#COVID19 Kwanini nchi zilizochanja wananchi wake na kuchukua tahadhari zote ndio zinaendelea kuongoza kwa maambukizi na COVD-19

[emoji1756][emoji1756][emoji1756] sana mkuu wangu tukatae hili tego
 
Wewe endelea kuamini kuna uongo mimi nawaamini experts wanachokisema ambacho kina supporting evidence na huwa hawakurupuki.
Experts wa bongo wamekuambia magnitude ya korona Tz?
 
Kama athari za huo ugonjwa hauonekani hadi kupima,basi si ugonjwa wa kutisha,ni heri tukawekeza nguvu zetu katika malaria,ukimwi n.k
[emoji1756][emoji1756][emoji1756][emoji1306][emoji1306][emoji1306]
 
Hana majibu he's brainwashed
 
Haya madude vaeni huko kwenu ila Tz tunadunda wala usitishwena mabarakoa ya mawaziri wakiwa na rais
 
Kawaulize IMF kwanini wamekataa kutoa mkopo wa $574 millions Kwa Tanzania?
Ndio maana nikasema kama mnataka MKOPO AU FEDHA ZA COVAX endeleeni kutangaza uwepo wa Covid ila kiuhalisia HAIPO
 
Kwetu wapi wewe!? Hujui lolote kuhusu mimi acha kujifanya unanifahamu.

Tatizo unaongea kama hauishi Tz nimekuuliza mtaani hali ipoje??? Achana na matakwimu??
 
Sasa unadhani kama mtaani hali ingekuwa ni nzuri Serikali ingetoa tahadhari!? 😳😳😳😳 Tumia akili japo KIDUCHU TU!!!!

Tatizo unaongea kama hauishi Tz nimekuuliza mtaani hali ipoje??? Achana na matakwimu??
 
Endelea kujiaminisha ujinga. Wajinga ndivyo walivyo!! Yule mjinga mwingine aliamini ujinga wake na hakuchukua tahadhari zozote leo wanamuita mwendazake.

Ndio maana nikasema kama mnataka MKOPO AU FEDHA ZA COVAX endeleeni kutangaza uwepo wa Covid ila kiuhalisia HAIPO
 
Sasa unadhani kama mtaani hali ingekuwa ni nzuri Serikali ingetoa tahadhari!? [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] Tumia akili japo KIDUCHU TU!!!!
Ahida ya wewe....... hata sijui nikuitaje

Yaan unakaa kwako halafu balozi wa nyumba kumi anakuambia mwanao hajala usiku

Unamuamini wakati wadogo zake wanasema walikula wote.

Kama unaamini maneno ya wanasiasa kwanini huko juu ulisema Majaliwa alidanganya kuhusu kifo cha Jiwe??


Au unachagua yakuamini na yasio yakuamini katika hao hao viongozi??
 
Huu mfano wako ni wa KIPUMBAVU sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwanini walikuwa wanazika usiku usiku wewe!!!!? Kwanini wanaminya uhuru wa madaktari kuongea hadharani?

 
Huu mfano wako ni wa KIPUMBAVU sana [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwanini walikuwa wanazika usiku usiku wewe!!!!? Kwanini wanaminya uhuru wa madaktari kuongea hadharani?
Wapi walizika usiku maana ilisemwkana KIHONDA Morogoro Dk mkuu akaenda akauliza wananchi makaburi yalipo wakashindwa kuonesha.

Pia kumbuka unaongelea wimbi la kwanza ambalo ilikuja ikatikisa ikasepa zake MaziMa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…