#COVID19 Kwanini nchi zilizochanja wananchi wake na kuchukua tahadhari zote ndio zinaendelea kuongoza kwa maambukizi na COVD-19

#COVID19 Kwanini nchi zilizochanja wananchi wake na kuchukua tahadhari zote ndio zinaendelea kuongoza kwa maambukizi na COVD-19

Kwa upande wangu, inabidi tusidhani sisi ni kisiwa na kwamba Mungu anatupenda zaidi kuliko wanaofariki. Labda kama ni kupenda, basi anawapenda zaidi hao wanaofariki kwa corona (kama tulivyozoea kusema ndugu, jamaa na rafiki akituacha: sisi tulimpenda, lakini Mwenyezi Mungu kampenda zaidi). Nitoea mfano huu. Mimi natoka UK ya Tanzania na wakati ugonjwa wa ukimwi ulipopiga sana...
Mkuu unaongea kama corona imeanza juzi juzi tu kumbe corona ipo toka mwaka jana na tulishafika stage ya idadi ya vifo kuwa inaongezeka wakati huo tunapima na kutoa takwimu.
 
Juzi Rais wa Rwanda katangaza kufunga vyuo na shule kuanzia 01.07.2021
Kenya curfew imekuwa extended for 60 more days...
takwimu zetu zinatolewa ipasavyo? katika nchi yenye watu millioni hamsa tenashara plus huwezi kuona impact kama hakuna statistics, ni kama wanavykufa kwa ngoma au kipindu pindu plus malaria wote na hakuna wanaotangwazwa. tupige mzigo
 
Tuachane na TAKWIM vipi hali halisi mtaani kwako??
 
Man, unless kama umesahau lakini walikuwa wanatoa takwimu za waliokufa! And REMEMBER, mwanzoni walikuwa wanabania bania kutoa takwimu na hivyo maambukizi yakaonekana machache sana!...
Tulipoacha kutoa takwimu tukajakuacha na kuzingatia kuchukua tahadhari za kujikinga na corona, kwahiyo tunaweza kusema kwamba tokea tulipoacha kuchukua tahadhari hali ya corona kwa Tanzania ni mbaya sana kwa sababu ya kuacha kuchukua tahadhari ila tu hatuna takwimu?
 
Nipe jibu wanaugua ni waliochanja au ambao hawajachanja? Ukipata jibu usijesema hukuambiwa
Kama unajua kiingereza soma comments za wachangiaji na uone hizo picha. Inahitaji elimu pana ya masuala ya kiamataifa histori, trend na mwelekeo wake, ili kuweza kuelewa kinachoendelea katika dunia.

Nchi kama Tanzania, yenye wagonjwa 100, maana yake inagood control ya hli janga. Kwa nini kutamani kujiingiza kwenye mitafaruku ya majaribio ya chanjo kama panya buku. Huoni yanayowapata wengine duniani? I hope wewe siyo wale wanyama wanaoingia majini huku wakiona wenzao wakiliwa na mamba.

Kama bado hujabadilishwa DNA yako, na bado chembe chembe zakok za ubinadamu hazijabadilishwa na hawa mashetani, bila shaka utakubaliana na ushauri wa "Kusubiri kwanza", "kuwekeza nguvu katika uvumbuzi wa dawa za hapa nyumbani", Kuhimiza kampeni kabambe ya kuchukua tahadhari zote muhimu, ikiongozwa na elimu ya chkula sahihi ili kuongeza kinga ya mwili ili kiweze kupigana na magonjwa kama virus.

Ukisema umepima wangapi hawana, hawa wanaopimwa wengi na wakakutwa na virus, wakaichanjwa virus vinaondoka licha ya kuzua matatizo mengine zaidi na mitafaruku?

Kama kitu kiko ndani yako na hakina madhara kwako si bora kuishi nacho kuliko kutafuta vifo kwa kufuata mikumbo kama nyumbu?
Watu wangapi wanaishi na wadudu wa malaria, mafua, taifodi, n.k na hazina madhara kwao? Watu wangapi wanaugua taifodi na wanapona lakini wakipima bado wanaonekana wana +ve taifodi?

Hili si jambo la kufanyia siasa, umaarufu ama kujipendekeza. Ni suala la kufa na kupona na ni bora ktutumia akili hata za macho.
 
Oh! Kumbe hawako huru? Huwa wanaweza kufuata kile walichojifunza darasani na kufuata ujinga wa dhalimu mwendazake!? 😂😂😂 Sasa mbona wameachana na wa dhalimu wa kufukiza nyungu? Na kufuata kile walichojifunza darasani plus WHO and other countries’ pandemic experts?

Kwani wewe mkuu huwa unadhani madaktari wana mawazo huru?
 
Wewe endelea kuamini kuna uongo mimi nawaamini experts wanachokisema ambacho kina supporting evidence na huwa hawakurupuki.

Huwezi kuepuka uongo kwenye hizi issue za corona kuna vitu vingi inatumika siasa badala ya sayansi ila tatizo watu wanaangalia nani kasema na sio kilichosemwa kina ushahidi gani?
 
Wewe endelea kuamini kuna uongo mimi nawaamini experts wanachokisema ambacho kina supporting evidence na huwa hawakurupuki.
Ndio maana nikakuuliza kuna tafiti gani ya kisayansi iliyofanywa kuhusu hizi barakoa za kawaida tunazovaa kuwa zinaweza kusaidia kuzuia maambukizi ya corona? kuna ushahidi gani wa kisayansi wenye kusapoti huu uvaaji wa barakoa?

Tatizo tumechagua tu ni nani wa kumsikiliza na kuishia hapo, kwenye hili la Corona kuna mambo yanapelekwa kisiasa kuliko sayansi ila ndio hivyo tena kwa sababu tumechagua wa kuwasikiliza hivyo hatuna muda wa kuyajua hayo mengine.
 
Oh! Kumbe hawako huru? Huwa wanaweza kufuata kile walichojifunza darasani na kufuata ujinga wa dhalimu mwendazake!? 😂😂😂 Sasa mbona wameachana na wa dhalimu wa kufukiza nyungu? Na kufuata kile walichojifunza darasani plus WHO and other countries’ pandemic experts?
Nina maana hawana mawazo huru wao hufuata kile walichofunzwa darasani tu hata kama kitaonekana kinapingana na uhalisia.
 
Maswali yako ni ya kipumbavu JIONGEZE ili ujue yanayojiri duniani siyo kuja hapa kuuliza maswali ambayo majibu yake yako wazi kabisa mtandaoni.

Kwa akili yako finyu unadhani walikurupuka tu from nowhere and recommend to the whole World that we should wear masks in order to prevent new cases of this killer virus!? 😳😳😳

2B79B341-EE20-40A9-96CE-0BC82A9B6DDE.jpeg

Back
Top Bottom