Kwanini nchi ya Burundi inapenda sana 'Kujibebisha' kwa Tanzania tofauti na Rwanda inayopambana yenyewe Kimafanikio?

Hiyo inaeleweka kabisa maana hata Burundi nao wanazo sababu za msingi za kuhamishia Dar. Hoja hapa ni kwamba, ipi ni afadhali, Rwanda au Burundi? Kucheza kwa mpinzani wako au kucheza kwa jirani yako?
[emoji1][emoji1] sababu Kama zipi?
 
Sababu ya Burundi kujibebisha kwa Tanzania ni kama yako tu wewe kujiita mtanzania wakati kwenu ni Rwanda nako nikujibenisha pia vilevile kwa Tanzania.
 
KIBU DENIS tumepewa na Burundi for free acheze stars....jamaa akili nying znamsumbua
 
Kwani kuna shida gani,wewe mbona unapita kwenye uwanja wa jirani ukienda kwako? Au na wao wajenge ukuta hapo usipite
 
Tuna special relationship, sawa na US na UK
 
Rwanda ni waizi wa madini ya DRC, sasa kheri chako cha halali kuliko kukwiba vya watu ...Dunia nzima inajua

Alafu mnatumia Genocide kama tourism attraction kitu ambacho sio poa,
Rwanda wanashirikiana na mossad kuiba madini huko DRC
 
Burundi sio watu wa visasi kama wale wanyarwanda, Tanzania tunawapenda Burundi nao wanatupenda, hivyo tunapendana sana, Rwanda ni nyoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…