#COVID19 Kwanini nchi zilizochanja wananchi wake na kuchukua tahadhari zote ndio zinaendelea kuongoza kwa maambukizi na COVD-19

Sijakwambia takwimu zitolewe ,nimekwambia takwimu za hizo nchi.Kumbe ubongo wako haufanyi kazi BONGO LALA WEWE Kumbe nabishana na mtu mjinga tu
UNATAKA TAKWIMU za nchi gani mbona kama huelewi?

za TANZANIA KUNA WAGONJWA 100 TU NCHI NZIMA according to SSH. NA HAPA NDIO KWENYE HOJA YANGU. WE KAMA UNA TAKWIMU ZINGINE WEKA MEZANI
 
0.0002%?????? mtaani kwako unawaona hao wagonjwa au unatishwa na matangazo ya Mloganzila, na Muhimbili?

They are part of the big picture thrmselves
Kwani dunia ina jumla ya watu wangapi? Unajua third wave imeinfect watu wangapi out total population? Unafahamu kwa ujumla COVID-19 ime infect % ngapi worldwide compared to TZ toka ianze?

Binafsi sidhani kama tunatakiwa kujilinganisha na nchi zingine kwenye mijadala yetu.. Cz we chose completely different approach.. We have no information to match.

Ila kuipuuza COVID-19 kwasababu haijapita ndani mwako sidhani kama ni sahihi.. cz kuna watu wamelia hadi machozi yameisha ndani ya Tz hii hii
 
Evaluation ya jambo lolote hutolewa na kwa % ya jambo lenyewe

check this out
UCScreenshot20210701150701.png
 
Siku zote tunapotofautiana ni pale ambapo kuna watu wao wanaangalia takwimu na wengine wanaangalia athari za ugonjwa, sasa sijajua kwamba Tz kutopima watu corona ndio hufanya huko mahospitalini kutojaa hao wagonjwa wa corona ukizingatia hatuchukui tahadhari?
 
Achana napropaganda za wazungu kwanza washaanza kusema ili uwe fully immuned at least upige dose kuanzia 3 na kuendelea. So it is all about bussiness dozi moja ni Tsh.400k
Lugha inawashinda watanzania wengi. Ukichanganya tena na elimu ya kuchovya basi watu wanakuwa na upenyo finyu kabisa wa mambo yanayotokea duniani. Unajua mwanzoni watu wenye mawazo fyongo kama yako juu ya corona nilikuwa naona kama wanafanya makusudi kupotosha. Baade nimekuja kugundua watanzania wengi hawako informed kuhusu huu ugonjwa kwa sababu Tanzania serikali haikufanya jitihada zozote kuwaelimisha na hata wale wanaotaka kutafuta habari wanakuta nyingi zimeandikwa kwa kiingereza ambacho hawaelewi. Wewe ni mmoja wao.
 
Siku zote tunapotofautiana ni pale ambapo kuna watu wao wanaangalia takwimu na wengine wanaangalia athari za ugonjwa, sasa sijajua kwamba Tz kutopima watu corona ndio hufanya huko mahospitalini kutojaa hao wagonjwa wa corona ukizingatia hatuchukui tahadhari?
Utajuaje athari ya bila takwimu?
 
Lugha inawashinda watanzania wengi. Ukichanganya tena na elimu ya kuchovya basi watu wanakuwa na upenyo finyu kabisa wa mambo yanayotokea duniani. Unajua mwanzoni watu wenye mawazo fyongo kama yako juu ya corona nilikuwa naona kama wanafanya makusudi kupotosha. Baade nimekuja kugundua watanzania wengi hawako informed kuhusu huu ugonjwa kwa sababu Tanzania serikali haikufanya jitihada zozote kuwaelimisha na hata wale wanaotaka kutafuta habari wanakuta nyingi zimeandikwa kwa kiingereza ambacho hawaelewi. Wewe ni mmoja wao.
Haya nasubiri elimu hapa. ambayo unahisi siijui
 
Inasemekana covid ya india inaambukiza waliochanjwa na wasichanjwa. Halafu variant ya india inayoitwa delta naua zaidi waliochanjwa 68asilimia waliochanjwa wakiipata wanakufa. Tathmini ni kuwa ukichanjwa unapoteza nguvu ya mwili kujipambania na hiyo sina au nyingine yoyote itakayokuja kwa hiyo unaweza poteza maisha kwa sina yoyote mpya ya covid. Sasa wataalamu wameshauri kule marekani wote waliochanjwa na wasichanjwa wavae barakoa na kutumia sanitizer kama zamani. Kuna siku tutamkumbuka kama nabii aliyebezwa lakini alikuwa sahihi sana kwa msimamo wake. Tena wanasema chanjo za mRNA za kule marekani ndio hivyo kabisa zinazuia mwili kuweza kujipigania na aina mpya za covid hata huko mbele. Hii taarifa imetangazea juzi na vyanzo vya kuaminika kwao.
 
