GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kwa mfano Burundi ina Uwanja wake wa Mpira tena mzuri tu kilichowafanya waihamishe hiyo Mechi ya kuwania kufuzu AFCON 2023 Ivory Coast kutoka Bujumbura Kwao kuja Kwetu Tanzania ni nini?
Na ni kwanini kila Kitu Burundi ( hasa Serikali yao ) ikifanya au ikiamua tu ni lazima ama Waiige Tanzania au waje kabisa kuonana na Rais?
Mbona nchi ya Rwanda ( tena Majirani zao kabisa ) nao walipitia 'same challenges' za 1994 Genocide lakini huwa hata hawana Shobo wala Ngendembwe na Tanzania na Watanzania na tena ndiyo Wamepambana na Wanapambana wenyewe huku Wakiwa na Maendeleo ambayo hata Tanzania inayotamaniwa kila mara na Burundi haina na wapo wapo 'Wanademadema' na Filamu yao yenye Hatimiliki ya Mzungu ( CNN Producer ) Mzee?
Hongereni sana tu Wanyarwanda.