumie nguvu nyingi kuniquote sisomagi
 
Jamaa ni mshamba mno yaani anaenda kucopy na kupaste huko kwenye mtandao eti ndo utetezi wake unajua ni vituko
Huyu Jagina anakopi matakataka bila kuyaelewa na kuyaweka hapa. Kitu chenye ukweli hakihitaji maelezo mengi kama yeye anavyotujazia pumba hapa.
 
  • Thanks
Reactions: 511
Uislamu ni dini ya amani na upendo
Fighting is obligatory for you, much as you dislike it. Surah 2:216

Let those fight in the cause of God who sell the life of this world for the hereafter. To him who fights in the cause of God, whether he is slain or victorious, soon we shall give him a great reward. - Surah 4:74

Uislamu na ugaidi ni mbali mbali
Make war on them until idolatry is no more and Allah's religion reigns supreme. Surah- 8:39

Whether unarmed or well-equipped, march on and fight for the cause of Allah, with your wealth and your persons. Surah - 9:41
 
Nchi nyingi zenye mlengo wa uislamu au majimbo mengi ya nchi yenye mlengo wa uislamu uwa ni kitovu cha ugaidi na maeneo hayo usifika kwa kuzalisha makundi mengi ya Kigaidi.

Sisemi tu kwa sababu nasema bali nasema kwa sababu zipo nadharia nyingi zinazoonesha kuwa ni kweli maeneo hayo ukumbwa na matukio ya kigaidi ama Vita.

Hata Tanzania miaka kadhaa ya nyuma kulikuwa na tetesi za matukio ya kigaidi maeneo ya Kibiti na jirani na maeneo hayo ambayo kwa wingi ukaliwa na watu wa Dini ya uislamu kitendo kilichopelekea Jeshi la Tanzania kuwekeza nguvu huko Kibiti na kutokomeza ugaidi huo ambao ulikuwa umeanza kumea katika maeneo hayo ya pwani ya Tanzania. Hata kijana mmoja wa kitanzania mwenye mlengo wa Dini ya kiislamu aliwahi kukamatwa Kenya akitumikia kikundi cha kigaidi cha Al-Shabab.

Ukiachilia mbali hayo, Duniani ukitamka neno ugaidi alafu ukasema tutajie dini yenye kuhusishwa na ugaidi moja kwa moja hata mtoto atakutajia Uislamu. Na hii ni kwa sababu Watu wote wanaokamatwa katika matukio hayo basi ujinasibu kama wanapigania Dini ama maslahi yao ya kidini. Ukiachilia mbali kupigania Dini au Maslahi ya Kidini. Nchi hizo hizo au maeneo hayo hayo yamekuwa yakikumbwa na Mapinduzi ya kijeshi na watu hao wakitaka kusimika dola la kiislamu.

Alikadharika maeneo hayo uwa yanakumbwa na vurugu za kivita za mara kwa mara.

Hapa Afrika ukitoa Congo DRC tu ambayo haina waislamu wengi, nchi nyingi zilizobaki zenye vita za mara kwa mara maeneo hayo yenye vita ukaliwa na waislamu kwa idadi kubwa.

Ukanda wote wa Sahel, yani kusini mwa mpaka wa jangwa la Sahara, nchi kama Sudan, Niger, Mali, Burkinafaso, Chad na nyinginezo na nchi zinazokumbwa na vikundi vya kigaidi mara kwa mara. Na ni nchi zenye uislamu mwingi na kama unavyoona zinapakana na nchi za waarabu wa kiafrika ambazo kwa asilimia 90 raia wa nchi hizo ni waislamu.
View attachment 2943395
Nigeria pia ni miongoni mwa nchi inayokumbwa na matukio ya kigaidi sana hususani Maeneo ya kaskazini ya nchi hiyo ambayo ukaliwa na waislamu wengi. Nchini Nigeria wakristo wengi wanapatikana Kusini katika majiji kama Lagos, na Abuja, na waislamu wengi upatikana maeneo ya Kaskazini mwa nchi ambayo mara nyingi majimbo ya Maeneo hayo uongozwa kwa Sheria za kiislamu, pia nadhani juzi kati katika mfungo wa ramadhani watu wa maeneo hayo walikamatwa kwa kutokufunga Mfungo wa Ramadhani na waliadhibiwa. Maeneo hayo hayo ndio kituo cha Kundi la Boko Haram na vikundi vingine vya namna hiyo.

