#COVID19 Kwanini nchi zilizochanja wananchi wake na kuchukua tahadhari zote ndio zinaendelea kuongoza kwa maambukizi na COVD-19

#COVID19 Kwanini nchi zilizochanja wananchi wake na kuchukua tahadhari zote ndio zinaendelea kuongoza kwa maambukizi na COVD-19

Kama unajua kiingereza soma comments za wachangiaji na uone hizo picha. Inahitaji elimu pana ya masuala ya kiamataifa histori, trend na mwelekeo wake, ili kuweza kuelewa kinachoendelea katika dunia.
















Nchi kama Tanzania, yenye wagonjwa 100, maana yake inagood control ya hli janga. Kwa nini kutamani kujiingiza kwenye mitafaruku ya majaribio ya chanjo kama panya buku. Huoni yanayowapata wengine duniani? I hope wewe siyo wale wanyama wanaoingia majini huku wakiona wenzao wakiliwa na mamba.

Kama bado hujabadilishwa DNA yako, na bado chembe chembe zakok za ubinadamu hazijabadilishwa na hawa mashetani, bila shaka utakubaliana na ushauri wa "Kusubiri kwanza", "kuwekeza nguvu katika uvumbuzi wa dawa za hapa nyumbani", Kuhimiza kampeni kabambe ya kuchukua tahadhari zote muhimu, ikiongozwa na elimu ya chkula sahihi ili kuongeza kinga ya mwili ili kiweze kupigana na magonjwa kama virus.

Ukisema umepima wangapi hawana, hawa wanaopimwa wengi na wakakutwa na virus, wakaichanjwa virus vinaondoka licha ya kuzua matatizo mengine zaidi na mitafaruku?

Kama kitu kiko ndani yako na hakina madhara kwako si bora kuishi nacho kuliko kutafuta vifo kwa kufuata mikumbo kama nyumbu?
Watu wangapi wanaishi na wadudu wa malaria, mafua, taifodi, n.k na hazina madhara kwao? Watu wangapi wanaugua taifodi na wanapona lakini wakipima bado wanaonekana wana +ve taifodi?

Hili si jambo la kufanyia siasa, umaarufu ama kujipendekeza. Ni suala la kufa na kupona na ni bora ktutumia akili hata za macho.
[emoji1756][emoji1756][emoji1756] sana mkuu wangu tukatae hili tego
 
Wewe endelea kuamini kuna uongo mimi nawaamini experts wanachokisema ambacho kina supporting evidence na huwa hawakurupuki.
Experts wa bongo wamekuambia magnitude ya korona Tz?
 
Kama athari za huo ugonjwa hauonekani hadi kupima,basi si ugonjwa wa kutisha,ni heri tukawekeza nguvu zetu katika malaria,ukimwi n.k
[emoji1756][emoji1756][emoji1756][emoji1306][emoji1306][emoji1306]
 
Ndio maana nikakuuliza kuna tafiti gani ya kisayansi iliyofanywa kuhusu hizi barakoa za kawaida tunazovaa kuwa zinaweza kusaidia kuzuia maambukizi ya corona? kuna ushahidi gani wa kisayansi wenye kusapoti huu uvaaji wa barakoa?

Tatizo tumechagua tu ni nani wa kumsikiliza na kuishia hapo, kwenye hili la Corona kuna mambo yanapelekwa kisiasa kuliko sayansi ila ndio hivyo tena kwa sababu tumechagua wa kuwasikiliza hivyo hatuna muda wa kuyajua hayo mengine.
Hana majibu he's brainwashed
 
Maswali yako ni ya kipumbavu JIONGEZE ili ujue yanayojiri duniani siyo kuja hapa kuuliza maswali ambayo majibu yake yako wazi kabisa mtandaoni.

Kwa akili yako finyu unadhani walikurupuka tu from nowhere and recommend to the whole World that we should wear masks in order to prevent new cases of this killer virus!? [emoji15][emoji15][emoji15]

View attachment 1837947
Haya madude vaeni huko kwenu ila Tz tunadunda wala usitishwena mabarakoa ya mawaziri wakiwa na rais
 
Kawaulize IMF kwanini wamekataa kutoa mkopo wa $574 millions Kwa Tanzania?
Ndio maana nikasema kama mnataka MKOPO AU FEDHA ZA COVAX endeleeni kutangaza uwepo wa Covid ila kiuhalisia HAIPO
 
Kwetu wapi wewe!? Hujui lolote kuhusu mimi acha kujifanya unanifahamu.

Tatizo unaongea kama hauishi Tz nimekuuliza mtaani hali ipoje??? Achana na matakwimu??
 
[emoji881][emoji881][emoji881]vs[emoji196][emoji196][emoji196]
Screenshot_20210702-195946_Facebook.jpg
 
Sasa unadhani kama mtaani hali ingekuwa ni nzuri Serikali ingetoa tahadhari!? 😳😳😳😳 Tumia akili japo KIDUCHU TU!!!!

Tatizo unaongea kama hauishi Tz nimekuuliza mtaani hali ipoje??? Achana na matakwimu??
 
Endelea kujiaminisha ujinga. Wajinga ndivyo walivyo!! Yule mjinga mwingine aliamini ujinga wake na hakuchukua tahadhari zozote leo wanamuita mwendazake.

Ndio maana nikasema kama mnataka MKOPO AU FEDHA ZA COVAX endeleeni kutangaza uwepo wa Covid ila kiuhalisia HAIPO
 
Sasa unadhani kama mtaani hali ingekuwa ni nzuri Serikali ingetoa tahadhari!? [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] Tumia akili japo KIDUCHU TU!!!!
Ahida ya wewe....... hata sijui nikuitaje

Yaan unakaa kwako halafu balozi wa nyumba kumi anakuambia mwanao hajala usiku

Unamuamini wakati wadogo zake wanasema walikula wote.

Kama unaamini maneno ya wanasiasa kwanini huko juu ulisema Majaliwa alidanganya kuhusu kifo cha Jiwe??


Au unachagua yakuamini na yasio yakuamini katika hao hao viongozi??
 
Huu mfano wako ni wa KIPUMBAVU sana 😂😂😂
Kwanini walikuwa wanazika usiku usiku wewe!!!!? Kwanini wanaminya uhuru wa madaktari kuongea hadharani?

Ahida ya wewe....... hata sijui nikuitaje

Yaan unakaa kwako halafu balozi wa nyumba kumi anakuambia mwanao hajala usiku

Unamuamini wakati wadogo zake wanasema walikula wote.

Kama unaamini maneno ya wanasiasa kwanini huko juu ulisema Majaliwa alidanganya kuhusu kifo cha Jiwe??


Au unachagua yakuamini na yasio yakuamini katika hao hao viongozi??
 
Huu mfano wako ni wa KIPUMBAVU sana [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwanini walikuwa wanazika usiku usiku wewe!!!!? Kwanini wanaminya uhuru wa madaktari kuongea hadharani?
Wapi walizika usiku maana ilisemwkana KIHONDA Morogoro Dk mkuu akaenda akauliza wananchi makaburi yalipo wakashindwa kuonesha.

Pia kumbuka unaongelea wimbi la kwanza ambalo ilikuja ikatikisa ikasepa zake MaziMa
 
Back
Top Bottom