Lazima tukubali kuwa chanjo ya kurudi ni mgumu sana sababu vinabadilika muda wote. Chanjo ya covid hakuna inayozuia aina zote za virus hivyo. Tusubiri hadi mwisho wa mwaka sera ya WHO itabadilika tu. Tunarudi kwenye zile basic tatu 1social distance ,lockdown,na sanitizer . Wazungu wamechanganyikiwa watakuwa vigeugeu.
 
Utajuaje athari ya bila takwimu?
Ni kweli kwa mfano malaria bila takwimu huwezi kujua kama inaondoa sana watu ila hapa tunazungumzia corona ambayo kutokana na hatari ya ugonjwa wenyewe tumeona athari zake mfano India na kwengineko haikuhitaji takwimu kuona athari zake.
 
Some people are brainwashed na western media

wakati uhalisia upo right before their eyes wanataka kusimuliwa.

ni kama watoto wanaangalia movie wote halafu baadae mmoja anakusanya wenzake kuwasimilia walichotoka kukitazama.
 
Lazima tukubali kuwa chanjo ya kurudi ni mgumu sana sababu vinabadilika muda wote. Chanjo ya covid hakuna inayozuia aina zote za virus hivyo. Tusubiri hadi mwisho wa mwaka sera ya WHO itabadilika tu. Tunarudi kwenye zile basic tatu 1social distance ,lockdown,na sanitizer . Wazungu wamechanganyikiwa watakuwa vigeugeu.
Hii chanjo ya bure wanaotupa free itafubaza uwezo wa asili wa miili yetu kujikinga ili likija wimbi jingine tuteketee au tununue genuine vaccine kwa gharama kubwa sana
 
Kiuhalisia hatuna kudi kumshukuru mwenyezi Mungu pia aliyekuwa rais wa awamu ya tano late president JPM, kutuondoa hofu, pale mwanzoni wengi walikuwa na hofu na mawazo sana kwamba maisha yatakuwaje.

Mnakumbuka walianza kumwagika watoa ushauri na wakufunzi jinsi ya kuishi kipindi cha korona kuepuka kuzaana, mazoezi, kula, kufanya kazi ukiwa home nk.

Yote hiyo ilikuwa endapo serikali ingechukua hatua ngumu ikiwemo kufungiwa ndani, hata leo kuna watu wanaji_lockdown wenyewe hasa wenye mageti makubwa na ulinzi kisa ndg covid.

Surely, serikali inataka pesa za mkopo za kovid na hiki kinachoendelea ni moshi unaofuka ila 🔥 utaonekana happ mbelel, ngoja mpulizaji avute pumzi kuchochea 😊!.
 
Ni kweli kwa mfano malaria bila takwimu huwezi kujua kama inaondoa sana watu ila hapa tunazungumzia corona ambayo kutokana na hatari ya ugonjwa wenyewe tumeona athari zake mfano India na kwengineko haikuhitaji takwimu kuona athari zake.
India walikuwa wanatoa takwimu. Naona wewe uko zaidi kwenye ile watu wanafariki mpaka huduma za hospital na mazishi zinaelemewa. Lakini kumbuka bado kunaweza kuwa na idadi kubwa kiasi ya wagonjwa na vifo na usione athari! Nchi kama Tanzania wakifariki wastani wa wagonjwa wawili kwa siku, katika kila mkoa kwa muda labda wa miezi mitatu hutaweza kuona athari kama zile za India lakini bado ni idadi kubwa ya watu. Mambo ya vifo kwenye nchi bila takwimu ni ngumu sana kujua ukubwa wake. Kwa mfano, kwa hali ya kawaida kabla ya korona, Tanzania ungeweza kukaa mwezi mzima bila kusikia mtu unayemjua amefariki, lakini hii haiondoi ukweli kwamba kuna watu wengi wanakufa kila siku.
 
Back
Top Bottom