Tukiama barani Afrika tukaamia bara la Asia ukanda ya Middle East (Mashariki ya Kati) ambapo ndiko uislamu umeanzia huko ndiko kuna vikundi vingi vya kigaidi, na karibia kila nchi ina vikundi vyake. Nadhani wengi mnavifahamu vikundi kama Hamas kilichoishambulia Israel na kuteka na kuua watu katika tamasha la mziki, na kupeleka vita ambayo imeigharimu ardhi ya Palestina ukanda wa Gaza. Vilevile haikupita miezi mingi kuna kikundi kutoka Yemen nacho kinaitwa Hauthi kikaanza kulipa mashambulizi kwa kupiga meli zinazopita ukanda wa bahari ya sham bila kujali kuwa anaepigwa ni raia wa nchi gani.

Ukiachilia mzozo huo wa Israel na maadui zake, hakuna asiyejua kundi la kigaidi lenye mlengo wa kiislamu lililotikisa Dunia kwa matukio ya kutisha kwa kuchinja, kupiga risasi au kujitoa Mhanga. Hii ya kujitoa mhanga ikapelekea Waislamu hasa waliojifunika mwili mzima kuogopwa sana kuhisi labda wamebeba mabomu ya kujitoa mhanga. Chini ya Osama Bin Laden, kundi hili liliisumbua Dunia hasa Marekani kwa kuipa Jeraha lisilosahaulika la Septemba 11.

Kwa kifupi huko Middle East (Mashariki ya Kati) kuna vikundi vingi sana vya kigaidi, vingine vinakuwaga vimelala tu, vinakuwa (Inactive) lakini viko tayari kwa mashambulizi. Na vikundi hivi ndivyo vinafanya Dola za kiislamu zinaendelea kusimama na sheria kali za kiislamu zifatwe, mfano moja wapo ni Kundi la Taliban kutokea pale Afghanistan ambalo baada ya kushika dola tu likaweka sheria kali za kiislamu ikiwemo wanafunzi kusoma madarasa kwa kuzingatia jinsia mpaka chuo kikuu yani mtoto wa kike na wakiume kila mtu darasa lake.

Kundi jingine la Kigaidi ni kundi la ISIS yani Islamic State. Kundi hili juzi kati limekiri kupiga Tukio pale Russia kwa kumimina Risasi katika Mall moja pale Moscow kwenye tamasha la mziki na kuua watu zaidi ya 150 na kuchoma jengo kwa vilipuzi. Lakini Rais wa Russia Vladimir Putin hajawaacha salama, kawadaka watu kadhaa ambao wanahusika na tukio hilo ambao wengi wao wanasema wamekodiwa kutokea nchi ya Uturuki ambayo ni yenye mlengo wa kiislamu.

Kwa ufupi makundi haya ni mengi sana na yana uhusiano wa moja kwa moja, kwa sababu mengi yanakuwa na link au uhusiano.

Kwani ndugu zetu waislamu mnapokuwa mnafundishwa Dini uwa mnapewa maelezo gani yanayowatia baadhi yenu mioyo ya kikatili, kutaka kumwaga Damu?
Sio nyingi bali ni chache zenye machafuko,nikama zilivyo nchi zenye wakirito wengi kuwapo mashoga wengi na wasagaji
 
Mimi sinaga mda wa kuusoma huu upupu wako uli-copy na kupaste
Usitumie nguvu nyingi kuniquote sisomagi

Unao muda wa kujibadilisha id na kukopi vibonzo 😛😛

Msingi wa Ukristo ni kifo cha msalaba cha bwana Yesu a.s. Mayahudi na Wakristo wanadhani kwamba Bwana Yesu alifariki juu ya msalaba, kifo cha laana.

A. Mayahudi walidhani hivi kwa sababu ya kupata nafasi ya kumkataa Bwana Yesu, kuwa wa kweli, maana Torati inasema kwamba “Aliyetundikwa amelaaniwa na Mungu, (Kumbukumbu la Torati 21:23).

Kwahiyo Mayahudi walitaka sana kumfisha Yesu msalabani ili athibitike kuwa mlaaniwa na mlaaniwa hawezi kuwa Nabii wa Mungu.

B. Wakristo walikubali kwamba Yesu alikufa msalabani kwa sababu waliambiwa kwamba Yesu amebeba dhambi za watu kwa kufa msalabani. Hivi wavivu wote ambao hawataki kufuata sheria ya Mungu, mara moja walikubali kwamba damu ya Yesu imetuokoa. (Wagalatia 3:13).

Wakati tunasoma Biblia tunaona kwamba Biblia pia inasadikisha kwamba Bwana Yesu hakufa msalabani. Nitaeleza hapa hoja za Biblia moja baada ya moja, zinazothibitisha kwamba Bwana Yesu hakufa msalabani kabisa.

