FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Ni taahira tu ndio atakubali kuchanjwa hizo takatakaJuzi Rais wa Rwanda katangaza kufunga vyuo na shule kuanzia 01.07.2021
Kenya curfew imekuwa extended for 60 more days...
Tupo pamoja mkuuNi taahira tu ndio atakubali kuchanjwa hizo takataka
Mkuu unaongea kama corona imeanza juzi juzi tu kumbe corona ipo toka mwaka jana na tulishafika stage ya idadi ya vifo kuwa inaongezeka wakati huo tunapima na kutoa takwimu.Kwa upande wangu, inabidi tusidhani sisi ni kisiwa na kwamba Mungu anatupenda zaidi kuliko wanaofariki. Labda kama ni kupenda, basi anawapenda zaidi hao wanaofariki kwa corona (kama tulivyozoea kusema ndugu, jamaa na rafiki akituacha: sisi tulimpenda, lakini Mwenyezi Mungu kampenda zaidi). Nitoea mfano huu. Mimi natoka UK ya Tanzania na wakati ugonjwa wa ukimwi ulipopiga sana...
takwimu zetu zinatolewa ipasavyo? katika nchi yenye watu millioni hamsa tenashara plus huwezi kuona impact kama hakuna statistics, ni kama wanavykufa kwa ngoma au kipindu pindu plus malaria wote na hakuna wanaotangwazwa. tupige mzigoJuzi Rais wa Rwanda katangaza kufunga vyuo na shule kuanzia 01.07.2021
Kenya curfew imekuwa extended for 60 more days...
Tuachane na TAKWIM vipi hali halisi mtaani kwako??takwimu zetu zinatolewa ipasavyo? katika nchi yenye watu millioni hamsa tenashara plus huwezi kuona impact kama hakuna statistics, ni kama wanavykufa kwa ngoma au kipindu pindu plus malaria wote na hakuna wanaotangwazwa. tupige mzigo
Tulipoacha kutoa takwimu tukajakuacha na kuzingatia kuchukua tahadhari za kujikinga na corona, kwahiyo tunaweza kusema kwamba tokea tulipoacha kuchukua tahadhari hali ya corona kwa Tanzania ni mbaya sana kwa sababu ya kuacha kuchukua tahadhari ila tu hatuna takwimu?Man, unless kama umesahau lakini walikuwa wanatoa takwimu za waliokufa! And REMEMBER, mwanzoni walikuwa wanabania bania kutoa takwimu na hivyo maambukizi yakaonekana machache sana!...
Hili ndio la muhimu, ugonjwa kama huu hauwezi kuuficha, cha ajabu huu ugonjwa tunakutana nao mitandaoni tu, why?Tuachane na TAKWIM vipi hali halisi mtaani kwako??
Hili jambo lipo wazi hawa watu wanazingua.Hili ndio la muhimu, ugonjwa kama huu hauwezi kuuficha, cha ajabu huu ugonjwa tunakutana nao mitandaoni tu, why?
Kama unajua kiingereza soma comments za wachangiaji na uone hizo picha. Inahitaji elimu pana ya masuala ya kiamataifa histori, trend na mwelekeo wake, ili kuweza kuelewa kinachoendelea katika dunia.Nipe jibu wanaugua ni waliochanja au ambao hawajachanja? Ukipata jibu usijesema hukuambiwa
Kwani wewe mkuu huwa unadhani madaktari wana mawazo huru?
Huwezi kuepuka uongo kwenye hizi issue za corona kuna vitu vingi inatumika siasa badala ya sayansi ila tatizo watu wanaangalia nani kasema na sio kilichosemwa kina ushahidi gani?
Kama athari za huo ugonjwa hauonekani hadi kupima,basi si ugonjwa wa kutisha,ni heri tukawekeza nguvu zetu katika malaria,ukimwi n.kMmepima wangapi? Hili swali la Makamba halijajibiwa mpka wakati huu
Ndio maana nikakuuliza kuna tafiti gani ya kisayansi iliyofanywa kuhusu hizi barakoa za kawaida tunazovaa kuwa zinaweza kusaidia kuzuia maambukizi ya corona? kuna ushahidi gani wa kisayansi wenye kusapoti huu uvaaji wa barakoa?Wewe endelea kuamini kuna uongo mimi nawaamini experts wanachokisema ambacho kina supporting evidence na huwa hawakurupuki.
Hahaha nakumbuka tuliambiwa tutaokota maiti barabarani,binawezekana maiti zinaokitwa barabarani ila hatuna takwimuππKama athari za huo ugonjwa hauonekani hadi kupima,basi si ugonjwa wa kutisha,ni heri tukawekeza nguvu zetu katika malaria,ukimwi n.k
Labda wanadhani sisi hatuishi Tanzania..Hahaha nakumbuka tuliambiwa tutaokota maiti barabarani,binawezekana maiti zinaokitwa barabarani ila hatuna takwimuππ
Nina maana hawana mawazo huru wao hufuata kile walichofunzwa darasani tu hata kama kitaonekana kinapingana na uhalisia.Oh! Kumbe hawako huru? Huwa wanaweza kufuata kile walichojifunza darasani na kufuata ujinga wa dhalimu mwendazake!? πππ Sasa mbona wameachana na wa dhalimu wa kufukiza nyungu? Na kufuata kile walichojifunza darasani plus WHO and other countriesβ pandemic experts?
Ndio maana nikakuuliza kuna tafiti gani ya kisayansi iliyofanywa kuhusu hizi barakoa za kawaida tunazovaa kuwa zinaweza kusaidia kuzuia maambukizi ya corona? kuna ushahidi gani wa kisayansi wenye kusapoti huu uvaaji wa barakoa?
Tatizo tumechagua tu ni nani wa kumsikiliza na kuishia hapo, kwenye hili la Corona kuna mambo yanapelekwa kisiasa kuliko sayansi ila ndio hivyo tena kwa sababu tumechagua wa kuwasikiliza hivyo hatuna muda wa kuyajua hayo mengine.
Nina maana hawana mawazo huru wao hufuata kile walichofunzwa darasani tu hata kama kitaonekana kinapingana na uhalisia.
Kansa ya ini au damu inaonekana kwa macho?Kama athari za huo ugonjwa hauonekani hadi kupima,basi si ugonjwa wa kutisha,ni heri tukawekeza nguvu zetu katika malaria,ukimwi n.k