I wish siku moja kwenda Burundi kutalii! Hawa ndiyo ndugu zetu wa damu.
Kiukweli raia wa Burundi wanaipenda sana Tanzania na watu wake, kiasi cha Watanganyika kushawishika kuwapenda pia.
Siyo watu wa majivuno, kujimwambafai, na kudemka kama ilivyo kwa Wazanzibari, Wakenya, na Wanyarwanda! Kwa mbaali Warundi wanafuatiwa na Waganda na Wacongomani kwa kuwa na mahusiano mazuri na Watanzania (Watanganyika)
Mungu ibariki Tanganyika, Mungu ibariki Burundi, Mungu ibariki Uganda, Mungi ibariki DRC!
Zanzibar, Kenya, na Rwanda ✖️