1. Kwani aliyetundikwa amelaaniwa na Mungu. (Kumb. 21:23, Wagalatia 3:13). Basi mtu ambaye anafariki
juu ya mti wa msalaba ndiye maluuni na maluuni anakuwa mbali na Mungu hawezi kuwa karibu na Mungu. Na mtu ambaye yu mbali na Mungu hawezi kuwa Nabii wa Mwenyezi Mungu

2. Bwana Yesu mwenyewe katika uhai wake alitabiri kwamba atapata matatizo, lakini hatakufa kwa matatizo yale, bali atasalimika.

Alieleza habari kwa mfano. Bwana Yesu akajibu, akawaambia, kizazi kibaya na cha zinaa chataka ishara, wala hakitapata ishara, ila ishara ya Nabii Yona. Kwani kama vile Yona alivyokaa siku tatu mchana na usiku katika tumbo la nyangumi, hivyo ndivyo mwana wa Adamu atakavyokuwa siku tatu mchana na usiku katika moyo wa nchi. (Mathayo 12:39-40).

Aya hizi za Biblia zinaonesha kwamba Bwana Yesu hakuleta miujiza mingi bali wakati aliombwa kuonesha miujiza, aliwatayarisha watu na aliahidi kuwaonesha muujiza mmoja tu.

Aliahidi kuonesha mujiza sawa na mujiza wa Nabii Yona. Muujiza wa Nabii Yona ni huu kwamba aliingia katika tumbo la nyangumi akiwa hai, alibaki ndani ya tumbo la nyangumi siku tatu akiwa hai, na wakati alipotoka tumboni mwa nyangumi alikuwa hai.

Yaani kuingia katika tumbo la nyangumi na kukaa kwa siku tatu ndani na kutoka humo akiwa mzima, si kawaida bali mtu anakufa katika hali hii.

Lakini Nabii Yona alijaaliwa kubaki hai katika muda huu wote kwa msaada wa Mwenyezi Mungu. Maana katika tukio hili la kukaa katika tumbo la nyangumi kwa siku tatu usiku na mchana siyo muujiza bali muujiza ni kuendelea na
uzima na uhai katika hali ile ngumu.

Hivyo ndivyo Bwana Yesu alitabiri kwamba atakuwa hai wakati akiingia na kukaa na kutoka katika tumbo ardhi / nchi.

Sasa tuchunguze kwamba Bwana Yesu aliwahi kutimiza ahadi yake au hapana. Wakristo mnasema kwamba Bwana Yesu hakuweza kuonesha muujiza wake huu wa pekee. Kwa sababu wakati wa kuingia katika tumbo la radhi na muda wa kukaa humo alikufa. Kwahiyo hakuweza kutimiza ahadi yake.

Na wakati hakuweza kuonesha muujiza wake wa pekee basi akaondoka bila muujiza wowote.

Lakini sisi Waislamu tunaamini kwamba BwanaYesu Kristo alionesha mujiza ule aliowaahidi kuonesha. Maana aliingia katika tumbo la ardhi akiwa hai na alikaa huko siku tatu nzima. Sawa kabisa na hali ya Yona Nabii.
 
Fighting is obligatory for you, much as you dislike it. Surah 2:216

Let those fight in the cause of God who sell the life of this world for the hereafter. To him who fights in the cause of God, whether he is slain or victorious, soon we shall give him a great reward. - Surah 4:74

Make war on them until idolatry is no more and Allah's religion reigns supreme. Surah- 8:39

Whether unarmed or well-equipped, march on and fight for the cause of Allah, with your wealth and your persons. Surah - 9:41

Endelea tu ku copy nimekuruhusu , pata zawadi yako hii

Jesus does NOT love his own enemies

In the most famous utterances of all time, JC mouthed well-intentioned but disastrous bad advice:

"Love your enemies, bless them that curse you, do good to them that hate you, and pray for them which despitefully use you, and persecute you." – Matthew 5.44.

"Resist not evil: but whosoever shall smite thee on thy right cheek, turn to him the other also." – Matthew 5.39.

Who are we kidding? Try telling that one to Netanyahu and Bongo christian jews . Hating enemies, punishing wrong-doers, bringing retribution to the wicked are as natural and as necessary as daylight. Even Jesus does not heed his own advice, threatening those who don't believe in him with hell:

"Whoever believes and is baptized will be saved, but whoever does not believe will be damned"
– Mark 16.16

In any event, Christians have always in practice preferred the principle of "See that other guy's land?

Let's go grab it!"
And don't be fooled by all that "love your neighbour" stuff.

Even the mythical Jesus Christ is no paragon of virtue!
 
Back
Top Bottom